
kutoka Uganda 🇺🇬 imeripotiwa kuwa wachezaji wa klabu ya KCCA FC Allan Okello na Mustapha Kizza wapo kaskazini mwaAfrika.
Okello yupo katika hatua za mwisho kwenda kujiunga katika Klabu ya Paradou AC ya Algeria wakati Mustafa Kizza yuko Morocco 🇲🇦 kukamilisha dili la kwenda katika klabu ya Hassania Agadir.
#SokaplaceUPDATES















👉Vodacom Premier League



:

.

