Michuano ya Afcon kuanza kutimua vumbi leo

Michuano ya Afcon kuanza kutimua vumbi leo….tarehe. 21/06/2019….huko nchini misri….

Mechi ya ufunguzi itakua kati ya wenyeji waichuano huyo misri dhidi ya zimbabwe…..mchezo unaotarajiwa kuanza majira ya saa 23:00 usiku

Ili kuendelea kupata taarifa mbalimbali za michuano hii ya mataifa ya Africa endelea kuwa nasi kwa apdate zinazokua zinajiri muda wowote
@habarimpya.

Yanga yakabidhiwa..uwanja wake rasmi

– Mkuu wa Mkoa wa Dar ES Salaam, Paul Makonda hii leo anatarajia Kukabidhi Uwanja kwenda Klabu ya Yanga SC ambao wao tayari wamethibitisha kuwa eneo hilo litajengwa uwanja wa Klabu… Tayari Mashabiki wengi wamewasili eneo La tukio tayari kushuhudia tukio hilo..
#WawekezajiNiWananchi #YangaSC #YangaMpya

Hassan Kessy aondolewa adhabu yake na CAF

– Shirikisho la soka barani Africa CAF limemuondolea adhabu ya kukosa mchezo wa kwanza wa AFCON dhidi ya Senegal mlinzi wa kulia wa Taifa Stars Hassan Kessy Ramadhan baada ya kubainika kuwa hakuwa na kadi tatu za njano kama ilivyoelezwa awali.
:
– Akizungumza na @azamtvtz kocha wa Stars, Emmanuel Amunike amesema swala hilo limeshawekwa sawa baada ya TFF kuomba ufafanuzi wa adhabu hiyo na CAF wamejiridhisha kuwa Kessy yuko huru kuitumikia Stars endapo mwalimu atahitaji kumtumia kwenye mechi ya kwanza ya AFCON dhidi ya Senegal itakayochezwa Jumapili…
#AFCONUpdates #TotalAFCON2019
@Sokawaytz

Cameroon hatarini kuondoshwa fainali za AFCON 2019″

– Timu ya taifa ya Cameroon Ina hatari ya kuweza kuondoshwa katika fainali za Mataifa ya Afrika “AFCON 2019” yanayoanza hii leo Nchini Misri.. Hii imekuja baada ya wachezaji kukataa kusafiri na ndege kwenda Misri wakidai bonasi zao ambazo mpaka Sasa hawajalipwa ambayo yanakadiliwa kufikia $190,000… Tayari wamepewa onyo kwamba Wanapaswa kuwa Misri kabla ya usiku kuingia hii leo lasivyo watalazimika kuondoshwa katika Michuano..
:
– The Indomitable Lions wamepewa ofa ya pesa ikiwa watatwaa Ubingwa US$93,000 na kuvuka kwenda hatua ya Mtoano $35,000 lakini Wachezaji wamegoma ofa na kutishia mgomo Baada ya kukosa bonasi zao tangu walipoanza kambi, wakidai kupewa Kila siku.. Mabingwa hao Watetezi wapo Kundi F pamoja na Mataifa ya Ghana, Benin na Guinea-Bissau… Kwa mujibu wa Taarifa tayari Waziri wa Michezo nchini Cameroon amekutana na Makocha na Manahodha wa timu kuzungumzia sakata hilo..
#TotalAFCON2019 #AFCONUpdates
@Sokawaytz

MATOKEO YA SOKA JANA NA RATIBA YA LEO IJUMAA.

M

MATOKEO YA SOKA JANA NA RATIBA YA LEO IJUMAA.
:
– Copa America – Group C.
FT Uruguay 2 – 2 Japan
.
– World Cup Women – Group E.
FT Cameroon 2 – 1 New Zealand
FT Netherlands 2 – 1 Canada
.
– World Cup Women – Group F.
FT Sweden 0 – 2 USA
FT Thailand 0 – 2 Chile
.
– CONCACAF – Gold Cup:: Group B.
FT Nicaragua 0 – 2 Haiti
74′ Costa Rica 2 – 1 Bermuda
.
– EURO U-21 – Group B.
FT Denmark U21 3 – 1 Austria U21
FT Germany U21 6 – 1 Serbia U21
:
RATIBA YA HII LEO.
– Copa America – Group C.
02:00 Ecuador
Chile
.
– Africa Cup of Nations – Group A.
23:00 Egypt
Zimbabwe
.
– EURI U-21 – Group C
19:30 England U21
Romania U21
22:00 France U21
Croatia U21
.
– CONCACAF – Gold Cup:: Group C.
02:00 El Salvador
Jamaica
04:30 Honduras
Curacao
.
– International – Club Friendlies.
14:00 AC Horsens
FC Helsingoer
16:00 FC Zuerich
Winterthur
βœ‹ 16:00 Gwambina FC
Simba SC
18:00 Breitenrain
Xamax
18:30 Dinamo Moscow
Rudar Velenje
19:00 FC Wacker Innsbruck
Zenit St. Petersburg
19:00 Mattersburg
Kapfenberger SV
19:00 Young Boys
FC Rapperswil-Jona
20:30 KRC Gent
Gent.
#Updates #fixtures
@Sokawaytz

Mambo aliyoongea Rostam Aziz

Mambo aliyoongea Rostam Aziz leo.
:
β€’ Nimewaita hapa ili kuongelea swala la michezo hasa klabu ya Yanga SC.
:
β€’ Nimepata Simu nyingi kutoka kwa mashabiki, wanachama na waandishi wa habari wakitaka kujua hatma yangu katika kuisaidia Yanga SC.
:
β€’Mimi ni mshabiki wa Yanga SC toka nikiwa darasa la kwanza japo nimekuwa kabatini siku zote hizo mpaka hapo majuzi nilipoamua kuujulisha umma.
:
β€’Sioni sahihi kwa timu kubwa na yenye historia ndefu kumilikiwa na mtu binafsi.
:
β€’Pia sioni uhalali kwa timu kubwa kama Yanga SC kuwa na mdhamini binafsi.
:
β€’ Yanga ni timu kubwa yenye mashabiki mamilioni sioni sahihi wala sio haki kwa mtu mmoja kujimilikisha.
:
β€’Njia sahihi ni wanachama wote wawe na mamlaka kuiendesha timu yao.
:
β€’Njia nzuri ni kupitia michango, wadhamini kupitia makampuni,TV rights na gate collection na kuuza bidhaa mbalimbali zenye nembo yetu.
:
β€’ Unapokuwa na mdhamini mmoja unainyima yanga kupata fursa ya wadhamini wengine.
:
β€’Nipo tayari kuendelea kuichangia timu yangu.
:
β€’Nipo tayari kuwapeleka nje viongozi wa Yanga SC ili wakapate mafunzo kutoka kwa wataalamu namna ya kuendesha klabu pia wakihitaji ntawaleta hapa hapa wataalamu.
:
β€’Tiba ya hili ni kutafuta njia endelevu ya kuendesha timu.
:
β€’Napenda kuona Yanga inafanikiwa kupitia umaarufu na idadi kubwa ya wanachama iliyonayo , kutomilikiwa na mtu mmoja kutatoa fursa kwa makampuni mengine mengi kuidhamini.
:
β€’Nami ntaangalia kupitia moja ya makampuni Yangu kutangaza bidhaa zake kupitia Yanga, pia nakaribisha makampuni mengine kufanya hivo.
:
β€’Ntaonana na viongozi wa Yanga SC ntawashauri mambo kadha wa kadha watakayochukua sawa na watakayoona hayafai pia sawa.
#Updates

HATUA YA 16 BORA YA KOMBE LA DUNIA KWA WANAWAKE.. #FIFAWWC :

🐊

𒐽𒐠HATUA YA 16 BORA YA KOMBE LA DUNIA KWA WANAWAKE.. #FIFAWWC :
– Jumapili.
Ujerumani v Nigeria.
Norway v Australia
England v Cameroon
Ufaransa v Brazil
:
– Jumatatu.
Hispania v Marekani
Sweden v Canada.
:
– Jumanne.
Italia v China
Uholanzi v Japan
:
πŸ‘‰πŸ‘‰ #FIFAWWC Robo Fainali πŸ†.
– 2 July.
#NOR/#AUS v #ENG/#CMR (27 June, Le Havre)
#FRA/#BRA v #ESP/#USA (28 June, Paris)
πŸ‘‰πŸ‘‰ 3 July.
#ITA/#CHN v #NED/#JPN (29 June, Valenciennes)
#GER/#NGA v #SWE/#CAN (29 June, Rennes)
#FIFAWWC
@Sokawaytz

FULL-TIME: Cameroon πŸ‡¨πŸ‡² 2-1 New Zealand πŸ‡³πŸ‡Ώ

FULL-TIME: Cameroon πŸ‡¨πŸ‡² 2-1 New Zealand πŸ‡³πŸ‡Ώ
[βš½οΈπŸ‡¨πŸ‡² Nchout βš½οΈπŸ‡³πŸ‡Ώ Awona (O.G.) βš½οΈπŸ‡¨πŸ‡² Nchout].
:
– Wakina Dada wa Cameroon wamefuzu kucheza 16 Bora ya fainali za Kombe La Dunia kwa Wanawake Baada ya Ushindi huu dhidi ya wenzao wa New Zealand… Mwanadada Ajara Nchout kafunga Magoli mawili “brilliant” likiwepo La Dakika ya mwisho wa Mchezo na kuisaidia timu yake ya taifa kusonga mbele Kama mshindi wa tatu katika Kundi wakiwa na pointi Tatu..
.
– Wakina Dada wa Netherlands ndio wanaongoza Kundi kwa pointi zao Tisa Baada ya wao Pia kushinda 2-1 dhidi ya Canada ambao wamemaliza nafasi ya pili kwa 6pts.. New Zealand hawana pointi katika Kundi.
.
✍🏻 Cameroon wamafuzu kucheza 16 bora ya Kombe La Dunia kwa Mara ya pili mfululizo kwenye Michuano hii.
✍🏻 Cameroon Sasa wamecheza games Sita za Michuano hii bila ya kuwa na clean sheet hata Moja..wameruhusu kufungwa Magoli Tisa.
✍🏻 New Zealand wameendeleza rekodi yao ya kutoshinda mechi kwenye Michuano hii.. Sasa wanatimiza games 15.. Katika game hizo wamefunga Magoli Nane..
#FIFAWWC #CAMNEZ
@Sokawaytz

ROSTAM APINGA UFADHILI NDANI YA YANGA

ROSTAM APINGA UFADHILI NDANI YA YANGA

Mfanyabiashara maarufu, Rostam Aziz, amesema kwa maoni yake Yanga inastahili kuendelea kuendeshwa kwa michango ya wanachama wake pamoja na vyanzo vingine vya mapato badala ya kumilikiwa na mtu binafsi au kuwa na mfadhili.

Ametaja vyanzo vingine vya mapato mbali na michango ya wanachama kuwa ni pamoja na wadhamini, makampuni kutangaza bidhaa zao, viingilio vya milangoni, biashara ya bidhaa mbalimbali kwa chapa ya Yanga kama vile jezi pamoja na haki za matangazo ya televisheni.

Mfanyabiashara huyo ambaye alikuwa akitajwa kuwa na mpango wa kuwekeza katika klabu hiyo amesema kwa mtazamo wake timu kubwa kama Yanga kuwa na mfadhili ni kuziba nafasi kwa wadhamini wengine ambao wangependa kutangaza bidhaa na huduma zao kupitia klabu hiyo, jambo ambalo litaipunguzia mapato.
.
.
β€œUfadhili ni mlango wa nyuma wa kumiliki,” amesisitiza.

Design a site like this with WordPress.com
Get started