
Baada ya Mashindano ya kombe la mapinduzi kumalizika waandaaji wa mashindano hayo wamesema kila kitu kilienda vizuri kwani walipewa sapoti kubwa na serikali ya Mapinduzi ya Nzanzibar katika kuandaa mashindano hayo.
Aidha kamati hiyo imesema haikupendezwa na kauli ya Afisa mhamasishaji wa klabu ya Yanga SC Antonio Nugaz baada ya klabu yake kuondolewa na MtibwaSugar.
Nugaz alisema kuwa mashindano hayo ni yakawaida kwao hawajutii kuondosha na MtibwaSugar kwani ni vikombe vidogo vidogo visituumizie wachezaji
#SokaplaceUPDATES















.