–





Shabiki wa #TaifaStars Pierre Liquid na Wabunge waliokuwa nchini Misri kuipa nguvu #TaifaStars kwenye fainali za #AFCON2019 , muda mfupi uliopita wamewasili Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam, baada ya kushuhudia mchezo wa kwanza wa timu hiyo dhidi ya Senegal uliochezwa jana usiku.
















