
– Paris St-German wako tayari kumuuza mshambuliaji nyota wa Brazil, Neymar mwenye umri wa miaka 27 msimu huu Baada ya kuonesha nia ya kutaka kutimka klabuni hapo… Raisi na Mmiliki wa PSG, Bilionea Nasser Al Khelaïf Amethibitisha kuwa Mchezaji anaetaka kuondoka ni ruksa na ikiwa atataka kusalia ndani ya Klabu ni lazima afuate kanuni, taratibu na misingi yote inayotolewa na Uongozi wa timu.
.
– Real Madrid huenda wakamjumuisha kiungo wa kati Mbrazil Casemiro 27, kwa ofa yoyote ya kumsajili Neymar kutoka PSG… Wakati huo huo FC Barcelona inapambana kutaka kumrejesha Camp Nou kwani wao ndio walimuuza kwenda Paris… Kwa mujibu wa Taarifa, Nahodha wa @fcbarcelona, Lionel Messi ametoa pendekezo lake La kusajiliwa kwa Neymar kuliko Antoine Griezmann ambaye nae yupo mbioni kutua kwa Miamba hao wa Laliga..
#transfers #Updates








BRAISON, HAULE WAONGEZA MKATABA AZAM FC