Mechi za leo za kirafiki.. Kujiandaa na Afcon

Mechi za kirafiki za leo kujiaandaa nanAfrica Cup of Nations
:

Leo
Nigeria 🇳🇬 v 🇿🇼 Zimbabwe
Angola 🇦🇴 v 🇬🇼 Guinea Bissau

Kesho
Cameroon 🇨🇲 v 🇿🇲 Zambia
DR Congo 🇨🇩 v 🇧🇫 Burkina Faso
Ghana 🇬🇭 v 🇳🇦 Namibia
Uganda 🇺🇬 v 🇹🇲 Turkmenistan

#AFCON2019
.
Unakumbuka unatakiwa kucheza ticketi 10 za @mbet.co.tz upate nafssi ya kushindania safari ya kwenda Misri kuangalia AFCON. Muda ndio huu.
.

Mkude,,,Ajibu,..watemwa kikosini

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Emmanuel Amunike amewaondoa Jonas Mkude na Ibrahim Ajibu katika kikosi cha wachezaji 32 wanaosafiri kwenda Misri tayari kwa michuano ya #AFCON2019 .
.
Amunike amesema kigezo kilichotumika kuwaacha nyota hao ni perfomance yao mazoezini na nidhamu huku akisisitiza anajua watu wanamatamanio yao juu ya wachezaji fulani lakin nidhamu na utimamu wa viwango vyao katika mazoezi ni kipaumbele kikubwa ukiachana na Kapombe ambaye bado hajarudi kwenye ubora wake. .
.
Pia kocha huyo amewajumuisha makinda Kelvin John na Boniphace ili kuwapa uzoefu zaidi.
.
.
Wachezaji wengine walioachwa ni pamoja na Ayoub Lyanga, Ally Khamis, Kennedy Wilson na Shomari Kapombe

Muafaka wa maurizio sarri. Kufahamika jumamosi hiii

– Leo Jumamosi muhafaka utafikiwa Kati ya Wakala wa Kocha Maurizio Sarri na Uongozi wa Klabu ya Chelsea juu ya ombi La kocha huyo kataka kuihama The Blues.. Mmiliki wa Klabu hiyo Roman Abramovich ameruhusu kuachwa kwa kocha huyo hivyo Masuala ya Dau la Kuvunja mkataba ndio yanazungumzwa baina ya Chelsea na Juventus.
.
– Juventus iliyo tayari kulipa kila kitu Sasa tu inamsubiri Sarri kuja kuwa kocha wao mkuu mpya kwa Kipindi cha Miaka Mitatu. Siku ya Jumatatu dili hili linatarajia kutangazwa Rasmi. ⚪️⚫️🔜.
#sarri #mauriziosarri #chelsea
@Sokawaytz

Mtanzania…kuchezea klabu za ufaransa

Habari njema kwa watanzania, klabu ya As Monaco ya Ufaransa imeanza kuwania saini ya kiungo wa Minnesota ya Marekani mtanzania Ally Ng’anzi ambaye aliibukia katika timu ya vijana ya Serengeti Boys kabla ya baadae kutimkia Singida Utd. .
.
Akiongea na @officialfelixtz kutoka Marekani Ng’anzi amesema “Ni kweli nimepokea ofa nyingi kutoka kwenye baadhi ya klabu kubwa ikiwemo As Monaco ambao pia wameonyesha nia ya kunihitaji, kwasasa wanaendelea na mazungumzo na klabu yangu endapo watafikia muafaka basi sina tatizo hata kesho nitaenda” alisema Ng’anzi
.
.
Mpaka sasa kiungo huyo bado ana mkataba wa miaka mitatu na timu yake ya Minnesota Utd .
.
Kila la heri @ally_nganzi_12

BREAKING NEWS

Rais John Magufuli amemteua Innocent Bashungwa kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara akichukua nafasi ya Joseph Kakunda ambaye uteuzi wake umetenguliwa

Edwin Mhede ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu TRA; aliyekuwa Kamishna wa TRA, Charles Kichere uteuzi wake umetenguliwa na ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe

Design a site like this with WordPress.com
Get started