UTEUZI: RAIS MAGUFULI ATEUA WENYEVITI BODI ZA TTCL NA AIRTEL

UTEUZI: RAIS MAGUFULI ATEUA WENYEVITI BODI ZA TTCL NA AIRTEL

Mohammed Abdallah Mtonga ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano nchini(TTCL)

Mtonga anachukua nafasi ya Dkt. Omari Nundu anayekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Mawasiliano ya Airtel Tanzania

Uteuzi wa Dkt. Nundu unatokana na makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Bharti Airtel juu ya uendeshaji wa pamoja wa kampuni hiyo

Kwa mujibu wa makubaliano hayo, Mwenyekiti wa Bodi ya Airtel anapaswa kutoka Tanzania

NAIROBI, KENYA: MAHAKAMA YAONGEZA MUDA WA ZUIO LA WABUNGE KUJIONGEZEA POSHO –

NAIROBI, KENYA: MAHAKAMA YAONGEZA MUDA WA ZUIO LA WABUNGE KUJIONGEZEA POSHO

Wabunge nchini humo walipitisha azimio la kulipana posho kwa ajili ya nyumba kiasi cha Shilingi za Kitanzania milioni 5.5 kila mwezi

Tume ya Mishahara nchini humo ilifungua kesi ya kupinga ongezeko hilo mnamo Oktoba mwaka jana. Tume ilieleza kuwa malipo hayo kwa Wabunge ni matumizi mabaya ya fedha za umma

Mahakama imesogeza muda wa kusikiliza shauri hilo hadi Julai 24 mwaka huu

Endapo azimio hilo litapitishwa, Wabunge 416 watapokea malipo hayo kila mwezi

BURUNDI YASHINDWA KUTIMIZA VIGEZO VYA KUJIUNGA SADC –

BURUNDI YASHINDWA KUTIMIZA VIGEZO VYA KUJIUNGA SADC

Burundi imekwama kujiunga na Jumuiya ya Maendeleo kwa Nchi za Kusini mwa Afrika baada ya kushindwa kutimiza vigezo vya kuwa mwanachama

Taarifa ya Mwenyekiti wa SADC, Rais wa Namibia, Hage Geingob imesema wataalamu wa masuala ya diplomasia waliopewa jukumu la kuyafanyia tathmini maombi ya Burundi wamejiridhisha kuwa bado Taifa hilo la Afrika Mashariki halijapata baraka za kujiunga SADC

Hali ya uhusiano na nchi jirani ikiwemo Rwanda ni miongoni mwa dosari za kutokamilika kwa vigezo vya kujiunga SADC

Kama ingekubaliwa, ingekuwa mwanachama wa pili wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kujiunga SADC. Tanzania ndiye mwanachama pekee wa EAC katika SADC

MAREKANI: WANAOBAKA WATOTO KUONDOLEWA NGUVU ZA KIUME

MAREKANI: WANAOBAKA WATOTO KUONDOLEWA NGUVU ZA KIUME

Jimbo la Alabama limepitisha muswada wa sheria inayowalazimu baadhi ya watu waliopatikana na hatia ya kuwabaka watoto, kuondolewa nguvu za kiume kupitia njia ya kemikali

Chini ya sheria hiyo, wale watakaobainika kuwa na hatia ya kosa la kuwabaka watoto wenye umri chini ya miaka 13 watalazimika kuanza kupata dawa za kuwapunguzia uwezo wa kufanya tendo la ndoa

Hadi sasa kuna majimbo saba yakiwemo Louisiana na Florida, yenye sheria ya kuwaondolea nguvu za kiume wale wote wanaopatikana na hatia ya kuwabaka watoto wadogo

Muswada huo ulitiwa saini na Gavana wa jimbo la Alabama nchini humo, Kay Ivey Jumatatu, huku akisema hiyo itakuwa ni hatua nzuri ya kuelekea kuwalinda watoto katika jimbo hilo

KENYA YAPIGA MARUFUKU UBADILISHAJI WA MITUNGI YA GESI –

KENYA YAPIGA MARUFUKU UBADILISHAJI WA MITUNGI YA GESI

Serikali ya Kenya imepiga marufuku vituo vya gesi kujaza mitungi ya kampuni zingine na wananchi kubadilisha mitungi ya gesi ya kampuni tofauti na ile waliyokuwa nayo

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Kudhibiti Kawi (EPRA), Payel Oimeke amesema hatua hiyo itasaidia kupambana na mitungi feki ya gesi na pia kuwahakikishia Wananchi wanaotumia gesi usalama wao

Kujazwa kwa gesi kwenye mitungi kwa njia za haramu, kutengenezwa kwa mitungi feki inayofanana na ile ya kampuni asili ni baadhi ya sababu zilizochangia kuanzishwa kwa sheria hiyo

Kubadilishwa kwa mitungi ya gesi kiholela bila kuzingatia kampuni imekuwa ikiletea kampuni za gesi hasara kubwa na kulazimika kuwekeza fedha nyingi katika kununua mitungi mingine

RAIS MAGUFULI KUWA MWENYEKITI WA MKUTANO WA 39 WA SADC –

RAIS MAGUFULI KUWA MWENYEKITI WA MKUTANO WA 39 WA SADC

Rais John Magufuli atakuwa Mwenyekiti wa mkutano wa Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika kuanzia Agosti 17 mwaka huu utakaofanyika jijini Dar es Salaam ikiwa ni miaka 16 tangu ulipofanyika hapa nchini mwaka 2003

Mkutano huo wa 39 utahudhuriwa na marais zaidi ya 15 na utakuwa na vikao vya awali vya Makatibu wakuu na Mawaziri wa nchi wanachama, pia kutakuwa na maonesho ya viwanda kwa nchi za SADC yatakayofanyika Mlimani City kuanzia Julai 22 hadi 26

SERIKALI YATAIFISHA MALI ZA TSH. BILIONI 93 –

SERIKALI YATAIFISHA MALI ZA TSH. BILIONI 93

Serikali imetaifisha mali za wahalifu zenye thamani ya Tsh bilioni 93.16 kuanzia mwaka 2013 hadi Mei mwaka huu zilizokamatwa kwenye sekta za Madini, Maliasili na Sekta ya fedha (Upatu) ikiwa ni sehemu ya kudhibiti uhalifu kwenye maeneo mbalimbali nchini

Uhalifu huo unaodaiwa kukithiri katika miaka ya nyuma na ambao sasa unaendelea kudhibitwa unatajwa kuliingizia Taifa hasara ya mabilioni ya fedha, hatua iliyoifanya Serikali kuudhibiti kwa kutaifisha mali za wahusika wa uhalifu huo

Hayo yamesemwa leo na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, wakati akifungua mkutano wa maadhimisho ya miaka kumi tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Taasisi za Urejeshaji wa mali zinazotokana na uhalifu Kusini mwa Afrika (ARINSA) wenye jumla ya nchi wanachama 16

Samia amesema hivi sasa Serikali inapanga mikakati ya kuondokana kabisa na uhalifu huo kutokana na sera ya kudhibiti rushwa pamoja na kuanzisha Mahakama maalumu zitakazoshughulikia ufisadi

KENYA: MTANZANIA AFUNGWA MIAKA 30 KWA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA

KENYA: MTANZANIA AFUNGWA MIAKA 30 KWA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA

Mahakama ya Mombasa imemhukumu Hussein Idd kifungo cha miaka 30 jela na kulipa faini ya Ksh milioni 90 (zaidi ya bilioni 2 za Tanzania) kwa kukutwa na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya kilo 10 za Heroine Machi 2018 kwenye hoteli ya Regency, Mombasa

Hakimu Kagoni amesema, endapo Idd atashindwa kulipa shilingi milioni 90 za Kenya ataongezwa miaka mitano mingine jela

Neymar news: Brazil were right to take captaincy from Paris Saint-Germain star, says Kleberson

The 2002 World Cup winner feels that the Paris Saint-Germain attacker must mature in order to lead his country amid persistent off-field issues
Article continues below

Brazil officials made the “right decision” to strip Neymar of his duties as captain ahead of the 2019 Copa America, according to Kleberson.

The Selecao took the armband off the 27-year-old and handed it over to Dani Alves at the end of May after disciplinary issues overshadowed his 2018-19 campaign at club level.

Neymar was banned by the French Football Federation for his behaviour after PSG’s cup final defeat to Rennes, which saw him appear to strike a supporter after a brief confrontation.

Editors’ Picks
Ronaldo, Chelsea fans and the winners and losers of Sarri’s move to Juventus
The female Van Dijk? Why France’s Wendie Renard is so much more than that
From Lehmann’s fury to a painful parting with Wenger – Vito Mannone on his ‘special’ Arsenal memories
Aguero or Lautaro alongside Leo? How Messi’s Argentina will line up at Copa America
The ex-Barcelona attacker took up captaincy duties for Brazil after the 2018 World Cup, but only managed to last eight months in the role.

Article continues below

He has since been ruled out of the Copa America after sustaining an ankle sprain which will keep him sidelined for four weeks.

Kleberson, a former Manchester United midfielder who was part of Brazil’s last World Cup-winning squad in 2002, feels Tite was right to take leadership responsibilities away from Neymar at international level.

“The coaching staff took the right decision to take the captaincy from Neymar,” he told us-bookies.com

“Everyone in Brazil has a lot of respect and admiration for Neymar with his ability, but nowadays in football, when you do something wrong, everyone can see it.

“Neymar is still making mistakes off the pitch which affects his game on the pitch. I think everyone in Brazil agrees with the decision.”

Neymar verletzt Brasilien Katar

Brazil are among the favourites to win this year’s Copa America, having been drawn in Group A alongside Bolivia, Peru and Venezuela.

Tite’s side kick off their campaign against Bolivia on Saturday and Kleberson is backing his fellow countrymen to go all the way, but is also wary of the threat posed by Lionel Messi and Argentina.

“Brazil can win the Copa America this year,” he added. “I want to be there with all my friends and family in the Maracana. Especially if we get to the final against Argentina, it would be great to be there; what an occasion.

“Argentina have a strong rivalry with Brazil.

“That is the team Brazil need to be aware of, especially as they have Lionel Messi.”

Gabriel Jesus can win Liverpool FC battle to send Man City a reminder of his talent

Gabriel Jesus celebrates scoring for Brazil against Honduras on Sunday(Image: Getty Images)
According to the oddsmakers a Manchester City striker is second favourite to finish as top scorer in the Copa America, which begins this weekend, but it’s not the one you’d expect.

While Lionel Messi is the obvious favourite to bag the most goals in Brazil, it’s Gabriel Jesus who follows hot on his heels after an impressive scoring spree for his country, rather than Messi’s international teammate Sergio Aguero.

Not so long ago Jesus had lost his place leading the line for the Selecao, with Roberto Firmino edging ahead of him under Tite after the City forward endured a frustrating World Cup last summer.

But Jesus has always tended to be a striker who gets on streaks and he’s doing just that for his country. After coming off the bench to score twice in seven minutes against the Czech Republic in March, Jesus netted against Qatar last week and scored twice more in the 7-0 win over Honduras on Sunday, taking his tally for his country to 16 in 29 caps.

Man City latest news
1_Manchester-City-v-Watford-FA-Cup-Final.jpg
Transfers:
News:
Contracts:
Transfers:
Live updates:
Having also scored twice in the FA Cup final win over Watford the 22-year-old is certainly on a hot streak at the moment, one he will be desperate to take into the tournament to help fire Brazil to glory on home soil.

Tite could yet find a way to unleash Jesus and Firmino in the same side, but if he continues to adopt a one striker approach then the City man will surely be leading the line against Bolivia on Friday, especially with the Liverpool forward coming off a recent injury absence.

There will be plenty of pressure on Jesus during the tournament, with Neymar ruled out thanks to an ankle injury, but on recent evidence you wouldn’t bet against him thriving under that burden.

Tite has certainly been impressed with the forward’s form in the warm-up friendlies and the competition he’s providing up front.

0_Brazil-v-Honduras.jpg
Jesus now has 16 goals for Brazil after his double against Honduras(Image: Getty Images)
“I’m very happy with Gabriel’s resumption of confidence,” he said. “It’s a great level of the two.”

Jesus’ form for his country has again highlighted his credentials as Aguero’s long-term successor at the Etihad. Given the way the Brazilian began his career at the club and the concerns Pep Guardiola had over Aguero’s suitablity for his system at the time, he may have expected to be the first choice already.

Brazil coach pleased with Gabriel Jesus change ahead of Copa America

But Aguero has since reinvested himself, forcing Jesus to play the waiting game. He continues to contribute when given the chance at the Etihad and the fact that Guardiola backed him to start the cup final, having previously started every round of the competition, shows that the City boss hasn’t lost any faith in him.

If Jesus can win his own personal scoring battle with Aguero in Brazil over the next month, then it might edge him closer to finally usurping the brilliant Argentine back at the Etihad.

His form in the yellow of Brazil has certainly reminded City just how good he can be. At 22 time remains well and truly on Jesus’ side, and despite links with a move away in the second half of last season as he struggled for opportunities at times, he remains the heir apparent to Aguero and someone City will be determined to hold on

Design a site like this with WordPress.com
Get started