klabu ya Chelsea ipo tayari kuwauza wachezaji wake Marcos Alonso na David Zappacosta

Baada ya kuondoka aliyekuwa kocha wao Maurizio Sarri klabu ya Chelsea ipo tayari kuwauza wachezaji wake Marcos Alonso na David Zappacosta endapo kutakuwa na timu zitakazowahitaji (Guardian) .
.
Mpaka sasa

Atletico Madrid imeonyesha nia ya kumhitaji Alonso kwa dau la €40m

– Casemiro kafanikiwa kufunga bao lake la kwanza kwa timu yake ya taifa ya Brazil

– Casemiro kafanikiwa kufunga bao lake la kwanza kwa timu yake ya taifa ya Brazil 🇧🇷, katika mechi yake ya 39 kwa La Canarinha; Pia hili ni Shuti lake La kwanza kabisa on target kwenye Michuano hii Baada ya games 5⃣ alizocheza…MAESTRO 👊
#CopaAmericaUpdates

MATOKEO YA SOKA JANA JUMAMOSI NA RATIBA YA HII LEO:

MATOKEO YA SOKA JANA JUMAMOSI NA RATIBA YA HII LEO:
:
– Copa America – Group A.
FT Bolivia 1 – 3 Venezuela
FT Peru 0 – 5 Brazil
.
– World Cup Women – Play-off.
FT Germany 3 – 0 Nigeria
AET Norway * 1 – 1 Australia
.
– CONCACAF – Gold Cup:: group D.
FT Guyana 2 – 4 Panama
FT USA 6 – 0 Trinidad & Tobago
.
– Africa Cup of Nations – Group A.
FT DR Congo 0 – 2 Uganda
.
– Africa Cup of Nations – Group B.
FT Nigeria 1 – 0 Burundi
FT Guinea 2 – 2 Madagascar
.
– Euro U-21 – Group A.
FT Belgium U21 1 – 3 Italy U21
FT Spain U21 5 – 0 Poland U21
.
; International – Club Friendlies.
FT Spartak Moscow 7 – 1 PFC Sochi
FT Kolding B 0 – 2 SoenderjyskE
FT Esbjerg fB 2 – 2 Randers FC
FT KVV Zelzate 0 – 4 Gent
FT Basel 4 – 2 Kriens
FT Grasshoppers 3 – 0 Altach
FT Kortrijk 4 – 1 KSV Kortrijk
FT FC Orenburg 1 – 1 CS Universitatea Craiova
FT FK Akhmat 2 – 1 Fehervar FC
FT Thun 1 – 5 Lausanne
FT Herk FC 2 – 6 St.Truiden
FT Eendracht Aalst 1 – 3 AZ Alkmaar
FT KGR Katelijne 0 – 10 KV Mechelen
FT RWD Molenbeek 0 – 1 Anderlecht
FT Klosterneuburg 0 – 10 Rapid Wien
:
RATIBA YA HII LEO JUMAPILI..
: Copa America – Group B.
22:00 Colombia
Paraguay
22:00 Qatar
Argentina
.
– World Cup Women – Play-off.
18:30 England
Cameroon
22:00 France
Brazil
.
– CONCACAF – Gold Cup:: group A.
01:00 Canada
Cuba
03:30 Martinique
Mexico
.
– Africa Cup of Nations – Group C.
20:00 Senegal
Tanzania
23:00 Algeria
Kenya
.
– Africa Cup of Nations – Group D.
17:30 Morocco
Namibia
.
– Euro U-21 – Group B.
22:00 Austria U21
Germany U21
22:00 Denmark U21
Serbia U21
.
– International – Club Friendlies.
12:00 SV Sieghartskirchen
Austria Wien
17:00 Arsenal Tula
Luch Energiya Vladivostok
19:00 AC Sementina
Lugano
19:00 KFC Heist
Club Brugge
19:30 Mura
Ural
#Updates #fixtures
@Sokawaytz

MUME MBARONI AKITUHUMIWA KUMUUA ALIYEMFUMANIA NA MKEWE

MUME MBARONI AKITUHUMIWA KUMUUA ALIYEMFUMANIA NA MKEWE

Mkazi wa Mhunze Wilayani Kishapu mkoani Shinyanga Rafael Martine(34) anashikililiwa na Polisi kwa tuhuma ya kumuua Shija Mahoiga(45) mkazi wa kijiji cha Igaga baada ya kumfumania akiwa amelala na mkewe

Kamanda wa Polisi mkoani humo, ACP Richard Abwao amesema tukio hilo lilimetokea Juni 21, 2019 majira ya saa tatu usiku nyumbani kwa marehemu ambapo Rafael anatuhumumiwa kumshambulia marehemu kwa kipande cha chuma na kusababisha kifo

Amefafanua kuwa chanzo cha tukio hilo ni wivu wa kimapenzi ambapo Rafaeli alivunja mlango wa nyumba ya marehemu na kuanza kuwashambulia wawili hao hadi kusababisha kifo cha Shija

Aidha, kutokana na kuwashambulia huko mkewe aliyefahamika kwa jina la Maria Shija amelazwa katika hospitali ya Wilaya ya Kishapu kwa matibabu

Dani Alves 🇧🇷 ni mchezaji mwenye umri mkubwa zaidi kuifungia goli timu ya taifa ya Brazil

– Katika umri wa miaka 36 na siku 47 Beki, Dani Alves 🇧🇷 ni mchezaji mwenye umri mkubwa zaidi kuifungia goli timu ya taifa ya Brazil katika wa mchezo wa Michuano ya Copa America..
#CopaAmericaUpdates
@Sokawaytz

AFCON#..VIKOSI VYA *🇬🇳GUINEA vs MADAGASCA🇲🇬* ….

⚽ *🇬🇳GUI vs MAD🇲🇬*

*GUI🇬🇳*
22 Aly Keita
6 Simon Falette
15 Julian Jeanvier
3 Issiaga Sylla
18 Patrick Dyrestam
4 Amadou Diawara
7 Mohamed Camara
13 Ibrahima Cissé
21 Sory Kaba
10 François Kamano
16 Ibrahima Traoré

*MAD🇲🇬*
23 Adrien Melvin
21 Thomas Fontaine
5 Pascal Razakanantenaina
20 Romain Métanire
22 Jerome Mombris
13 Anicet Abel
6 Marco Ilaimaharitra
15 Ibrahim Amada
9 Imà Andriatisma
12 Lalaïna Nomenjanahary
2 Carolus Andriamatsinoro

*

MAN OF THE MATCH: Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uganda, Emmanuel Okwi

MAN OF THE MATCH: Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uganda, Emmanuel Okwi ndiye aliyechaguliwa kuwa mchezaji bora mechi yao dhidi ya DR Congo.. Okwi kafunga goli Moja katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Mabingwa Mara mbili wa Michuano hii, DRC.
#AFCONUpdates

https://www.instagram.com/p/BzBRnqOgidA/?igshid=18zj0sshqzoso

Mabingwa watetezi wa Michuano ya Mataifa ya Afrika “AFCON”, timu ya taifa ya Cameroon imewasili nchini Misri

Mabingwa watetezi wa Michuano ya Mataifa ya Afrika “AFCON”, timu ya taifa ya Cameroon imewasili nchini Misri tayari kushiriki Michuano hiyo.. Wachezaji hao wa The ndomitable Lions waligoma kufika nchini humo wakidai kulipwa posho zao..
#AFCONUpdates

Design a site like this with WordPress.com
Get started