

Morocco vs Namibia .
Vikosi vinavyoanza .
#AFCON2019


Morocco vs Namibia .
Vikosi vinavyoanza .
#AFCON2019
–


Kocha Mkuu wa Klabu ya Newcastle, Rafa Benitez anajiandaa kuondoka mkataba wake utakapokwisha mwishoni mwa juma lijalo (Jumapili)… kuondoka kwake kukichagizwa na uhusiano mbovu kati yake na mmiliki wa klabu… Mtaaluma huyo Pia kapewa ofa ya kupokea Mshahara wa £6m kwa mwaka kusalia na Klabu hiyo..(@mailfootball).
#transfersUpdates

Kiungo wa kati wa Klabu ya Tottenham na timu ya taifa ya Denmark, Christian Eriksen, 27, anatazama uwezekano wa kwenda Manchester United au Juventus baada ya mpango wake wa kuhamia Real Madrid kugonga mwamba… (@mirrorfootball).
#transfersUpdates


Asha Abdul Malamwa amejiunga na YANGA PRINCESS kwa mkataba wa miaka miwili akitokea SIMBA QUEENS


#DealDone Beki wa kulia wa klabu ya KMC Aron Lulambo ameongeza mkataba wa miaka mitatu kuendelea kuitumikia klabu hiyo.

@

OFFICIAL | Dani Alves amethibitisha kwamba ataondoka ndani ya Klabu ya PSG wakati mkataba wake utakapomalizika siku ya Juni 30, Mwaka huu… Alves ameaga kwa kusema kuwa “Mzunguko mwingine katika maisha yake ya soka umekwisha leo, mzunguko wa ushindi na moja ya kujifunza na uzoefu… Alves aliongeza kuwa Anapenda kuwashukuru familia ya PSG kwa fursa waliyokuwa nayo pamoja katika Miaka yote Miwili.
:
– Beki huyu wa Kibrazil alijiunga na Mabingwa hao wa Ufaransa siku ya July 2017 kwa Mkataba wa miaka miwili akitokea Kusitisha Mkataba wake na Mabingwa wa Italia Klabu ya Juventus… Akiwa PSG, Alves ameshinda mataji Ambayo ni…
🏆🏆 Ligue 1
🏆 Coupé De France
🏆 Coupé De La Ligue
🏆 Trophée Des Champions 😢👋 @danialves 🙏🏆
#TransferNewsUpdates
@Sokawaytz

– Brazil 🇧🇷 haijafungwa goli hata Moja kwa Kila Mchezo wao wa hatua ya Makundi msimu huu wa Copa America, Kwa Mara ya kwanza tangu 1995..
.
– Brazil 🇧🇷 Imefunga Magoli Nane (8) katika Copa America ya mwaka huu 2019 hatua ya Makundi.. Ni Magoli mengi zaidi kufunga katika historia yao kwenye hatua Kama hii kwenye karne hii ya 21..
.
– Venezuela 🇻🇪 imefuzu kucheza Mtoano kwa Mara ya Nne Kati ya Mara tano Ushiriki wao wa Copa America… Hawakuweza Kufuzu hatua hiyo kabla katika Mara 13 za nyuma kwenye Michuano hii.
.
✍🏻 Kundi A limehitimishwa tayari kwa Kila timu kucheza game zake tatu… Kwa Msimamo ulivyo, Brazil ambao ndio vinara katika hatua ya Mtoano watacheza dhidi ya Mshindi wa Best loser Group B/Group C vs Brazil… Venezuela wanaokamata nafasi ya pili wao watamngoja Mshindi wa pili kutoka Kundi B… Wakati huo huo, Peru watacheza na mwenzao wa nafasi ya tatu kutoka Kundi B na Mshindi wao atacheza na kinara kutoka Kundi C..
#CopaAmericaUpdates
@Sokawaytz

–

Venezuela 🇻🇪 Sasa imetimiza Magoli 50 katika historia yao ya kushiriki Copa America… Imekuwa timu ya mwisho kufikisha idadi hiyo katika mataifa kutoka CONMEBOL..
:
– Rafael Dudamel amekuwa ni kocha wa kwanza Mvenezuelan 🇻🇪 kushinda games tatu za Mashindano ya Copa America…3-1 v Bolivia mwaka 2019, 1-0 v Jamaica na Uruguay mwaka 2016.
#CopaAmericaUpdates


Ratiba ya mechi za leo #AFCON2019