#


Usajili ABDUL HILLARY kiungo wa KMC ameongeza mkataba wa miaka mitatu kuendelea kuitumikia KMC hadi mwaka 2022.
#


Usajili ABDUL HILLARY kiungo wa KMC ameongeza mkataba wa miaka mitatu kuendelea kuitumikia KMC hadi mwaka 2022.

Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Sc Dkt. Mshindo Msolla amesthibitisha kuwa wameachana na wachezaji wote wa kigeni waliyokuwa nao msimu uliopita na kubaki na nyota wawili tu ambao ni golikipa Klaus Kindoki pamoja na Papy Tshishimbi.

👉 Wadau Mbalimbali wameendelea kuichangia Timu ya taifa ya Tanzania, @taifastars_ muda huu katika Harambee Maalumu.. Mgeni Rasmi ni Makamu wa Raisi, Samia Suluhu Hassan..
👉🏿 Kampuni ya AFRO Oil imechangia millioni 20.
👉🏿 TSN wametoa kiasi cha millioni 10.
👉🏿 Manyara Sugar nao wametoa jumla ya millioni 11.
👉🏿 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wanachangia kiasi cha millioni 4.
👉🏿 WCF wamechangia millioni 3.
👉🏿 TANROADS wanachangia millioni 7.
#zamuyetu2019🇹🇿⚽ #TotalAFCON2019

👉👉👉 @yangasc
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Leo alhamisi tarehe 20/06/2019, tutakuwa na mkutano na waandishi wa habari makao makuu ya klabu.
Mkutano utaanza saa 6:30 Mchana.
#Updates

M

ATOKEO YA SOKA JANA JUMATANO NA RATIBA YA HII LEO:.
:
– Copa America – Group B
FT Colombia 1 – 0 Qatar
FT Argentina 1 – 1 Paraguay
.
– World Cup Women – Group D
FT Japan 0 – 2 England
FT Scotland 3 – 3 Argentina
.
– CONCACAF – Gold Cup:: group A
FT Cuba 0 – 3 Martinique
FT Mexico 3 – 1 Canada
.
– International – Friendlies
FT Zambia 1 – 4 Ivory Coast
.
– Euro U-21 – Group A
FT Spain U21 2 – 1 Belgium U21
FT Italy U21 0 – 1 Poland U21
.
– U20 Tanzania PL – Nusu Fainali.
FT Azam FC 0 – 0 Yanga SC (Penalties 3-0).
FT Mtibwa Sugar 3 – 1 Simba SC
:
👉👉 RATIBA YA HII LEO ALHAMISI
– World Cup Women – Group E.
19:00 Cameroon
New Zealand
19:00 Netherlands
Canada
.
– World Cup Women – Group F.
22:00 Sweden
USA
22:00 Thailand
Chile
.
– Copa America – Group C
02:00 Uruguay
Japan
.
– CONCACAF – Gold Cup:: Group B
02:00 Nicaragua
Haiti
04:30 Costa Rica
Bermuda
.
– Euro U-21 – Group B.
19:30 Denmark U21
Austria U21
22:00 Germany U21
Serbia U21
#Updates #fixtures
@Sokawaytz

K










Imeripotiwa kuwa klabu ya Js Saoura ipo mbioni kuachana na mshambuliaji wao mtanzania Thomas Ulimwengu baada ya kudaiwa kuwa ameshindwa kumshawishi kocha mkuu wa kikosi hicho kuendelea kuwa nae. .
.
Kwa mujibu wa taarifa ambazo @sokaonline_ imezipata kutoka Algeria zimedai kuwa kocha wa klabu hiyo Nabil Neghiz ametoa ripoti yake ya kuelekea msimu ujao na jina la Ulimwengu lipo kwenye mapendekezo ya kuachwa licha ya kubakiza mwaka mmoja na nusu katika mkataba wake na klabu hiyo.

👉🏻 Ijumaa ya Wiki hii Rasmi Michuano ya Kombe La Mataifa ya Afrika “AFCON 2019” itaanza kutimua vumbi kwa jumla ya Mataifa 24 kuwania kuwa Bingwa mmoja mpya wa Afrika..
:
– KUNDI D..
✍🏻 Morocco 🇲🇦, Mabingwa Mara Moja wa Michuano hii wanaingia kucheza AFCON yao ya 17.. Morocco Pia wamepoteza fainali Mara Moja na kumaliza kuwa mshindi wa tatu Mara Moja..(Kufuzu Mtoano 9/10).
:
✍🏻 Ivory Coast 🇨🇮, Mabingwa Mara mbili wa Afrika ni timu ya pili kushiriki AFCON Mara nyingi zaidi katika Historia… Mwaka huu wanaingia kucheza AFCON ya 23… Tembo hawa wa Afrika Pia wamepoteza fainali mbili za Mashindano haya, Wakati Mara Nne wameibuka kuwa mshindi wa tatu.. (Kufuzu Mtoano 8.7/10).
:
✍🏻 Afrika Kusini 🇿🇦, Bafana Bafana hawa ambao ni Mabingwa Mara Moja wa Afrika wanarejea AFCON tangu 2015… Hii ni Mara ya 10 katika Ushiriki wao wa Michuano hii mikubwa Afrika.. Bafana Bafana Pia wamepoteza fainali Moja na kushika nafasi ya mshindi wa tatu Mara moja… (Kufuzu Mtoano 8.5/10).
:
✍🏻 Namibia 🇳🇦, Wana kazi nzito ya kupenya kwenda Mtoano mbele ya Miamba hao watatu wa Afrika… Namibia inafuzu kucheza AFCON kwa Mara ya tatu Pekee huku Mara ya mwisho ni 2008.. Mara zoote tatu wamemaliza wakiwa hatua ya Makundi tu.. Hawana rekodi ya kufika mbali hivyo kwenye Kundi ndio Kama underdog japo mambo yanabadilika ila Kundi hilii kwao 👋🏻 🙄… ( Kufuzu Mtoano 4/10).
:
👉🏻 Kwa Mujibu wa Ratiba Shirikisho La Soka Bara ni Afrika “CAF”.. Mechi ya kwanza ya Kundi hili itapigwa June 23,2019… Mechi zitapigwa uwanja wa Al Salam Stadium jijini Cairo na mechi ya mwisho ya Kundi hili itaoigwa ndani ya 30 June Stadium… Ratiba yake mpaka mwisho wa Kundi..
📅 Juni 23,2019: Morocco v Namibia
📅 Juni 24,2019: Ivory Coast v Afrika Kusini.
📅 Juni 28,2019:
Morocco v Ivory Coast
Afrika Kusini v Namibia
📅 Julai 01,2019.
Afrika Kusini v Morocco
Namibia v Ivory Coast
#TotalAFCON2019
© @Sokawaytz

M

MATOKEO: NUSU FAINALI LIGI KUU YA VIJANA U20
FT: Mtibwa Sugar U20 3-1 Simba SC U20.
FT: Yanga U20 0-0 Azam U20
(P: 0-3).
:
– Baada ya matokeo haya, fainali itakuwa ni kati ya Azam FC dhidi ya Mabingwa watetezi, Mtibwa Sugar huku watani wa jadi Yanga SC na Simba SC wakikutana tena kwenye mchezo wa kusaka mshindi wa tatu..
#U20PremierLeague2019 #PL-U20

– Beki wa Klabu ya Azam FC, David Mwantika (Kushoto) amerudishwa nchini Misri tayari kuungana na kikosi cha Taifa Stars kuzipa pengo la Aggrey Morris aliyeumia katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Misri… Mwantika ni miongoni mwa wachezaji waliokatwa katika kikosi cha Awali kilichotajwa na kocha Emmanuel Amunike kujiandaa na Michuano ya AFCON..
#TotalAFCON2019