

Imeripoti kuwa Klabu ya Kaizer Chiefs imeanza kuwinda saini ya kiungo mkabaji wa Simba, James Kotei ambaye amehusishwa kuachwa na klabu ya Simba SC.


Imeripoti kuwa Klabu ya Kaizer Chiefs imeanza kuwinda saini ya kiungo mkabaji wa Simba, James Kotei ambaye amehusishwa kuachwa na klabu ya Simba SC.


– Kocha wa Zamani wa Manchester United, JosΓ© Mourinho anahusishwa kutakiwa na Klabu ya Chelsea kuja kuchukua mikoba Maurizio Sarri ambaye anatarajia kutimkia kuifundisha Juventus ya Italia.. Mourinho Sio mgeni ndani ya Chelsea, kwani amewahi kuifundisha Klabu hiyo kwa vipindi viwili tofauti kwa mafanikio makubwa hapo Stamford bridge..
:
Jose Mourinho juu ya tetezi za kurejea Chelsea:
π£ “Mojawapo ya hisia bora katika soka kwangu Mimi ni pale ambapo nitarejea Chelsea. Wakati klabu inakutaka kwa mara ya pili, inamaanisha kuwa wanajua jinsi ya uzuri wako ulivyo.”

– Bernardo Silva π΅πΉ ametangazwa kuwa Mchezaji bora wa Mashindano ya UEFA Nations League yaliyofikia tamati jana kwa upande wao Kuwa Mabingwa.. Kiungo huyo Msimu huu kwa Klabu @mancity na timu ya taifa @portugal π₯
:
π 58 Games
β½ 14 Goals
π― 17 Assists
π₯ UEFA Nations League
π₯ Premier League
π₯ FA Cup π₯ League Cup
π
@UEFAEURO Nations League Player of the Tournament.
π
@ManCity POTY.
#NationsLeague #Updates

–
Maalim Seif Sharif ameteuliwa kuwa Mshauri Mkuu wa chama hicho katika kikao chake cha kawaida cha siku mbili kinachoendelea jijini Dar
–
Kamati Kuu ya chama hicho imefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wa kitaifa ambao wengine wametokana na wanachama waliohamia kutoka CUF
–
Baadhi ya waliokuwa wanachama wa CUF waliochaguliwa ni Nassor A. Mazrui, Eddy Riyami, Fatma Fereji, Mwajabu Dhahabu, Salim Bimani, Joram Bashange na Ismai Jussa


–
Iran imezindua mfumo wa kujilinda kwa makombora uliotengenezwa nchini humo unaoweza kulenga shabaha sita kwa adui kwa wakati mmoja
–
Mfumo huo uliopewa jina la Khordad 15 umezinduliwa mbele ya Waziri wa Ulinzi wa Iran, Brigedia Jenerali Amir Hatami na una uwezo wa kugundua ndege za kivita na droni kutoka umbali wa kilomita 150 na kuzifuatilia katika umbali wa kilomita 120
–
Aidha una uwezo wa kugundua maeneo ya siri na kuyasambaratisha katika umbali wa kilomita 45 na unatumia makombora ya Sayyad 3
–
Pamoja na hayo, Iran imeeleza kuwa uwezo wake wa kijeshi ni kwa ajili ya kujilinda na si tishio kwa nchi nyingine

–
Rais Magufuli leo Juni 10, atawaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa, Kamishna Mkuu wa TRA, Dkt. Edwin Mhede na Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Charles Kichere
–
Tukio hilo litafanyika Ikulu jijini Dar es Salaam kuanzia saa 8:00 mchana na kuambatana na tukio la makabidhiano ya fedha kutoka Airtel kwenda Serikalini kiasi cha Tsh bilioni 5.27
–
Miongoni mwa fedha zitakazotolewa, Tsh bilioni 2.27 ni za kuunga mkono juhudi za Serikali katika maendeleo na Tsh bilioni 3 ni malipo ya kila mwezi ya umiliki wa hisa kati ya Serikali ya Tanzania na Bharti Airtel International

*

UEFA Nations League Awardsπ*
π° Player of the Tournament: Bernardo Silva (Portugal)
π° Young Player of the Tournament: Frenkie de Jong (Netherlands)
π° Finals Topscorer: Cristiano Ronaldo (Portugal – 3 goals)
π° Overall Topscorer: Aleksandr Mitrovic (Serbia – 6 goals)
π° Team of the tournament (Finals): Jordan Pickford (ENG); Matthijs de Ligt (NED), Ruben Dias (POR), Raphael Guerrero (POR), Manuel Akanji (SUI), Kevin Mbabu (SUI); Frenkie de Jong (NED), Marten de Roon (NED), Bernardo Silva (POR); Memphis Depay (NED), Cristiano Ronaldo (POR)




Mshambuliaji wa klabu ya Atletico Madrid, Antoine Griezmann, amesema kuwa kuelekea msimu ujao atakuwa ashafahamu wapi kwa kuchezea.
.
.
Nyota huyo raia wa Kifaransa, anatarajia kuondoka katika klabu hiyo ya Athletico Madrid, ifikapo mwezi wa saba tarehe 1 kwa thamani ya paundi milioni 120.
.
.
Kipengele cha mkataba wa nyota huyo kinasema kuwa timu yoyote ikihitaji saini ya nyota huyu kabla kufikia mwezi wa saba tarehe 1 itawagharimu kiasi cha paundi milioni 200.
.
.
Griezmann, amekuwa hakihusishwa kujiunga na klabu ya Barcelona, na Paris Saint German.


Timu ya Soka ya Young Africans βYangaβ imejitoa katika michuano ya Kagame Cup inayoandaliwa na Shirikisho la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati(CECAFA)
–
Sababu kuu waliyoitoa ni kushindwa kuunda kikosi imara kwa muda huu kwa sababu ya wachezaji wengi kumaliza mikataba na wale wanaendelea kuwasajili kutomaliza taratibu za mwisho kwenye vilabu vyao
–
Nyingine ni baadhi na wachezaji na mwalimu kwenda kushiriki AFCON nchini Misri na wachache wenye mikataba kwenda mapumziko ya mwisho wa msimu
–
Michuano ya Kagame Cup imepangwa kufanyika Julai 7-21, 2019 mjini Kigali, Rwanda na hadi sasa Tanzania Bara itawakilishwa na Azam FC pekee baada ya Simba na Yanga kujitoa ndani ya wiki hii