Baada ya kupata ushindi wa goli 6-0

kwenye mchezo wao wa kwanza wa michuano ya FA dhidi ya Arusha fc kikosi cha Simba sc kesho majira ya saa 10 jioni kitashuka dimbani kwenye uwanja wa Taifa kuvaana na Mwadui fc ikiwa ni hatua ya nne ya michuano hii
#dailysporttz













Mkataba wa Mbeligiji huyo umesalia katika miezi sita ya mwisho, Chelsea na Inter wanavutiwa na mchezaji huyo

👉AzamSportsFederationCup









