Arsenal na Tottenham wamejiunga kwenye mbio za kumsaini beki wa Getafe Djene Dakonam. ..


Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 amevutiwa na vilabu vingi kutoka Ulaya, huku Monaco akiripotiwa kuandaa kiasi cha Pauni 12.8m ambayo hata hivyo iliyokataliwa kwa machezaji huyo wa kimataifa wa Togo, …

The Sun wameripoti kuwa Arsenal na Tottenham wako kwenye mchuano wa kuwania saini ya mchezaji huyo


Hata hivyo Getafe imeripotiwa kutaka dau la pauni 22m kwa nyota huyo ambaye inaweza kutua katika klabu moja kati ya viwili hivi vinavyomgombania mchezaji huyo

Swansea City wamethibitisha kuwasili kwa kiungo wa Chelsea, Conor Gallagher kwa mkopo hadi mwisho wa msimu.



Kijana huyo mwenye umri wa miaka 19 anajiunga na kijana mwenzie wa Blues, Marc Guehi huko Sawansea na ataungana tena na meneja Steve Cooper baada ya kuwa sehemu ya kikosi cha England cha chini ya miaka 17 ambacho kilishinda Kombe la Dunia mnamo 2017.

Baada ya kupoteza fainali ya Mapinduzi simba yawasili.mwanza.kuweka.msawazo

Baada ya kupoteza fainali ya Mapinduzi Cup mbele ya Mtibwa Sugar, kikosi cha Simba sc kiliwasili Jana usiku jijini Mwanza kwa ajili ya michezo miwili ya ligi kuu dhidi ya Mbao Fc na Alliance Fc.

Picha 📸 ni mazoezi ya mwisho ya Simba tayari kabisa kwa mtanange wa kesho dhidi ya Mbao Fc.

#fullsokatzupdates #fullsoka🌎🌎

ALICHOKISEMA LUKAKU KUHUSU YEYE KUONDOKA MANCHESTER UNITED NA KUJIUNGA NA INTER MILAN

**kujiunga na INTER MILAN ILikuwa chaguo sahihi kwangu,nashukuru wachezaji wenzangu,kocha,benchi LA ufundi & mashabiki wa inter Milan kuanzia siku ya kwanza hadi LEO wameniunga mkono na kunifanya kuwa BORA.Nitajitahidi sana kujituma kuona naisaidia TIMU YANGU” LUKAKU

KLABU YA BORUSIA DORTMUND IMEANZA KUSAKA MBADALA WA JADON SANCHO

KLABU YA BORUSIA DORTMUND IMEANZA KUSAKA MBADALA WA JADON SANCHO
Ripoti kutoka NChini UJERUMANI zinadokeza kuwa klabu ya borusia Dortmund imeanza kumsaka mbadala wa SANCHO ambae wanatarajia kumuachia majira ya kiangazi baada ya vilabu vingi vikubwa kumtolea MACHO nyota huyo RAIA wa UINGEREZA

DORTMUND Wameweka ngumu kumuachia nyota huyo majira haya ya BARIDI Lakini wako tayari kumuachia nyota huyo majira ya kiangazi endapo watapokea bei sahihi inayoendana na Thamani yake

CHELSEA, BARCELONA, PSG,JUVENTUS,MANCHESTER UNITED na MANCHESTER CITY ni baadhi ya vilabu vilivyotajwa kumuhitaji mkali SANCHO

DOGO NI DHAHABU HUYU, TIMU GANI NI SAHIHI KWAKE?

Design a site like this with WordPress.com
Get started