MATOKEO YA SOKA JANA JUMATANO NA RATIBA YA HII LEO. :

MATOKEO YA SOKA JANA JUMATANO NA RATIBA YA HII LEO.
:
– World Cup Women – Group A.
FT Nigeria 2 – 0 Korea Republic
FT France 2 – 1 Norway
World Cup Women – Group B.
FT Germany 1 – 0 Spain
.
– International – Friendlies.
FT Morocco 0 – 1 Gambia
.
– International – Friendly (Under 21).
FT Croatia U21 1 – 0 Denmark U21
.
– Tunisia – Ligue I.
FT Ben Guerdane 1 – 0 Esperance
.
– Nigeria – NPFL:: Championship.
FT Ifeanyi Ubah United 2 – 4 Enugu Rangers
FT Enyimba 🏆 3 – 0 Akwa United
FT Lobi Stars 0 – 1 Kano Pillars
:
RATIBA YA HII LEO.
– World Cup Women – Group B.
22:00 South Africa
China
– World Cup Women – Group C
19:00 Australia
Brazil
.
– International – Friendly.
19:00 Egypt
Tanzania.
#Updates
@Sokawaytz

Raisi wa zimbabwe….kukabidhi timu ya taifa mamilioni ya pesa kwaajili ya Afcon

Raisi wa Nchi ya Zimbabwe 🇿🇼, Dk. Emmerson Mnangagwa Hii leo amekabidhi Pesa zipatazo US$200,000 sawa na Million 460 za Kitanzania kwa Ajili ya Maandalizi ya timu yao ya taifa ya Zimbabwe katika fainali za Mataifa ya Afrika yanayoanza wiki ijayo nchini Misri..
.
– Zimbabwe watafungua pazia La Mashindano kwa kucheza na Wenyeji Misri Ijumaa ya wiki ijayo.. Baada ya game hiyo watacheza na Uganda kisha kumaliza game za makundi wakiwa Wapo Kundi A watakipiga na DR Congo..
#TotalAFCON2019

Mbape..aendeleza rekodi yake katika timu ya taifa

✍🏻 Usiku mwingine Mzuri wa Mshambuliaji wa Kimataifa wa Ufaransa na Klabu ya PSG, Kylian Mbappé Ambapo jana wakati akiitumikia timu yake ya taifa ya Ufaransa alifanikiwa kufunga goli Moja katika ushindi wa 4-0 dhidi ya timu ya taifa ya Andorra.
.
✍🏻 Kufuatia Goli hilo, Mbappè amefikisha jumla ya Magoli 100 katika maisha yake yote ya kucheza Soka katika mechi 180 alizoshuka Dimbani.. Mbappè kafunga jumla ya Magoli 13 akiitumikia timu ya taifa ya Ufaransa, Kafunga Magoli 27 akiitumikia Klabu yake ya kwanza, Monaco na Sasa akiwa na Mabingwa wa Ufaransa, PSG tayari kaweka kambani jumla ya Magoli 60..👏🏻👏🏻 Ikumbukwe Ana Umri wa Miaka 20 na Siku 173 🙌.
.
✍🏻 Cristiano Ronaldo alifikisha Magoli 100 akiwa na umri wa miaka 22 na Siku 356 wakati Mpinzani wake Lionel Messi yeye alifikisha Magoli 100 akiwa na Umri wa Miaka 22 na siku 97..
:
✋ Takwimu za @k.mbappe kwa Ujumla..
✅180 games
⚽️100 goals
🅰️58 assists
🏆World Cup
🏆🏆🏆Ligue 1
🏆French Cup
🏆League Cup
🥇🥇🥇Ligue 1 Young Player of the Year
🥇Ligue 1 Player of the Year
🥇French Player of the Year
🥇Golden Boy
🥇Kopa Trophy
#Updates
@Sokawaytz

FULL-TIME | FIFA Women’s World Cup

FULL-TIME | FIFA Women’s World Cup
Nigeria 🇳🇬 2-0 🇰🇷 South Korea
[Kim Do-Yeon (OG), Asisat Oshoala]
:
– Wakina Dada wa Nigeria wamepata ushindi wa kwanza katika game yao ya pili katika Fainali hizi za Kombe La Dunia huko Ufaransa wakishinda dhidi ya Korea wanaopoteza game yao ya Pili.. Super Falcons Sasa wamepunguza “gap” Kati yao na Ufaransa na Norway wote wakiwa na pointi tatu na game yao inapigwa usiku wa leo.
.
Katika Umri wa miaka 18 na Siku 186, Mlinda lango wa Nigeria, Chiamaka Nnadozie amekuwa kipa mdogo zaidi kutoruhusu goli katika historia ya Kombe La Dunia Kwa Wanawake
#FIFAWWC #NGAKOR #superfalcons
@Sokawaytz

KIINGEREZA KUENDELEA KUWA LUGHA YA KUFUNDISHIA ELIMU YA JUU

KIINGEREZA KUENDELEA KUWA LUGHA YA KUFUNDISHIA ELIMU YA JUU

Serikali imesema Kiingereza kitaendelea kuwa lugha ya kufundishia na kujifunzia katika ngazi ya elimu ya Sekondari, vyuo vya kati na vyuo vikuu

Waziri wa Elimu, Profesa Joyce Ndalichako amesema Kiingereza kitaendelea kutumika kwasababu ya umuhimu wake kitaifa, kikanda na kimataifa kwa mawasiliano na biashara ili kuwajengea wanafunzi ufahamu na umahiri wa lugha hiyo

Amesema suala la matumizi ya lugha ya kufundishia na kujifunzia ni la kisheria kama ambavyo sheria ya elimu sura 353 inavyoelekeza. Sheria hiyo inabainisha matumizi ya lugha mbili za kufundishia na kujifunzia ambazo ni Kiswahili na Kiingereza

Kwa sasa Kiswahili kinatumika kufundishia katika ngazi ya elimu ya awali na msingi, vyuo vya ualimu ngazi ya cheti na vyuo vya ufundi stadi

Design a site like this with WordPress.com
Get started