ETHIOPIA: MKUU WA MAJESHI AUAWA KWA KUPIGWA RISASI KATIKA JARIBIO LA MAPINDUZI

ETHIOPIA: MKUU WA MAJESHI AUAWA KWA KUPIGWA RISASI KATIKA JARIBIO LA MAPINDUZI

Jaribio hilo la kutaka kuipindua serikali iliyopo madarakani liliongozwa na Kiongozi wa Usalama wa eneo la Amhara na kusababisha vifo vya Mkuu wa Majeshi, Rais wa Mkoa wa Amhara na Mshauri Mkuu wa Amhara

Mkuu wa Majeshi, Seare Mekonnen amepigwa risasi na Mlinzi wake wakati Mkuu huyo wa Majeshi alipokuwa akijaribu kuzuia watu wenye silaha waliovamia kikao huko Addi Ababa

Akizungumzia kuhusu jaribio hilo la mapinduzi na hali ya Mkuu wa Majeshi leo asubuhi Waziri mkuu alisema, “Mkuu wa Majeshi amepigwa risasi na watu wake wa karibu”

Hadi sasa huduma ya ‘intaneti’ bado haipatikani

MATOKEO YA SOKA JANA JUMAPILI. NA RATIBA YA HII LEO. :

MATOKEO YA SOKA JANA JUMAPILI. NA RATIBA YA HII LEO.
:
– Copa America – Group B.
FT Colombia 1 – 0 Paraguay
FT Qatar 0 – 2 Argentina
.
– World Cup Women – Play-off.
FT England 3 – 0 Cameroon
AET France 2 – 1 Brazil
.
– CONCACAF – Gold Cup:: group A.
FT Canada 7 – 0 Cuba
FT Martinique 2 – 3 Mexico
.
– Africa Cup of Nations – Group C.
FT Senegal 2 – 0 Tanzania
FT Algeria 2 – 0 Kenya
.
– Africa Cup of Nations – Group D.
FT Morocco 1 – 0 Namibia
.
Euro U-21 – Group B June 23
FT Austria U21 1 – 1 Germany U21
FT Denmark U21 2 – 0 Serbia U21
.
– International – Club Friendlies.
FT SV Sieghartskirchen 0 – 10 Austria Wien
FT Arsenal Tula 0 – 0 Luch Energiya Vladivostok
FT AC Sementina 0 – 12 Lugano
FT KFC Heist 1 – 9 Club Brugge
:
RATIBA YA HII LEO JUMATATU.
– Copa America – Group A
02:00 Chile
Uruguay
02:00 Ecuador
Japan
.
– World Cup Women – Play-off.
19:00 Spain
USA
22:00 Sweden
Canada
.
– CONCACAF – Gold Cup:: group B.
01:30 Bermuda
Nicaragua
04:00 Haiti
Costa Rica
.
– Africa Cup of Nations – Group D.
17:30 Ivory Coast
South Africa
.
– Africa Cup of Nations – Group E.
2):00 Tunisia
Angola
22:00 Mali
Mauritania
.
– Euro U-21 – Group C.
22:00 Croatia U21
England U21
22:00 France U21
Romania U21
.
– International – Club Friendlies.
19:00 SK Austria Klagenfurt
Lokomotiv Moscow
19:00 SV Horn
FC Ufa
#Updates
#fixtures
@Sokawaytz

FULL-TIME: Copa America 2019, Group B.. FT Qatar 0-2 Argentina FT Colombia 1-0 Paraguay

FULL-TIME: Copa America 2019, Group B..
FT Qatar 0-2 Argentina
FT Colombia 1-0 Paraguay
:
– Kwa Matokeo hayo ambayo Mashabiki wa,Argentina walikuwa wakiomba Baada kuanza vibaya Mashindano haya.. Argentina wanamaliza nafasi ya pili na vinara ni Colombia wanafuzu hatua inayofuata…
🇨🇴 Colombia (9 points)
🇦🇷 Argentina (4 points)
🇵🇾 Paraguay (2 points)
🇶🇦 Qatar (1 point)
#CopaAmericaUpdates #CopaAmerica
@Sokawaytz

Design a site like this with WordPress.com
Get started