AFCON23:00 EGYPT vs ZIMBABWE βœ‹ HEAD-TO-HEAD

πŸ‘‰ Pazia La Michuano ya AFCON kufunguliwa hii leo Nchini Misri.. Game ya kwanza wenyeji kufungua Dimba Saa Tano za Usiku..
:
23:00 EGYPT vs ZIMBABWE βœ‹ HEAD-TO-HEAD!
:
β€’Egypt πŸ‡ͺπŸ‡¬ na Zimbabwe πŸ‡ΏπŸ‡Ό wamekutana Mara 12: β€’The Pharaohs wameshinda game Saba, Sare Nne na Kupoteza Mara Moja.. Zimbabwe wameshinda mechi Moja, Sare Nne na kupoteza Mara Saba..
:
β€’Egypt wana Magoli 20 ya kufunga na Magoli 11 ya kufungwa… Zimbabwe wamefunga Magoli hayo 11 na kuruhusu 20..
β€’πŸ‡ͺπŸ‡¬ 1-0 πŸ‡ΏπŸ‡Ό (1984 WCQ)
β€’πŸ‡ΏπŸ‡Ό 1-1 πŸ‡ͺπŸ‡¬ (1984 WCQ)
β€’πŸ‡ΏπŸ‡Ό 2-1 πŸ‡ͺπŸ‡¬ (1992 WCQ)
β€’πŸ‡ͺπŸ‡¬ 2-1 πŸ‡ΏπŸ‡Ό (1993 WCQ)
β€’πŸ‡ͺπŸ‡¬ 0-0 πŸ‡ΏπŸ‡Ό (1993 WCQ)
β€’πŸ‡ͺπŸ‡¬ 2-2 πŸ‡ΏπŸ‡Ό (1995 Friendly)
β€’πŸ‡ΏπŸ‡Ό 1-1 πŸ‡ͺπŸ‡¬ (1999 Friendly)
β€’πŸ‡ΏπŸ‡Ό 1-2 πŸ‡ͺπŸ‡¬ (2004 #AFCON)
β€’πŸ‡ͺπŸ‡¬ 2-0 πŸ‡ΏπŸ‡Ό (2004 Friendly)
β€’πŸ‡ͺπŸ‡¬ 2-0 πŸ‡ΏπŸ‡Ό (2006 Friendly)
β€’πŸ‡ͺπŸ‡¬ 2-1 πŸ‡ΏπŸ‡Ό (2013 WCQ)
β€’πŸ‡ΏπŸ‡Ό 2-4 πŸ‡ͺπŸ‡¬ (2013 WCQ)
#AFCON2019 #AFCON19
@Sokawaytz

Azam FC waongeza Mkataba na Zambia, Obrey Chirwa

O

OFFICIAL!!! Klabu ya Azam FC Imethibitisha kuwaongeza Mkataba nyota wake wawili, Mshambuliaji wa Kimataifa wa Zambia, Obrey Chirwa Kusaini Mkataba wa Mwaka mmoja na Kiungo Mzawa, Salmin Hoza ambaye kasaini Mkataba wa Miaka Miwili.
.
– Wakati Huo huo @azamfcofficial Imethibitisha kumsajili Mshambuliaji wa Kimataifa wa Burundi, Emmanuel Mvuyekure… Mshambuliaji huyo wa zamani wa Vital’O ya Burundi na Pia kavichezea vilabu vya Tanzania, Mbao FC na KMC FC kwa Kipindi tofauti tofauti kabla ya hii leo kumwaga wino Azam FC..
#TPLTransferUpdates
@Sokawaytz

Klabu ya simba sc…..yaleta kiungo toka brazil

OFFICIAL!! Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Klabu ya Simba SC Imethibitisha kukamilisha usajili wa Mshambuliaji wa Kimataifa wa Brazil, Wilker Henrique Da Silva.
.
– Da Silva Wilker mwenye umri wa miaka 23 amejiunga na Simba SC kwa Mkataba wa Miaka Miwili akitokea klabu ya Bragantino ya nchini kwao Brazil…
#TPLTransferUpdates
@Sokawaytz

MISRI: UTEPE WA MICHUANO YA AFCON KUKATWA LEO –

MISRI: UTEPE WA MICHUANO YA AFCON KUKATWA LEO

Fainali hizo ni za 32 tangu michuano hiyo iasisiwe. Mataifa ya Afrika 24 yanatarajiwa kushiriki ikiwa ni mara ya kwanza kihistoria michuano hiyo kuwa na idadi hiyo ya washiriki

Mchezo wa ufunguzi leo utakuwa baina ya wenyeji Misri dhidi ya Zimbabwe ambao utaanza saa tano usiku majira ya Afrika Mashariki

Rais wa Shirikisho la Soka Duniani(FIFA), Gian Infantino, Katibu Mkuu wake Fatuma Samoura wanatarajiwa kushiriki shughuli za ufunguzi

Aidha viongozi wa kisiasa akiwemo rais wa Misri Abdel Fattah Al Sisi na waziri mkuu mstaafu wa Kenya Raila Amollo Odinga watahudhuria tukio hilo

Design a site like this with WordPress.com
Get started