Matokeo..ya..michezo ya jana jumapili…na ratiba ya mechi za leo

M

MATOKEO YA SOKA JANA JUMAPILI NA RATIBA YA HII LEO.
– UEFA Nations League.
AET Switzerland 0 – 0 England * 🥉
FT Portugal 🏆 1 – 0 Netherlands 🥈
.
– World Cup Women – Group C.
FT Australia 1 – 2 Italy
FT Brazil 3 – 0 Jamaica
– World Cup Women – Group D.
FT England 2 – 1 Scotland
:
– International – Friendlies Matches
FT Japan 2 – 0 El Salvador
FT Ghana 0 – 1 Namibia
FT DR Congo 0 – 0 Burkina Faso
FT Cameroon 2 – 1 Zambia
FT Uganda 0 – 0 Turkmenistan
FT USA 0 – 3 Venezuela
FT Brazil 7 – 0 Honduras
FT Peru 0 – 3 Colombia
FT Paraguay 2 – 0 Guatemala
FT Mexico 3 – 2 Ecuador
.
– Morocco – Botola Pro.
FT FAR Rabat 0 – 2 MAT Tetouan
FT KACM 3 – 3 Wydad Casablanca
FT Hassania Agadir 1 – 0 Chabab Rif Al Hoceima
FT Ittihad Tanger 1 – 3 FUS Rabat
FT Raja Casablanca 2 – 0 Difaa El Jadida
FT Youssoufia Berrechid 2 – 1 Olympic Club de Safi
.
– Tunisia – Ligue I.
FT Club Africain 2 – 1 Esperance
:
RATIBA YA HII LEO JUMATATU.
– EURO – Qualification:
21:45 Bulgaria
Kosovo 21:45 Czech Republic
Montenegro
21:45 Serbia
Lithuania
21:45 Ukraine
Luxembourg
21:45 Denmark
Georgia 21:45 Ireland
Gibraltar
21:45 Faroe Islands
Norway
21:45 Malta
Romania
21:45 Spain
Sweden
21:45 North Macedonia
Austria
21:45 Latvia
Slovenia
21:45 Poland
Israe
.
– World Cup Women – Group D.
19:00 Argentina
Japan
– World Cup Women – Group E
22:00 Canada
Cameroon

URENO. YATWAA UBINGWA. WA UEFA…national.league

OFFICIAL: Ureno wametwaa Ubingwa wa Michuano ya UEFA Nations League Baada ya kuibuka na Ushindi wa Goli 1-0 katika Mchezo wa fainali dhidi ya Uholanzi.. Ureno wametwaa Kombe hili katika Ardhi yao ya nyumbani… Goli Pekee la Gonçalo Guedes limewapa Ubingwa 🇵🇹.
.
– Ureno wamekua mabingwa mara mbili kwenye mashindano manne yaliyopita waliyoshiriki, Baada ya kubaba UEFA EURO 2016, na Mwaka huu 2019 wametwaa kombe hili La UEFA Nations league.
.
– Portugal imekuwa timu ya kwanza kutoka Ulaya kuandaa na kushinda Ubingwa wa Mashindano makubwa ya Ulaya tangu Ufaransa walipotwaa Ubingwa wa Dunia 1998 wakiifunga Brazil 3-0..
.
– Netherlands Sasa wamepoteza fainali Nne Kati ya tano za Mashindano makubwa yaliyopita kwa wao kufika fainal.. 3⃣ Kombe La Dunia na 1⃣ Nations League..Netherlands pia wameendelea kuwa dhaifu mbele ya Portugal wakuwa huko huko Portugal.. D2, L4 katika games 6⃣ walizokutana..

Mwanamke aliyeweka.rekodi katika soka

– Kiungo wa timu ya taifa ya Wanawake wa Brazil 🇧🇷 na Klabu ya PSG, Formiga akiwa na umri wa miaka 41, amekuwa binadamu wa kwanza kushiriki Michuano Saba tofauti ya Kombe La Dunia.😱
:
– Mwadada huyo alicheza game yake ya kwanza kuitumikia Brazil mwaka 1995 akiwa na umri wa miaka 17 tu. Akaja kuweka rekodi ya kuwa Mchezaji mwenye umri mkubwa zaidi kufunga goli katika kombe La Dunia Baada ya kupachika bao akiwa na Miaka 37 na miezi Mitatu na siku Sita 👏🏟👏🏟.
.
– Kiungo Mwanadada wa Japan, Homare Sawa kacheza Mara Sita tofauti katika Kombe La Dunia ndiye anafuatia Baada ya Mbrazil huyo, Beki Mwanadada wa Marekani, Christie Rampone anakuwa mwanamke mwenye umri mkubwa zaidi kucheza kombe La Dunia katika Historia (43y)..🙌🙌
#FIFAWWC

..Halima mdee…alazwa. Afanyiwa upasuaji


Mbunge wa Kawe jijini Dar kupitia CHADEMA, Halima James Mdee amelazwa katika hospitali ya Agakhan jijini humo akipatiwa matibabu

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa CHADEMA, John Mrema amesema kwamba Halima Mdee amefanyiwa upasuaji wa kutolewa uvimbe aliokuwa nao tumboni

Akizungumza yeye mwenyewe amesema “Nilikuja hospitali juzi (Alhamisi) kuangalia afya. Ila madaktari baada ya kunichunguza na kufanya vipimo wakabaini tumboni kuna tatizo na kunishauri nifanyiwe upasuaji haraka iwezekanavyo.”

Aidha, amebainisha kuwa kwa sasa anaendelea vyema na afya yake inazidi kuimarika tofauti na jana na kuwataka wapiga kura wake kutokuwa na wasiwasi

Matokeo ya mechi..za jana na ratiba za mechi za leo

:
– EURO – Qualification::
FT Estonia 1 – 2 N.Ireland
FT Belarus 0 – 2 Germany
FT Croatia 2 – 1 Wales
FT Azerbaijan 1 – 3 Hungary
FT Iceland 1 – 0 Albania
FT Moldova 1 – 0 Andorra
FT Turkey 2 – 0 France
FT Russia 9 – 0 San Marino
FT Belgium 3 – 0 Kazakhstan
FT Scotland 2 – 1 Cyprus
FT Armenia 3 – 0 Liechtenstein
FT Finland 2 – 0 Bosnia and Herzegovina
FT Greece 0 – 3 Italy
.
– Women World Cup – Groups Stage.
FT Norway 3 – 0 Nigeria
FT Germany 1 – 0 China
FT Spain 3 – 1 South Africa
.
– International – Friendlies.
FT Singapore 4 – 3 Solomon Islands
FT Angola 2 – 0 Guinea-Bissau
FT Nigeria 0 – 0 Zimbabwe
.
– World Cup U-20 – Playoffs.
FT USA U20 1 – 2 Ecuador U20
AET South Korea U20 * 3 – 3 Senegal U20
.
– Africa – COSAFA FINAL
FT Botswana 0 – 1 Zambia 🏆
.
– Morocco – Botola Pro June 8
FT Rapide Club Oued Zem 1 – 0 OCK Khouribga
.
– Tanzania – TPL Playoffs
FT: Mwadui FC 2-1 Geita Gold FC
FT: Kagera Sugar 2-0 Pamba SC
:
RATIBA YA HII LEO JUMAPILI.
UEFA Nations League.
16:00 Switzerland
England
21:45 Portugal
Netherlands
.
– World Cup Women – Group C
14:00 Australia
Italy
16:30 Brazil
Jamaica
– World Cup Women – Group D.
19:00 England
Scotland
.
– International – Friendlies.
13:00 Japan
El Salvador
18:00 DR Congo
Burkina Faso
20:00 Uganda
Turkmenistan
20:30 Cameroon
Zambia
21:00 USA
Venezuela
22:00 Brazil
Honduras
00:00 Paraguay
Guatemala
00:00 Peru
Colombia
02:00 Mexico
Ecuador
07:00 Fiji
Vanuatu
.
– Morocco – Botola Pro.
19:00 FAR Rabat
MAT Tetouan
19:00 KACM
Wydad Casablanca
21:00 Hassania Agadir
Chabab Rif Al Hoceima
21:00 Ittihad Tanger
FUS Rabat
21:00 Raja Casablanca
Difaa El Jadida
21:00 Youssoufia Berrechid
Olympic Club de Safi

LIBERIA:WANANCHI WAANDAMANA, MITANDAO YA KIJAMII YAZIMWA

Maelfu ya Wananchi wameandamana katika Mji Mkuu, Monrovia siku ya jana wakipinga masuala ya rushwa na kile wanachokiita Udikteta uliokithiri kwenye nchi hiyo

Aidha, mitandao ya Kijamii ikiwemo WhatsApp, Instagram, Snapchat, Facebook, huduma za Google kama barua pepe pamoja na tovuti ya Shirika la habari la The Associated Press zilifungwa

Maandamano yanadaiwa kurabitiwa na kundi liitwalo Baraza la Wazalendo(The Council of Patriots) linalodaiwa kujumisha Wananchi wa kawaida, Wafanyakazi vijana wa Umma, Wanaharakati na Vyama vikubwa vya kisiasa

Waandamanaji wanataka kumuondoa madarakani Rais George Weah ambaye amekuwa Rais kwa mwaka mmoja tu sasa tangu achukue ofisi kutoka kwa Rais wa kwanza kwa kike, Ellen Johnson Sirleaf

Design a site like this with WordPress.com
Get started