Klabu ya LA Galaxy ya ligi kuu nchini Marekani iko katika hatua za mwisho kukamilisha uhamisho Wa mshambuliaji Wa zamani Wa Manchester United Javier Hernandez Chicharito kutoka katika klabu ya Sevilla ya SpainChicharito anaenda katika ligi ya Marekani akiwa ndiyo mchezaji atakayelipwa pesa nyingi akienda kuchukua nafasi ya Zlatan Ibrahimovic aliyetimkia AC Milan ya Italia baada ya mkataba wake kumalizika
#wapendasokaupdates
MAMBO YAZIDI KUWA MAGUMU KWA GATUSO

Kocha Wa Napoli Gennaro Gattuso ameendelea kufanya vibaya tangu aliposaini mkataba Wa miezi sita kuinoa Napoli ikifungwa tena usiku huu bao 2-0 nyumbani dhidi ya Fiorentina.
Gattuso ameiongoza Napoli katika mechi 5 akishinda moja tu na kupoteza mechi nne mpaka sasa
#wapendasokaupdates
VICHWA VYA HABARI ZA MICHEZO KATIKA MAGAZETI







Kinala wa mabao Medie Kagere amereje dimbani rasmi

Kinala wa mabao Medie Kagere amereje baada ya kumaliza adhabu yake ya kadi tatu za njano tayari kwa kuwavaa Alliance Fc hapo kesho.
Pia kiungo mshambuliaji Luis Miquisson ameanza mazoezi na Timu baada ya mipango ya kibali cha kuichezea simba kukamilika, nae tayari kwa kuwavaa Alliance Fc.
Alliance Fc vs Simba Sc
Saa 10:00 Jioni
Uwanja wa Ccm Kirumba.
#fullsokatzupdates
Mazungumzo kati ya Frank Lampard na wanahabari
. “kutofaulu kwetu kupata alama kumetugharimu lakini timu yangu ‘ilitoa kila kitu kujaribu kupata matokeo …
…
Lampard anaelezea ni kwanini Abraham ni pendekezo lake la kwanza kuliko Batshuayi “Tammy ana tabia nzuri, talanta kubwa, na anaishi ndoto anafaa kuwa nambari tisa wa Chelsea. Leo haikuwa siku yake kabisa”
…
…
Lampard anamaliza kwa kusema hajui kuhusu kurejea mapema kwa Reece James ambaye amepata leo jeraha
Mambo 10 nilioyaona Azam Vs Yanga

1: Nje ya mbinu, Azam walikua makini sana, Yanga walikua na presha sana. Hii ilikua tofauti ya kwanza iliyoonyesha timu ipi ilikua imeandaliwa vizuri mentally.
2: Alichokifanya Cioaba wa Azam ni kuiba ramani ya vita ya Mexime wa Kagera. 4-2-4 ikarudi tena kuimaliza Yanga🙌 Ni muda mrefu sana sijaishuhudia Azam ikicheza game kubwa na plan ya viungo wawili tu katikati ya uwanja
.
.
3: Bryson Raphael🙌 WoW👏 Kwangu ndie Man of the match. Amenikumbusha James Kotei mwekundu. Mita 40, mbele ya Abarola, alikuepo katika kila tukio
4: Juma Abdul is Back 🙌 Tofauti ya ubora wake kwenye mechi hii na ile Simba ni Yanga imekosa matokeo tu. Si kazi rahisi kumfanya Kangwa arudi nyuma.
5: SureBoy🙌 Fantastic Captain. Alijitahidi sana kuipoza presha ya Yanga kwa kutulia na mpira na kupiga pasi za uhakika. Azam iliimisi sana huduma yake alipokua majeruhi.
6: Yikpe ni Yope kweli😀 Kimo chake, umbo lake, i wonder how anashindwa kuwin mipira ya juu🤔 Labda ugeni wa Ligi na kukutana na mechi ngumu mfululizo kumeathiri kipaji chake. Acha nisubiri zaidi.
7: Nilifikiri Plan nzuri ya Yanga ni kucheza na mastraika wawili na sio mmoja. 4-1-3-2 ingekua plan bora kwa Yanga mbele ya Azam kuliko 4-5-1. Tshishimbi angetosha kuwalinda Balama Niyonzima na Sibomana then Nchimbi akaanza mbele na Molinga.
8: Hans Mabena hakua na siku nzuri kazini. Binafsi nimestaajabu ni vipi Sure Boy amemaliza dakika 90 bila kadi ya njano
.
.
9: Nidhamu mbovu ya Yanga uwanjani inatokana na nidhamu mbovu walioanza kua nayo kwenye benchi. Mechi 2 kadi 2 nyekundu. Yule mzungu anatakiwa kudhibitiwa kiasi, Yanga inatakiwa kuboreshwa kimbinu sio kimorali
10: Well done Oscar Masai 👏 kitu pekee Azam walichokimisi kwa Yakubu leo ni zile rasta zake tu, kazi yote ilifanywa vyema na kijana mdogo wa Kitanzania
.
.
Nb: Sauti imetosha au DJ aongeze kidogo 😀
Kamata Ratiba Ya soka Leo
:
👉Kufuzu Kombe la Dunia
16:00 Tanzania U20 vs Uganda U20
:
👉VodacomPremierLeague
16:00 Allience Fc vs Simba SC
:
👉England – Premier League
17:00 Burnley vs Leicester City
19:30 Liverpool vs Manchester United
:
👉England – Championship
15:00 Nottingham Forest vs Luton Town
:
👉Spain – LaLiga Santander
14:00 Mallorca vs Valencia
16:00 Real Betis vs Real Sociedad
18:00 Villarreal vs RCD Espanyol
20:30 Athletic Bilbao vs Celta Vigo
23:00 Barcelona vs Granada
:
👉Italy – Serie A
14:30 Milan vs Udinese
19:00 Bologna vs Verona
17:00 Brescia vs Cagliari
17:00 Lecce vs Inter
20:00 Genoa vs Roma
22:45 Juventus vs Parma
:
👉Germany – Bundesliga
17:30 Hertha BSC vs FC Bayern München
20:00 SC Paderborn 07 vs Bayer Leverkusen
:
👉France – Cup
19:15 Athletico Marseille vs Rennes
19:15 Dijon vs Nimes
19:15 Montpellier vs Caen
19:15 Rouen vs Angers
22:55 Lorient vs Paris Saint-Germain
:
👉Netherlands – Eredivisie
16:15 VVV-Venlo vs PSV Eindhoven
18:30 Ajax Amsterdam vs Sparta Rotterdam
18:30 FC Emmen vs Heracles
20:45 ADO Den Haag vs RKC Waalwijk
:
👉Belgium – First Division A
16:30 Cercle Brugge vs Royal Antwerp
20:00 Anderlecht vs Club Brugge
22:00 Zulte Waregem vs Genk
:
👉Algeria – Ligue 1
16:30 NC Magra vs Paradou AC
:
👉Egypt – Premier League
20:30 Al Mokawloon Al Arab vs Al Ahly
:
👉Morocco – Botola Pro
19:00 OCK Khouribga vs Renaissance Club Zemamra
21:00 RSB Berkane vs Raja Casablanca
:
👉South Africa – Premier League
16:30 Bloemfontein Celtic vs Chippa United FC
16:30 Polokwane City vs Lamontville Golden Arrows
16:30 SuperSport United vs Mamelodi Sundowns FC
:
👉Tunisia – Ligue I
15:00 Esperance Vs Club Africain
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson
Kamata Matokeo Ya Soka Jana
:
👉VodacomPremierLeague
FT Azam Fc 1-0 Yanga SC
:
👉England – Premier League
FT Watford 0 – 0 Tottenham Hotspur
FT Arsenal 1 – 1 Sheffield United
FT Brighton & Hove Albion 1 – 1 Aston Villa
FT Manchester City 2 – 2 Crystal Palace
FT Norwich City 1 – 0 AFC Bournemouth
FT Southampton 2 – 3 Wolverhampton Wanderers
FT West Ham United 1 – 1 Everton
FT Newcastle United 1 – 0 Chelsea
:
👉England – Championship
FT Queens Park Rangers 1 – 0 Leeds United
FT Birmingham City 1 – 1 Cardiff City
FT Bristol City 1 – 0 Barnsley
FT Derby County 1 – 0 Hull City
FT Huddersfield Town 0 – 0 Brentford
FT Millwall 2 – 0 Reading
FT Preston North End 2 – 1 Charlton Athletic
FT Sheffield Wednesday 0 – 5 Blackburn Rovers
FT Swansea City 2 – 1 Wigan Athletic
:
👉Spain – LaLiga Santander
FT Levante 0 – 1 Deportivo Alaves
FT Real Madrid 2 – 1 Sevilla
FT Osasuna 0 – 0 Real Valladolid
FT Eibar 2 – 0 Atletico Madrid
:
👉Italy – Serie A
FT Lazio 5 – 1 Sampdoria
FT Sassuolo 2 – 1 Torino
:
👉Germany – Bundesliga
FT 1. FC Köln 3 – 1 Wolfsburg
FT Mainz 05 1 – 2 Freiburg
FT Augsburg 3 – 5 Borussia Dortmund
FT Fortuna Düsseldorf 0 – 1 Werder Bremen
FT Hoffenheim 1 – 2 Eintracht Frankfurt
FT RasenBallsport Leipzig 3 – 1 1. FC Union Berlin
:
👉Netherlands – Eredivisie
FT Fortuna Sittard 1 – 3 Vitesse
FT FC Twente 0 – 0 FC Groningen
FT Feyenoord 3 – 1 SC Heerenveen
FT AZ Alkmaar 1 – 3 Willem II
:
👉Belgium – First Division A
FT Eupen 1 – 1 Sporting Charleroi
FT Oostende 0 – 1 Waasland-Beveren
FT St.Truiden 2 – 0 Kortrijk
FT Gent 3 – 1 Royal Excel Mouscron
:
👉Egypt – Premier League January 18
FT ENPPI 2 – 1 FC Masr
FT El Entag El Harby 1 – 0 El Hodood
FT Smouha SC 1 – 1 Ismaily SC
:
👉Morocco – Botola Pro
FT Youssoufia Berrechid 1 – 1 FUS Rabat
FT FAR Rabat 1 – 0 Raja Beni Mellal
FT MCO Oujda 1 – 0 MAT Tetouan
:
👉South Africa – Premier League
FT Black Leopards 1 – 1 Kaizer Chiefs
FT Orlando Pirates 3 – 1 Highlands Park FC
FT Cape Town City FC 2 – 0 Bidvest Wits
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson
UJUMBE WA ASHLEY YOUNG KWA MASHABIKI WA MANCHESTER UNITED
“Ashley” kila muda nikiwa natembea katika uwanja nimevaa JEZI YA Manchester united nilikuwa nafanya niwezalo kwa ajili yenu, ASANTENI Kwa sapoti yenu kwa kubwa na dogo nililolifanya
Nimeondoka kama mmoja kati yenu naamini nitarejea punde kwa njia yoyote ile”
LAMPARD AMESEMA haitaji kuongeza MTU mpya majira haya ya baridi

LAMPARD AMESEMA haitaji kuongeza MTU mpya majira haya ya baridi anahitaji kuendelea na wachezaji alionao kwasasa ila majira ya kiangazi atahitaji watu sahihi ili kuongeza nguvu kikosi chake
BOSS Anaimani na VIJANA WAKE?