
#Sababu 1 Liverpool kutwaa ligi kuu Uingereza msimu huu.
.
โ๏ธ Kinachoendelea kunako ligi kuu Uingereza kwasasa kila mtu aanakiona, Mabingwa wa Uefa Champions league na klabu Bingwa Dunia Liverpool wapo on๐ฅ kweli kweli, hadi hivi sasa klabu ya Liverpool Tayari inaongoza kwa alama 64 ikiwa imeiacha Man City kwa alama 16 huku Liverpool wakiwa na mchezo mmoja mkononi yaani wamecheza michezo 22, na Man City wao wamecheza michezo 23, Je..!! Unaweza kusema kuwa Liverpool msimu huu Ubingwa upo mikononi mwao, Bado mapema kutabiri hivyo lakini kwa mwenendo wao unaweza kusema hivyo.
:
โ๏ธ Basi hii ndio sababu ambayo inanifanya niamini kwa % 79 kuwa Liverpool msimu huu Anaweza kutwaa UBingwa, sababu ni moja lakini inavipengele ndani yake.
.
1: Timu ya Klopp imeimarika sana. Jurgen Klopp alitua Liverpool 2015 akitoea Borussia Dortmund. Klopp ameifanya Liverpool kuwa imara kila idara pamoja na kuwa hawana Kikosi kipana kivile.
.
โ Utayari Wa Wachezaji.
Unawapo watazama wachezaji wa Liverpool wanacheza kwa spirit ya hali ya juu sana, kuanzia mabeki , viungo hadi Forward zao ni wamoja, Organization imekuwa kubwa sana pindi wanapo kuwa uwanjani.
.
โ Kuchechema kwa CITY.
Vijana wa Pep msimu huu wanachechemea sana, licha ya kuwa sio wakubeza kwani ukiingia kichwa kichwa utapigwa za kutosha pia, hadi hivyi Sasa wameshaachwa alama 16 nyuma na kiporo Cha mechi 1 kwa Liverpool, hii nayo yaweza kuwa sababu mojawapo ya kuifanya Liverpool kutwaa taji hili msimu huu.
.
โ Fitness. Wachezaji wa Liverpool wanaonekana wana energy ya kutosha bado pamoja na kucheza mechi nyingi za klabu Bingwa Dunia, bado wana Energy ya kupambania Ubingwa msimu huu.
.
โ Uchu wa kuukosa Ubingwa kwa kipindi kirefu tangu msimu wa 1989/90 chini ya Kenny Dalgish kunawafanya Liverpool wapambane kulisaka taji hili msimu huu.
.
โ Ubora wa Klopp.
Ki mbinu, amekuwa Bora pia katika kumtengeneza mchezaji na kuwa wakiwango Cha juu, Kloop amekuwa Bora Sana na ndio silaha kubwa Sana ya Liverpool msimu huu.
.
#bakinasisi__
#NjooKwetu #TupoNawePaleUlipo