

Matokeo ya Ligi ya Vijana U20 kwa Klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara nane bora.


Matokeo ya Ligi ya Vijana U20 kwa Klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara nane bora.






Zimbabwe 1-1 @TaifaStars_ 75’ #MechiyaKirafiki


Kikosi cha Taifa Stars kitakachoanza kwenye mchezo wa Kirafiki dhidi ya Zimbabwe. @taifastars_


– Kiungo wa klabu ya Manchester United, Paul Pogba amethibitisha kuwa ataondoka ndani ya klabu ya Manchester United na kwenda kutafuta changamoto nyingine tofauti na Manchester.
:
— “Kwangu mimi, nimekuwa kwa miaka mitatu hapa Manchester na nimekuwa nikifanya vizuri; nimepitia changamoto nzuri na changamoto mbaya ndani yake..
— “Baada ya msimu huu na kila kitu kilichotokea msimu huu, ni msimu wangu bora pia … Nadhani kwangu inaweza kuwa wakati mzuri wa kuwa na changamoto mpya mahali pengine…. “Ninafikiria hili: kuwa na changamoto mpya mahali pengine.”
:
– Mfaransa huyo Aliwasili Manchester United akitokea klabu ya Juventus mwaka 2016, tangu hapo mpaka Sasa amefunga mabao 31 na kutoa assist 29..

✍🏻 Michuano ya UEFA UERO ya wachezaji chini ya umri wa miaka 21 kwa mwaka huu 2019 inaanza kutimua vumbi hii leo nchini Italia kwa kuhusisha Mataifa 12 ya timu za taifa za Vijana, Mashindano haya yatakwenda kwa muda mfupi tu kuanzia leo Juni 16 na kufikia tamati Juni 30; Hii ni Michuano ya 22 tangu kuanzishwa kwake.
:
✍🏻 Timu Vinara na Watakaoshika nafasi ya Pili katika Makundi zitafuzu kucheza Michuano ya Mpira wa Miguu ya Olympic nchini Japan mwaka 2020 inayohusisha timu 16 za taifa za U23 (2020 Summer Olympic…23 July–8 August 2020)… Kama ilivyo kawaida kwa UEFA, Teknolojia ya Video Assistant Referee (VAR) itahusika kwa Mara ya kwanza Pia katika Michuano hii… Ikumbukwe Mabingwa watetezi ni Ujerumani.
:
✍🏻 Kuna Makundi Matatu, (A,B na C).. Leo kuna games mbili za Kundi A, Wenyeji Italia watafungua Mashindano kwa kucheza dhidi ya Hispania na Poland wao watacheza dhidi ya Ubelgiji.
👉🏻 KUNDI A
1. Italy (H) 🇮🇹 2. Spain 🇪🇸 3. Poland 🇵🇱 4. Belgium 🇧🇪.
👉🏻 KUNDI B
1. Germany 🇩🇪. 2. Denmark 🇩🇰. 3. Serbia 🇷🇸. 4. Austria 🇦🇹
👉🏻 KUNDI C
1. England 🏴. 2. France 🇫🇷. 3. Romania 🇷🇴. 4. Croatia 🇭🇷.
#U21EURO! ⚽️ #Updates
@sokswaytz

🇦🇷 Argentina 0-2 Colombia 🇨🇴
:
❌ Argentina wanapoteza game yao ya ufunguzi wa Copa América Kwa Mara ya kwanza tangu 1979.. Pia ni kwa Mara ya tatu wanapokea kipigo Baada ya 3-2 vs Uruguay (1919) na 2-1 vs Bolivia (1979)..
.
✅ Colombia wanashinda mbele ya Argentina kwa Mara ya kwanza tangu 2007, Colombia wamepoteza mara Saba na Sare Nne dhidi ya Argentina tangu mwaka huo; Pia mwaka huu 2019 ni Mara ya tatu katika historia yao kuwafunga Argentina kwenye Copa America Baada ya 2-1 mwaka 1987 na 3-0 mwaka 1999.
:
🥅 Messi Sasa hajafunga goli katika game zake 10 Kati ya 13 akiichezea Argentina..⬇ Argentina Sasa inaburuza mkia katika Group B.
#CopaAmerica #Updates
@Sokawaytz


Rasmi | Klabu ya Singida Utd yenye maskani yake Singida itaingia kambini tarehe 1/07/2019 tayari kwa maandalizi ya Ligi Kuu Tanzania 2019/20.


Klabu ya Juventus imemtambulisha Maurizio Sarri kuwa kocha wao mkuu hadi 2022 akitokea Chelsea