

Klabu ya Fc Barcelona inakaribia kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa Ufaransa na Atletico Madrid Antoine Griezmann kwa dau la £107m.
.
.
Inasemekana kifungu cha sheria cha uhamisho wake kinaanza kufanya kazi Julai 1 mwaka huu. (Telegraph)
.
.
Ikumbukwe jana kulikuwa na taarifa ya klabu hiyo kukubaliana masuala binafsi na Neymar Jr kutoka psg. .
.
Barcelona wanahamu ya kurejesha matumaini ya kushinda UCL msimu ujao ikiwa na Neymar + Griezmann + Messi na Suarez katika eneo lao la ushambuliaji endapo itawauza Ousmane Dembele pamoja na Malcom.
















