Kiungo fundi wa Klabu ya Manchester City, David Silva amesema kuwa ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu wa 2019-20

OFFICIAL | Kiungo fundi wa Klabu ya Manchester City, David Silva amesema kuwa ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu wa 2019-20; Silva alijiunga na Manchester City miaka tisa iliyopita kutoka Klabu ya kwao Hispania, Valencia kwa dau la £21m.
.
– Silva 33, Ameshinda Mataji manne ya Ligi Kuu Uingereza, Kombe la FA mara mbili na Kombe la Ligi mara nne tangu kujiunga kwake na klabu mwaka 2010; Msimu uliopita kucheza mechi 33 na kufunga Magoli Sita upande wao wakiwa tena Mabingwa, hivyo jumla kacheza Mechi 395, Kafunga Magoli 83 na Assist 54.. Ndio Mchezaji pekee wa @mancity kwenye @premierleague mwenye Assist nyingi zaidi, mechi nyingi zaidi ns games nyingi zaidi za Kushinda kwenye historia ya Klabu.
:
– Alipoulizwa kama atakaa zaidi ya msimu ujao, Silva alisema: “La, hii ndiyo mara ya mwisho, Miaka kumi kwangu inatosha. Ni wakati sahihi kwa ajili yangu… 🙏🙏 @david21lva
#EPLTransfersUpdates
@Sokawaytz

MATOKEO YA SOKA JANA JUMANNE, NA RATIBA YA HII LEO.

M

MATOKEO YA SOKA JANA JUMANNE, NA RATIBA YA HII LEO.
:
World Cup Women – Play-off.
FT Italy 2 – 0 China
FT Netherlands 2 – 1 Japan
.
– CONCACAF – Gold Cup:: group C.
FT Jamaica 1 – 1 Curacao
FT Honduras 4 – 0 El Salvador
.
– Africa Cup of Nations – Group F.
FT Cameroon 2 – 0 Guinea-Bissau
FT Ghana 2 – 2 Benin
.
– Champions League.
(Qualification:: Preliminary round)
FT Tre Penne Galazzano 0 – 1 FC Santa Coloma
FT Feronikeli 1 – 0 Lincoln Red Imps FC
.
– International – Club Friendlies.
FT AC Horsens 0 – 3 AGF FT FC Nordsjaelland 3 – 4 Kalmar FF
FT Haecken 2 – 2 Vendsyssel FF
FT Levski Sofia 0 – 1 Zenit St. Petersburg
FT Sturm Graz 1 – 0 Mlada Boleslav
FT Malmoe FF 1 – 1 HNK Gorica
FT Ajax 11 – 2 Quick 20
FT SV Leobendorf 0 – 3 Rapid Wien
FT Sparta Petegem 1 – 0 Zulte Waregem
:
RATIBA YA HII LEO.
– CONCACAF – Gold Cup:: group D
01:30 Trinidad & Tobago
Guyana.
04:00 Panama
USA
.
– Africa Cup of Nations – Group A
20:00 Uganda
Zimbabwe
23:00 Egypt
DR Congo
.
– Africa Cup of Nations – Group B
17:30 Nigeria
Guinea
.
– International – Club Friendlies
12:00 FC Zuerich
Wil
15:00 FC Ingolstadt 04
SKN St. Poelten
15:00 FC Vaduz
Young Boys
18:00 FK Akhmat
DAC 1904 Dunajska Streda
20:30 Wolfsberger AC
Fehervar FC
19:00 FC Rostov
Spartak Moscow
19:00 FC Wacker Innsbruck
VfB Stuttgart
19:00 RCS Brainois
Standard Liege
19:00 Ural
Astra Giurgiu
19:30 Luzern
Winterthur
19:30 SC Herz Pinkafeld
Celtic
20:00 Basel
TSV 1860 München
20:00 KSV Oudenaarde
Royal Excel Mouscron
20:00 Lech Poznan
Broendby IF
20:00 RWD Molenbeek
Cercle Brugge
20:00 Zwevezele
Oostende
20:30 KSK Heist
Royal Antwerp
21:00 VOC
Sparta Rotterdam
21:45 Crusaders
Motherwell
#Updates #fixtures
@Sokawaytz

Everton Imethibitisha kumpa Mkataba wa Moja kwa Moja kiungo, André Gomes

OFFICIAL: Everton Imethibitisha kumpa Mkataba wa Moja kwa Moja kiungo, André Gomes kufuatia Makubaliano yao na Mabingwa wa Hispania, FC Barcelona.
.
– Mreno huyo alicheza kwa mkopo Ndani ya Goodison Park Kutoka FC Barcelona na Sasa kasaini Mkataba wa miaka mitano Baada ya dau La €25m kukubaliwa na @fcbarcelona.
#EPLTransfersUpdates

– Nahodha wa Black Satrs, timu ya taifa ya Ghana, Andre Ayew anafunga goli usiku huu katika mechi ya AFCON dhidi ya Benin..

2015: ⚽⚽⚽
2017: ⚽⚽
2019: ⚽
– Nahodha wa Black Satrs, timu ya taifa ya Ghana, Andre Ayew anafunga goli usiku huu katika mechi ya AFCON dhidi ya Benin.. Goli hilo linamfanya kufunga katika Michuano hiyo mitatu tofauti mfululizo..
:
– Wakati huo huo, Nyota huyo anafikisha jumla ya Magoli Tisa (9) katika Fainali za AFCON na kuwa mfungaji bora wa muda woote wa Ghana kunako Michuano hii… Ayew kayafunga mataifa ya..
2010: vs Burkina Faso 🇧🇫
2012: vs Mali 🇲🇱
2012: vs Tunisia 🇹🇳
2015: vs Senegal 🇸🇳
2015: vs South Africa 🇿🇦
2015: vs Equatorial Guinea 🇬🇶
2017: vs Uganda 🇺🇬
2017: vs DR Congo 🇨🇩
2019: vs Benin 🇧🇯
🙌🙌 Legend ⚽
@Sokawaytz

Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Uruguay, Óscar Tabárez amekuwa meneja wa kwanza katika Historia kufikia michezo 200 kama kocha mkuu wa timu moja ya taifa

– Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Uruguay, Óscar Tabárez amekuwa meneja wa kwanza katika Historia kufikia michezo 200 kama kocha mkuu wa timu moja ya taifa… ikiwa ni pamoja na michezo yote ambayo alikuwa chini ya mkataba na Shirikisho la Uruguay, hata kama hakuwa ameketi katika benchi.
.
– Legend huyo kaiongoza Uruguay Kushinda games 99, Sare 48 na kupoteza jumla ya mechi 53, ni tangu Machi 2006 alipoteuliwa kwa Mara ya kwanza.. 💪💪.
#Updates
@Sokawaytz

TAKWIMU ZA MICHUANO YA AFCONI TANGU ILIPOANZA.

– Jumla ya Michezo 10 imechezwa mpaka Sasa katika fainali za AFCON zinazoendelea nchini Misri… Jumla ya Magoli 21 yamefungwa kwa mechi zote na Wachezaji tofauti 20 ni Goli Moja Pekee ndio La kujifunga.. Katika Magoli yoote hayo Mikwaju ya Penati ni Minne na yote imefungwa.
.
– Jumla ya Mashabiki 89,733 wamekadiriwa kuingia uwanjani kwa jumla ya mechi zote huku kwa game Moja inakadiriwa ni Watazamaji 8,973 kwa Mchezo mmoja..
.
– Jumla ya Kadi za Njano 28 zimetoka katika game zote 10, hakuna kadi Nyekundu mpaka Sasa.. Tanzania v Senegal na Mauritania v Mali ndio game zilizotoa kadi nyingi zaidi (10) kadi tano Kila mechi.. Misri v Zimbabwe na Morocco v Namibia, ndio game zenye kadi chache zaidi (2) kadi Moja Kila mechi..
.
– Pichani ndio wafungaji wa Magoli 20 na mmoja Aliyejifunga akitokea Namibia…
#AFCONUpdates
@Sokawaytz

Design a site like this with WordPress.com
Get started