
Mshambuliaji Mbwana Samatta sasa atakuwa akivaa jezi namba 20 katika klabu yake mpya ya Aston Villa.
Samatta alikuwa na huru wa kuchagua namba zilizokuwa hazina watu kuanzia namba 2, 16, 19, 20, 29, 31-32, 33, 35-37 na 38 klabuni hapo katika namba hizo amechagua namba 20.
Awali aliyokuwa akivaa Genk jezi yake ilikuwa namba 10.













:
:
