.
Rais wa TFF, Walace Karia ameteuliwa kuwa mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya AFCON. Kamati hiyo inaongozwa na Rais wa CAF, Ahmad Ahmad.
VYEO VYA KARIA KWA SASA KWENYE SOKA -Mjumbe wa Kamati ya Afcon
-Mjumbe Kamati ya Marekebisho ya mfumo wa Vyama vya Soka Afrika (AZA(
-Rais wa CECAFA
-Rais wa TFF.
.
. Kuna ambacho nimesahau? .
. Kwa pamoja tumpongeze Rais Karia.. Anapambana sana.. Au mnasemaje? .
.@tanfootball @wilfredkidao
.
Cc @giftmacha_official .
.
#bakinasisi__ #NjooKwetu #TupoNawePaleUlipo
Rasmi Simba sc yamrejesha kiungo wao wa zamani shiza kichuya.

Kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa, klabu ya Simba imemtamburisha fundi Shiza Ramadhani Kichuya kurejea katika klabu yao.
#fullsokatzupdates
Wacheaji wa yanga waliyo temwa kwenye dirisha dogo

Wacheaji wa yanga waliyo temwa kwenye dirisha dogo lililo fungwa Jana majira ya saa 5:59 usiku.
.
.
-David Molinga
-Mustafa Seleman
-Sadney Urkhob
-Maybin Kalengo
-Issa Birigimana
-Juma Balinya
Kamata msimamo wa VLP baada ya mechi za jana kuchezwa
.

1. Simba Sc Pointi 35 Mechi 14.
2. Coastal Pointi 30 Mechi 17
3. Azam Fc Pointi 29 Mechi 14.
4. Namungo Pointi 28 Mechi 15.
5. Kagera Pointi 27 Mechi 17.
6. Jkt Pointi 26 Mechi 17.
7. Lipuli Fc Pointi 25 Mechi 17.
8. Yanga Pointi 25 Mechi 13.
9. Polisi Tz Pointi 24 Mechi 15
10. Mtibwa Pointi 22 Mechi 15.
11. Prisons Pointi 21 Mechi 16.
12. R.Shooting Pointi 20 Mechi 17.
13. Alliance Pointi 20 Mechi 16.
14. Mbao Pointi 18 Mechi 16.
15. Biashara Pointi 18 Mechi 17.
16. Mwadui Pointi 17 Mechi 15
17. Kmc Fc Pointi 14 Mechi 16.
18. Mbeya Pointi 13 Mechi 17.
19. Singida Pointi 10 Mechi 16.
20.Ndanda Pointi 09 mechi 17.
Klabu ya Fc Barcelona imefikia makubaliano ya kumuachia kwa mkopo Mlinzi wake, Jean-Clair Todibo

Klabu ya Fc Barcelona imefikia makubaliano ya kumuachia kwa mkopo Mlinzi wake, Jean-Clair Todibo kwenda kwa Mkopo mpaka mwishoni mwa msimu katika Klabu ya Schalke 04 inayoshiriki Ligi kuu nchini Ujerumani, Bundesliga.
Straika wa miaka 52 anayekipiga katika klabu ya Yokohama Fc

Straika wa miaka 52 anayekipiga katika klabu ya Yokohama Fc , Kazuyoshi Miura amesaini mkataba mpya wa miezi 12 kuendelea kuitumikia Klabu hiyo inayoshiriki Ligi kuu nchini Japan, J1 League.
Miura ameweka rekodi ya kuwa mwanasoka mwenye umri mkubwa zaidi anayecheza soka la ushindani na ameweka malengo ya kutundika daruga atakapotimiza miaka 60.

Javier Hernandez “Chicharito” yupo kwenye harakati za kuhamia LA Galaxy (Inanyoshiriki Ligi Kuu marekani

Mshambuliaji wa Sevilla Javier Hernandez “Chicharito” yupo kwenye harakati za kuhamia LA Galaxy (Inanyoshiriki Ligi Kuu marekani)
…
…
Vyanzo mbalimbali kutoka Uhispania vinasema kuwa Galaxy italipa ada ya € milioni ( 9m / 10m) pamoja na € 3m kwa bonasi kwa nyota huyo wa Mexico.
…
…
Hernandez atarudi Amerika Kaskazini baada ya kazi ya miaka 10 huko Ulaya ambapo alifanikiwa kucheza Manchester United, Real Madrid, Bayer Leverkusen, West Ham na Sevilla.
Mourinho aendeleza kuwa na imani na vijana wake

Tangu Jose Mourinho achaguliwe kuwa kocha wa Tottenham Hotspur ameendelea kuwa na imani na vijana
…
…
Troy Parrott (17): Kwa mara ya kwanza anaanza kufanya vizuri kwenye ligi . …
…
Japhet Tanganga (20): kuwa na mwendelezo mzuri kwenye ligi. …
…
Gedson Fernandes (21): usajiri wake wa kwanza tangu atue spurs. …
…
Dennis Cirkin (17): kapandishwa kutoka timu ya vijana hadi timu ya wakubwa .
Manchester United wameripoti kumfatilia kwa karibu kiungo wa Atletico Madrid

Manchester United wameripoti kumfatilia kwa karibu kiungo wa Atletico Madrid, Marcos Llorente kama chaguo la uhamisho wa mkopo katika dirisha la Januari.
…
…
Bosi wa Red Devils Ole Gunnar Solskjaer anahitaji kuimarisha sehemu ya kati ya uwanja huku majeraha ya wachezaji wake Paul Pogba (ankle) ambae hayupo fiti kwa asilimia zote
na Scott McTominay alieumia (goti) hivyo kuwafanya United kuendelea kuangalia warithi wa wachezaji hawa kwa kipindi hichi ch majeruhi.
Kagere kuikosa mbao leo

Mshambuliaji wa klabu ya Simba SC Medie Kagere leo ataukosa mchezo waleo ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Mbao FC kutokana na kuwa na kadi tatu za njano.
#SokaplaceUPDATES