#Nondo Kuelekea Pambano kati ya Chelsea dhidi ya Arsenal majira ya saa 23:15 pm .

:

Nondo 1🔨 .
✍️ Klabu ya Arsenal hawajapata ushindi wowote katika michezo 7 ya mwisho walipotembelea Katika dimba la Stamford Bridge dhidi ya Chelsea (D1 L6) tangu walipo pata ushindi wao wa mwisho Mwezi Oktoba 2011 wa goli 5-3. Hata hivyo hakuna timu ya EPL iliyoshinda mechi nyingi katika dimba la Stamford Bridge kama Arsenal ,(W7).
.
#bakinasisi__ #NjooKwetu #TupoNawePaleUlipo

Goodson Park. . Everton wakiwakaribisha Newcastle UTD

#

Updates | Goodson Park.
.
✍️ Goodson Park leo kutawaka 🔥 Everton wakiwakaribisha Newcastle UTD, ambao wametoka kumfunga Chelsea. Vijana Steve Bruce “Newcastle UTD” hii Leo watakuwa wakiwathibitishia wapenzi na mashabiki wa klabu hiyo kuwa ushindi walioupata dhidi ya Chelsea haukuwa wa kubahatisha bali Ni wakishindo.
.
✍️ Carlo Ancelotti hii leo kitakuwa kibarua chake Cha 7 tangu alipoichukua timu hiyo, Ancelotti amefanikiwa kuchukua alama 7 katika michezo hiyo 6 iliyopita ikiwa na maana kuwa ameshinda 2, Sare 1 na kafungwa 2 (W2 D1 L2). Leo je ataweza kuchukua point 3 tenah Nyumbani Goodson Park…???? Pia anaendelea kuwakosa Wachezaji wake muhimu Richarlison na Gylfi Sigurdsson n, huku pale mbele akiendelea kumtumia Mshambuliaji wake aliye kwenye fomu msimu huu Dominic Calvert anagoli 9 msimu huu.
.
.
Nondo 🔨
✍️ Everton wamepoteza mchezo mmoja tu wakiwa Nyumbani (Goodson Park) Kati ya michezo 15 iliyopita ya ligi kuu Uingereza dhidi ya Newcastle UTD (W10 D4 L1)
.
#bakinasisi__
#NjooKwetu
#TupoNawePaleUlipo

Kylian Mbappe kuhusu

“Wanashinda, wanashinda, wanashinda”. .
:
✍️ Kylian Mbappe kuhusu Liverpool 🗣️”Kile ambacho wanafanya Liverpool msimu huu ni chakushangaza Sana, ni kama mashine, hawajapoteza mchezo wowote, unaweza kufikiria ni rahisi lakini sio rahisi, wanapambana, wanacheza mechi baada ya siku 3 na wanashinda, wanashinda, wanashinda.”
.
#bakinasisi__
#NjooKwetu #TupoNawePaleUlipo

Manchester United ipo tayari kutoa kiasi cha £42m ili kumsajili mshambuliaji wa Lyon Moussa Dembele

Kwa mujibu wa DAILY STAR, Klabu ya Manchester United ipo tayari kutoa kiasi cha £42m ili kumsajili mshambuliaji wa Lyon Moussa Dembele
.
.
Kocha wa klabu hiyo Ole Gunnar Solskjaer anatafuta mbadala wa Marcus Rashford ambaye anatarajiwa kukaa nje muda mrefu akiuguza jeraha lake alilolipata kwenye mchezo dhidi ya Wolves
.
.
#sokaonlineupdates

Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi tofauti Barani Afrika.⁣⁣⁣ ⁣⁣⁣

𝐊𝐞𝐧𝐲𝐚- 𝐊𝐏𝐋 🇰🇪⁣⁣⁣
John Mark Makwatta (AFC Leopards) – Magoli 12⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
𝐀𝐟𝐫𝐢𝐤𝐚 𝐊𝐮𝐬𝐢𝐧𝐢-𝐏𝐒𝐋 🇿🇦⁣⁣⁣
Gabadinho Mhango (Orlando Pirates) – Magoli 12 ⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
𝐓𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚- 𝐕𝐏𝐋 🇹🇿⁣⁣⁣
Meddie Kagere (Simba SC) – Magoli 11 ⁣⁣⁣

𝐀𝐧𝐠𝐨𝐥𝐚-𝐆𝐢𝐫𝐚𝐛𝐨𝐥𝐚 🇦🇴⁣⁣⁣
Toni (Petro de Luanda) – Magoli 11⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
𝐔𝐠𝐚𝐧𝐝𝐚-𝐔𝐏𝐋 🇺🇬⁣⁣⁣
Ben Ocen (Police FC) – Magoli 11⁣⁣⁣
Steven Mukwala (Maroons FC) – Magoli 11⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
𝐙𝐚𝐦𝐛𝐢𝐚-𝐙𝐒𝐋 🇿🇲⁣⁣⁣
James Chamanga (Red Arrows) – Magoli 10⁣⁣⁣
Jesse Jackson Were (Zesco United) – Magoli 10⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
𝐌𝐢𝐬𝐫𝐢-𝐄𝐏𝐋 🇪🇬⁣⁣⁣
Abdallah El Said (Pyramids FC) – Magoli 9⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
𝐃𝐑𝐂-𝐋𝐢𝐧𝐚𝐟𝐨𝐨𝐭 🇨🇩⁣⁣⁣
Jackson Muleka (TP Mazembe) – Magoli 9⁣⁣⁣
Vinny Bongonga (DC Motema Pembe) – Magoli 9⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
𝐍𝐢𝐠𝐞𝐫𝐢𝐚-𝐍𝐏𝐅𝐋 🇳🇬⁣⁣⁣
Ibrahim Mustapha Yuga (Plateau United) – Magoli 8⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
𝐓𝐮𝐧𝐢𝐬𝐢𝐚-𝐂𝐋𝐏-𝟏 🇹🇳⁣⁣⁣
Anthony Okpotu (US Monastir) – Magoli 7⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
𝐀𝐥𝐠𝐞𝐫𝐢𝐚-𝐋𝐢𝐠𝐮𝐞 𝟏 🇩🇿⁣⁣⁣
Mohamed Lamine Abid (CS Constantine) – Magoli 7⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
𝐌𝐨𝐫𝐨𝐜𝐜𝐨-𝐁𝐨𝐭𝐨𝐥𝐚 𝐏𝐫𝐨 🇲🇦⁣⁣⁣
Reda Hajhouj (Olympique Club Khouribiga) – Magoli 7⁣⁣⁣
⁣⁣⁣
𝐆𝐡𝐚𝐧𝐚-𝐆𝐏𝐋 🇬🇭⁣⁣⁣
Yahaya Mohammed (Aduana Stars) – Magoli 6

Robin van Persie aionya united kumrudisha rashford uwanjani

Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal na Manchester United Robin van Persie ameionya United kutokimbilia kumrudisha uwanjani Marcus Rashford, 22, baaada ya mshambuliaji huyo kuumia mgongo. (Manchester Evening News)


Bournemouth wanamtaka winga wa Borussia Dortmund Jacob Bruun Larsen, 21, lakini mkufunzi wao Cherries Eddie Howe amesema hakuna mchezaji mpya atakayejiunga nao. (Daily Echo)

Liverpool yagoma kumuuza kiungo wake Xherdan Shaqiri, 28,

Liverpool haiko tayari kumpoteza kiungo wa kati wa Uswizi Xherdan Shaqiri, 28, licha ya Roma kuonesha nia ya kutaka kumnunua mwezi huu. (Sky Sports)

Manchester United imekiri kuwa ilishindwa kwenye vita na Real Madrid katika kinyang’anyiro cha usajili wa kiungo wa kati wa Ajax Donny van de Beek, 22. (Star)

Inter Milan wako tayari kulipa £11m na ada zingine ili kumsajili kiungo wa kati Christian Eriksen

Inter Milan wako tayari kulipa £11m na ada zingine ili kumsajili kiungo wa kati Christian Eriksen kutoka Tottenham mwezi huu. (Sky Sports)

Manchester United inaandaa ofa ya £43m kumnunua mshambuliaji wa Lyon Mfaransa Moussa Dembele, baada ya Marcus Rashford kuumia mgongo. (Foot Mercato, via Manchester Evening News)

Design a site like this with WordPress.com
Get started