Nigeria ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ 1-0 ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ BurundiFULL-TIME | Alexandria Stadium, ALEXANDRIA..

FULL-TIME | Alexandria Stadium, ALEXANDRIA.. Ikiwa ni Michuano yao ya kwanza kabisa katika Historia Burundi wanaanza Kwa kupoteza.. Burundi wamecheza Soka saafi kabisa lakini Nigeria wamepata goli kutumia uzoefu wao wa Mashindano Baada ya kosa dogoo kufanywa na Beki wa Burundi.. Well Done Intamba m’Urugamba bila Shaka Nigeria hawakutegemea ๐Ÿ‘Š๐Ÿ‘๐Ÿ‘.
:
Nigeria ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ 1-0 ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ Burundi
[Odion Jude Ighalo 77mins]#TotalAFCON2019 #AFCONUpdateshttps://www.instagram.com/p/BzBdiPrA1BT/?igshid=1j1h3l60s52l7

KIKOSI CHA *๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌNIGERIA vs BURUNDI๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ*

โšฝ *๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌNGA vs BDI๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ*

*NGA๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ*
16 Daniel Akpeyi
22 Kenneth Omeruo
5 William Troost-Ekong
2 Ola Aina
12 Abdullahi Shehu
10 John Obi Mikel
8 Peter Etebo
4 Wilfred Ndidi
14 Paul Onuachu
18 Alex Iwobi
13 Samuel Chukwueze

*BDI๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ*
1 Jonathan Nahimana
19 Frรฉdรฉric Nsabiyumva
14 Omar Ngandu
10 Shassiri Nahimana
5 Gaรซl Bigirimana
15 Omar Moussa
8 Gaรซl Duhayindavyi
17 Cรฉdric Amissi
20 Francis Mustapha
18 Saido Berahino
7 Fiston Abdul Razak

*

Manchester City Imethibitisha kuwa Mshambuliaji wao wa Kimataifa wa Brazil, Gabriel Jesus ataanza kuvaa jezi namba Tisa (9) kuanzia msimu ujao 2019/20..

OFFICIAL!! Manchester City Imethibitisha kuwa Mshambuliaji wao wa Kimataifa wa Brazil, Gabriel Jesus ataanza kuvaa jezi namba Tisa (9) kuanzia msimu ujao 2019/20..
.
– Wachezaji waliowahi kuvaa jezi hiyo ndani ya Mabingwa hao karne ya 21 ni..
๐Ÿ”ต Paul Dickov
๐Ÿ”ต Paulo Wanchope
๐Ÿ”ต Andy Cole
๐Ÿ”ต Emile Mpenza
๐Ÿ”ต Valeri Bojinov
๐Ÿ”ต Emmanuel Adebayor
๐Ÿ”ต รlvaro Negredo
๐Ÿ”ต Nolito
๐Ÿ†• ๐Ÿ”ต Gabriel Jesus
#Updates

Captain Juma Kaseja anaendelea kusalia KMC kwa miaka mitatu

๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰ @kmcfc_official
Captain Juma Kaseja anaendelea kusalia KMC kwa miaka mitatu zaidi baada ya leo kusaini kandarasi hiyo.
Kinoboys inafurahi kuendelea kupata huduma yake na amekua msaada mkubwa sana hasa katika kuwaongoza vijana katika mapambano na katika nidhamu pia. @official_juma_kaseja

#kimataifazaidi
#Kinoboys

Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Emmanuel Amunike Akizungunzia Mchezo wa kesho dhidi ya Senegal…

Senegal ni timu bora yenye nguvu, Ina Wachezaji wazuri wenye uzoefu. Natumaini itakuwa ni mechi ngumu Sana, lakini Nina Imani na Wachezaji wangu nilio nao”.
:
– Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Emmanuel Amunike Akizungunzia Mchezo wa kesho dhidi ya Senegal… Amunike amesisitiza kuwa anawaamini Wachezaji wake kupambana na Senegal hapo Kesho..
#AFCONUpdates

Design a site like this with WordPress.com
Get started