Kamata Matokeo Ya Soka Jana :

👉England – Premier League
FT Wolverhampton 1 – 2 Liverpool
:
👉England – FA Cup
FT Tranmere Rovers 2 – 1 Watford
:
👉Spain – Copa del Rey
FT Ebro 0 – 1 Leganes
FT Mirandes 2 – 1 Celta Vigo
FT CD Badajoz 3 – 1 Eibar
FT Leonesa 2 – 1 Atletico Madrid
FT Rayo Vallecano 2 – 2 Real Betis
P (4-2)
:
👉Netherlands – KNVB Beker
FT Ijsselmeer Vogels 1 – 1 Go Ahead Eagles
P (6-7)
FT NAC Breda 2 – 0 PSV Eindhoven
:
👉Belgium – Beker Van Belgie
FT Royal Antwerp 1 – 1 Kortrijk
:
👉International – Friendlies
FT Burundi 3 – 0 Bangladesh
:
👉International – Club Friendlies
FT Arsenal Tula 1 – 0 Sepsi OSK
FT Osijek 2 – 0 Lokomotiv Moscow
:
👉Algeria – Ligue 1
FT Paradou AC 1 – 2 CS Constantine
:
👉Morocco – Botola Pro
FT Ittihad Tanger 1 – 2 Olympic Club de Safi
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Victor Moses amejiunga Inter Milan kwa mkopo

MICHEZO: Mchezaji wa Chelsea, Victor Moses amejiunga Inter Milan kwa mkopo ambapo anaenda kuungana na Kocha wa Zamani wa Chelsea, Antonio Conte

Anakuwa mchezaji wa hivi karibuni kujiunga Inter akitokea Ligi Kuu England baada ya Romelu Lukaku, Ashley Young na Alexis Sanchez

Je, kwa Wachezaji waliosajiliwa na Conte, Inter inaweza kuchukua Kombe la Italia msimu huu?

Kiungo wa kati wa CHIPOLOPOLO Enock Mwepu anasema matarajio ya Zambia ya kufanya vizuri kuwania kufuzu kombe la dunia hatua ya makundi

Kiungo wa kati wa CHIPOLOPOLO Enock Mwepu anasema matarajio ya Zambia ya kufanya vizuri kuwania kufuzu kombe la dunia hatua ya makundi lipo mikononi mwao kufuatia draw ya makundi iliyofanyika nchini Misri Jumanne ambapo Zambia ailipangwa kundi moja na timu kutoka ukanda wa Afrika Kaskazini Tunisia, Mauritania na Guinea ya Ikweta
Zambia ilikuwa kwenye upande wa timu zenye nguvu zaidi Afrika ikipangwa Pot 2 wakati Tunisia ikiwa katika Pot 1 huku Mauritania na Equatorial Guinea zikiwa pot 3/4

Emmanuel Amuneke kuifundisha El-Maqasa ya Misri

Klabu ya El-Maqasa ya Misri imepanga kumtangaza mkufunzi wa zamani wa Taifa Stars Raia wa Nigeria Emmanuel Amuneke kama mkufunzi mkuu wa klabu hiyo.

Klabu hiyo ya El-Maqasa imemfuta kazi kocha wake Ahmed Hossam Mido. Baada ya mwenendo mbaya wa klabu hiyo Mara ya mwisho klabu hiyo kupata ushindi ilikua tare 17 mwezi wa kumi mwaka 2019
El Maqasa ipo katika nafasi ya 15 katika msimamo wa ligi kuu nchini Misri ikiwa na Point zake 11.

#SokaplaceUPDATES

Design a site like this with WordPress.com
Get started