
Upepo mbaya wa kocha mpya wa Yanga Sc aliye tambulishwa hivi karibuni Luc Eymael wazidi kuwakomesha mashabiki na wapenzi wa Yanga Sc.
FT Azam Fc 1⃣-0⃣ Yanga Sc.
Mechi mbili za Luc.
Mechi 02′
Kushinda 00′
Ushindi 00
Kufungwa 02
Magoli ya kufunga 00
Magoli ya kufungwa 04.
Je’ Yanga wameingia mkenge kwa usajili wa huyu kocha !! Au tatizo wachezaji.
#vodacompremierleague🇹🇿 #fullsokatzupdates


…



°



#bakinasisi__