
Thomas Ulimwengu amerejea TP Mazembe ,Nyota huyo wa zamani wa klabu hiyo amesaini mkataba wa miaka miwili kuungana tena na klabu hiyo iliyotinga katika hatua ya Robo Fainali klabu Bingwa Barani Afrika.
#SokaplaceUPDATES

Thomas Ulimwengu amerejea TP Mazembe ,Nyota huyo wa zamani wa klabu hiyo amesaini mkataba wa miaka miwili kuungana tena na klabu hiyo iliyotinga katika hatua ya Robo Fainali klabu Bingwa Barani Afrika.
#SokaplaceUPDATES

Klabu ta Southampton imethibitisha kuwa kiungo wa Afrika Kusini Kgaogelo Chauke amepandishwa daraja kutoka kwenye Academy hadi timu ya kwanza na amesaini mkataba wa miaka 2.
#SokaplaceUPDATES
:
👉AzamSportsfederationCup
FT Azam FC 3-1 Friends Rangers
:
👉Egypt – Premier League
FT El Hodood 1 – 2 Aswan FC
FT Misr El-Maqasa 1 – 1 El Geish
:
👉Morocco – Botola Pro
FT Olympic Club de Safi 2 – 2 MCO Oujda
:
👉Ghana – Premier League
FT Ebusua Dwarfs 2 – 1 Dreams FC
:
👉International – Club Friendlies
FT Hobro 4 – 2 AC Horsens
:
👉Netherlands – Eerste Divisie
FT Jong AZ Alkmaar 3 – 3 Almere City FC
FT Jong PSV 2 – 1 Excelsior
:
👉England – FA Cup
FT AFC Bournemouth 1 – 2 Arsenal
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Baada ya Miaka 7 Nathan Sinkala anaicha TP Mazembe 🇨🇩 Akiwa TP Mazembe ameshinda mataji haya
DR Congo League – 5
CAF Champs. League – 1
CAF Confed. Cup – 2
CAF Super Cup 1
#SokaplaceUPDATES

#FullTime
:
Azam FC 3-1 Friends Rangers
Kipagwile ⚽
Morad (OG)⚽
Kipagwile ⚽
:
Morad ⚽
:
#AzamSportsFederationCup

Klabu ya Vipers SC ya UGANDA imemtaja Fred Kajoba kama mkufunzi wao mkuu mpya anayechukua nafasi ya Edward Golola aliyefukuzwa kazi katika klabu hiyo.
Kocha huyo wa zamani wa Bright Stars alitangazwa jana Jumapili kwenye uwanja wa St Mary’s jijini Kampala.
#SokaplaceUPDATES

Kiungo wa klabu ya @spursofficial Christian Eriksen tayari amewasili Milan kukamilisha usajili wa kujiunga na klabu ya InterMilan
#SokaplaceUPDATES


✍🏻 Raundi tano ya hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika imetamatika hapo jana kwa baadhi ya timu kujikatia tiketi ya moja kwa moja Kufuzu Kwa hatua ya Robo fainali ya Michuano.
:
✍🏻 Kama ilivyo Klabu Bingwa Barani Afrika, pia na huku Vilabu kutoka Mataifa ya Kiarabu vimetawala… Kundi mpaka Kundi vilabu vilivyofuzu na vilivyoondoshwa katika Michuano 👇🏻
.
• Kundi A: Pyramids FC kutoka Misri 🇪🇬 wanafuzu hatua inayofuatia kama vinara wa Kundi kwa Pointi 12 pamoja kabisa na Al Masry SC kutoka nchini humo humo wanashika nafasi ya Pili na Kufuzu kwa hatua inayofuatia kwa Pointi zao 9️⃣… Kukiwa kumesalia game moja kila timu, Enugu Rangers (5pts) kutoka Nigeria 🇳🇬 na FC Nouadhibou (2pts) kutoka Mauritania 🇲🇷, wote safari yao imeisha.
.
• Kundi B: Kundi hili ni moja imefuzu, Horoya SC kutoka Guinea 🇬🇳 kama vinara wa Kundi kwa Pointi 11 na timu moja imeondoshwa rasmi, Bidvest Wits kutoka Nchini Afrika Kusini 🇿🇦 (1pts)… Timu mbili bado zina uwezo wa kuungana na Horoya huku hatma yao kujulikana mechi za mwisho, Al-Nasr kutoka Libya 🇱🇾 (8pts) na Djoliba AC (5pts) kutoka Mali 🇲🇱.
.
• Kundi C: Hakuna timu kutoka Kundi iliyokwisha fuzu zaidi ya timu moja tu kuwa tayari imeaga Mashindano, ESAE FC kutoka Benin 🇧🇯 wakuburuza mkia kwa Pointi yao moja, timu tatu zilizosalia zina nafasi ya kusonga, Vinara RSB Berkane kutoka Morocco 🇲🇦 (10pts), Zanaco kutoka Zambia 🇿🇲 (9pts) na DC Motema Pembe kutoka Nchini DR Congo 🇨🇩 (7pts).
.
• Kundi D: Kutoka Kundi hili la mwisho ni timo moja imefuzu, Hassania Agadir kutoka Nchini Morocco 🇲🇦 kwa Pointi 11 na timu moja imeondoshwa rasmi, San Pedro FC kutoka Nchini Ivory Coast 🇨🇮 na pointi zao tatu zikiwa ni pointi nyingi zaidi kati ya miongoni mwa vilabu vilivyoaga Michuano… Nafasi moja inawania bado na Enyimba kutoka Nigeria 🇳🇬 (7pts) na Paradou AC kutoka Nchini Algeria 🇩🇿 (5pts)… Raundi ya tano, San Pedro vs. Enyimba na Hassania Agadir vs. Paradou AC 🙌.
#CAFCC #TotalCAFCC
@Harunlugoyah
#dailysporttz

Baada ya kuanza vibaya ndani ya Real Madrid, Kila ukipiga goli 😀… Sasa mlinda lango, Thibaut Courtois ana Clean Sheets nyingi sawa kabisa na mabao aliyofungwa katika LaLiga msimu huu.
.
• 🏟 Michezo 1️⃣8⃣
• Clean Sheets 1⃣0⃣
• Magoli ya Kufungwa 1⃣0⃣
#Laliga #RealMadrid
@Harunlugoyah
#dailysporttz

100 – Neymar amehusika katika Magoli 100 kwenye michezo 75 katika Mashindano yote akiwa na PSG:
⚽ Magoli 6️⃣5⃣
🅰 Assist 3⃣5⃣
:
🙌 Neymar pia anakuwa Mchezaji wa kwanza kufunga walau Magoli 46 katika mechi 50 za mwanzo wa Ligi Kuu Nchini Ufaransa katika historia tangu Gunnar Anderson alipofunga Magoli 47 kati ya 1950 mpaka 1952..
#Ligue1 #PSG
@Harunlugoyah
#dailysporttz