Manchester United ipo kwenye mipango ya mchezaji wa Leicester James Maddison. … …

Baada ya mambo kuwa magumu kumpata Bruno Fernandes, Manchester United ipo kwenye mipango ya kuboresha kikosi chao huku wakihusishwa kumsaini mchezaji wa Leicester James Maddison.


Jarida la Daily Star linadai kuwa Mashetani wekundu wanataka kufanya maingizo mapya kwenye kikosi chao kabla ya tarehe ya mwisho ya dirisha kufungwa.

Emmanuel Amuneke kuwa kocha mkuu Misr El-Makasa..misri

– Kocha Mkuu wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania Raia wa Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬, Emmanuel Amuneke anatarajia kutangazwa kuwa kocha Mkuu mpya wa klabu ya Ligi Kuu Nchini Misri πŸ‡ͺπŸ‡¬, Misr El-Makasa kufuatia klabu hiyo kumtimua aliyekuwa kocha wao Mkuu, Ahmed Hossam Mido… Mido alitimuliwa jana Jumatano baada ya kupoteza 3-1 mbele ya Pyramids FC Siku ya Jumanne kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Misri.
..
– El-Makasa hawajashinda mechi yoyote kati ya michezo yao ya mwisho 10 ya ligi tangu walipopata ushindi wa mwisho mnamo Oktoba 2019, ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Al Masry SC…Makasa kwa sasa wapo nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi wakiwa na tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa kutoka eneo la kushuka Daraja..
..
– Amuneke aliifundisha Timu ya taifa ya Nigeria kutwaa Ubingwa wa kombe la Dunia kwa vijana wa U17 mwaka 2015.. Kocha huyo mwenye umri wa miaka 49 aliteuliwa kuwa kocha mkuu wa Tanzania mnamo 2018 ambapo aliiongoza Taifa Stars kwenye fainali za kwanza za Kombe la Mataifa ya Afrika tangu 1980.. Amuneke alitimuliwa pande zote kufika muhakafa baada ya Stars kutupwa nje Katika Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika ya 2019 huko Misri.
#transfersUpdates #Updates
@Harunlugoyah

#dailysporttz

Carlo Ancelotti kusajili kiungo.mpya Everton

Kwa mujibu wa taarifa kutoka ( Daily Star ) mkufunzi wa klabu ya Everton Carlo Ancelotti ameweka wazi kuwa kiungo wa klabu ya Southampton Pierre-Emile Hojbjerg ndiye kipaumbele chake katika harakati za kuimarisha kikosi chake katika kipindi hiki kwenye eneo la kiungo kwenye timu yake
β€’
Ancelotti amesema anaamini kiungo huyo wa zamani wa Bayern Munich, fc Ausburg na Shalke 04 atakuja kuongeza kitu anachokihitaji kwenye eneo hilo

#dailysporttz

Islam Slimani kujiunga na Manchester United

Imeripotiwa kuwa mshambuliaji wa klabu ya Leicester anayechezea klabu ya Monaco kwa mkopo Islam Slimani yuko kwenye orodha ya wachezaji wanao husishwa kujiunga na Manchester United
β€’
Islam raia wa Algeria ambaye ana umri wa miaka 31 kwa sasa alijiunga na Leicester mwaka 2016 akitokea Sporting CP aliichezea Leicester kwa misimu miwili aliichezea michezo 35 na kufanikiwa kuifunga goli 8 pekee baadae alitolewa kwa mkopo kwenye vilabu vitatu ambavyo ni Newcastle United, Fernabache na Monaco ambayo anaichezea kwa sasa

#dailysporttz

Middlesbrough FC imefanikiwa kumsajili kinda wa Kenya George Gitau miaka 16 β€’

Middlesbrough FC imefanikiwa kumsajili kinda wa Kenya George Gitau mwenye umri wa miaka 16
β€’
Gitau amesajiliwa kwaajili ya kutumika kwenye kikosi cha vijana chini ya umri wa miaka 17 Cha Middlesbrough
β€’
Gitau ambaye ni beki wa kushoto pia aliwahi kuchezea timu za vijana (Academy) za Arsenal na Crystal Palace

#dailysporttz

Leo ni siku ya kumbu kumbu ya kuzaliwa ya mshambuliaji wa Barcelona na

Leo ni siku ya kumbu kumbu ya kuzaliwa ya mshambuliaji wa Barcelona na timu ya taifa ya Uruguay Luis Alberto Suarez ambaye amefikisha umri wa miaka 33
β€’
Takwimu za Suarez kwenye baadhi ya vilabu alivyowahi kuchezea
β€’
Ajax | Michezo – 159 | goli – 111
β€’
Liverpool | Michezo – 133 | goli – 83
β€’
Barcelona | Michezo – 270 | goli – 191
β€’
Timu ya taifa Michezo – 113 | goli- 59
β€’
Happy birthday @

luissuarez9

#dailysporttz

Brendan Rodgers amesema kuwa anatarajia majeraha ya mshambuliaji Jamie Vardy “sio mabaya sana

– Meneja wa Leicester City, Brendan Rodgers amesema kuwa anatarajia majeraha ya mshambuliaji Jamie Vardy “sio mabaya sana” baada ya kuthibitisha kuwa “sio majeraha ya misuli”… Vardy, mdio mfungaji bora wa sasa kwenye Ligi Kuu akiwa na mabao 17, alitolewa kabla ya kipindi cha Pili kwenye ushindi wa jana Jumatano 4-1 dhidi ya West Ham.
..
– Alianguka chini na kushika nyuma ya mguu wake wa kushoto, alipokea matibabu ndani ya uwanja lakini hakuweza kuendelea na mchezo na nafasi yake kuchukuliwa na Mnigeria, Kelechi Iheanacho… Vardy amechangia asilimia 34 ya magoli ya ligi ya Leicester msimu huu.
..
– Vardy pia ni mmoja wa wachezaji watatu wa Kiingereza wenye mabao mengi ambao kwa sasa wameumia katika Orodha ya Wafungaji bora wa Ligi sita Ni Danny Ings Pekee wa Southampton Akiwa na Magoli mengi (14) ndiye anayesalia kuwa bila majeraha , Majeraha ya hivi karibuni yameripotiwa kuwakumba, Harry Kane wa Tottenham, Marcus Rashford wa Manchester United na Tammy Abraham wa Chelsea..
#LeicesterCity #PremierLeague #JamieVardy
@Harunlugoyah

#dailysporttz

Brighton wamemsajili kiungo wa Kimataifa wa Australia πŸ‡¦πŸ‡Ί, Aaron Mooy kutoka Klabu ya Huddersfield

– Brighton wamemsajili kiungo wa Kimataifa wa Australia πŸ‡¦πŸ‡Ί, Aaron Mooy kutoka Klabu ya Huddersfield iliyopo huko Championship kwa mkataba wa miaka Mitatu na nusu… Mooy amekuwa kwa mkopo hapo Brighton msimu huu, akifunga mabao mawili na kutoa Assist moja katika mechi 17… Goli Pekee ni dhidi ya Bournemouth, wakipoteza 3-1 siku ya Jumanne.
..
– Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 ameichezea Huddersfield mara 111 baada ya kusajiliwa kutoka Manchester City mnamo 2016..
#PremierLeague #Brighton #Huddersfield
@Harunlugoyah

#dailysporttz

Trent Alexander-Arnold ndiye mchezaji wa kwanza wa Liverpool katika historia ya Premier League kutoa Assist 10

Trent Alexander-Arnold ndiye mchezaji wa kwanza wa Liverpool katika historia ya Premier League kutoa Assist 10+ katika misimu miwili mfululizo.

Trent Alexander-Arnold ndiye Beki wa kwanza kwenye historia ya Premier League kutoa Assist 10+ katika misimu miwili mfululizo.
:
2 – Baada ya Cesc FΓ bregas, Trent Alexander-Arnold ni mchezaji wa pili tu katika historia ya Premier League kutoa Assists 10+ katika misimu miwili tofauti Kwa Wachezaji walio chini ya umri wa miaka 21:

Trent Alexander-Arnold: Assist King. πŸ‘‘
#PremierLeague #Liverpool
@Harunlugoyah

#dailysporttz

Manchester United huenda wakamnunua mshambuliaji wao wa zamani Muargentina Carlos Tevez

Manchester United huenda wakamnunua mshambuliaji wao wa zamani Muargentina Carlos Tevez,35, ambaye kwa sasa anachezea Boca Juniors.

.. Chelsea wamefufua mazungumzo na Lyon kuhusu usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa Moussa Dembele, 23, mwezi huu endapo watamkosa Edinson Cavani, 32 kutoka Paris St-Germain’s. (Sun)

Design a site like this with WordPress.com
Get started