BUNGENI, DODOMA: Bunge la Tanzania limepitisha mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2019/2020 ya Tsh trilioni 33.1 –

BUNGENI, DODOMA: Bunge la Tanzania limepitisha mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2019/2020 ya Tsh trilioni 33.1

Katibu wa Bunge, Stephen Kigaigai amesema jumla ya wabunge waliopiga kura ni 380 na Wabunge ambao hawakuwepo walikuwa ni 12

Wabunge waliosema hapana walikuwa ni 83 sawa na asilimia 21.8 ya wabunge waliopiga kura wakati Wabunge 297 sawa na asilimia 78.2 walipiga kura za ndio

MATOKEO YA SOKA JANA JUMATANO NA RATIBA YA HII LEO

MATOKEO YA SOKA JANA JUMATANO NA RATIBA YA HII LEO.
:
– CONCACAF – Gold Cup:: group D.
FT Trinidad & Tobago 1 – 1 Guyana
FT Panama 0 – 1 USA
.
– Africa Cup of Nations – Group A.
FT Uganda 1 – 1 Zimbabwe
FT Egypt 2 – 0 DR Congo
.
– Africa Cup of Nations – Group B .
FT Nigeria 1 – 0 Guinea
.
– International – Club Friendlies.
FT FC Zuerich 4 – 0 Wil
FT Ural 2 – 1 Astra Giurgiu
FT FC Ingolstadt 04 3 – 1 SKN St. Poelten
FT FC Vaduz 1 – 0 Young Boys
FT FK Akhmat 5 – 1 DAC 1904 Dunajska Streda
FT Wolfsberger AC 0 – 1 Fehervar FC
FT FC Rostov 2 – 0 Spartak Moscow
FT FC Wacker Innsbruck 1 – 4 VfB Stuttgart
FT RCS Brainois 0 – 5 Standard Liege
FT Luzern 2 – 4 Winterthur
FT SC Herz Pinkafeld 1 – 6 Celtic
FT Basel 5 – 1 TSV 1860 München
FT KSV Oudenaarde 0 – 4 Royal Excel Mouscron
FT Lech Poznan 1 – 0 Broendby IF
FT RWD Molenbeek 0 – 0 Cercle Brugge
FT Zwevezele 0 – 3 Oostende
FT KSK Heist 0 – 3 Royal Antwerp
FT Thes Sport 1 – 3 St.Truiden
FT VOC 1 – 3 Sparta Rotterdam
FT Crusaders 1 – 0 Motherwel
:
RATIBA YA HII LEO ALHAMISI.
– Copa America – Playoffs
03:30 Brazil
Paraguay
.
– World Cup Women – Play-off.
22:00 Norway
England
.
– Africa Cup of Nations – Group B.
17:30 Madagascar
Burundi
.
– Africa Cup of Nations – Group C.
20:00 Senegal
Algeria
23:00 Kenya
Tanzania
.
– Euro U-21 – Semi-finals.
19:00 Germany U21
Romania U21
22:00 Spain U21
France U21
.
– Europa League – Qualification:: (Preliminary round)
20:30 Barry Town
Cliftonville
20:30 FC Progres Niedercorn
Cardiff Met University
21:00 Klaksvik
Tre Fiori
21:00 Sant Julia
Europa FC
21:45 Ballymena United
NSI Runavik
21:45 FC Prishtina
St Joseph’s
21:45 La Fiorita Montegiardino
UE Engordany
.
– International – Club Friendlies.
13:00 Rubin Kazan
Mordovya
17:00 FC Fastav Zlin
Lokomotiv Moscow
19:00 FC Krasnodar
CSKA Moscow
21:00 Spouwen-Mopertingen
St.Truiden
#Updates #fixtures
@Sokawaytz

– Rasmi Mateo Kovacic atarejea Kuendelea Kuitumikia Klabu ya Chelsea

– Rasmi Mateo Kovacic atarejea Kuendelea Kuitumikia Klabu ya Chelsea. Real Madrid imekubali dau La €50M kumuuza Kiungo huyo wa Kimataifa wa Croatia kwenda Chelsea Baada ya Mchezaji mwenyewe kukubali kusalia na Klabu hiyo ya Premier league.. Kuhusu Chelsea kufungiwa kusajili Wachezaji, hii imekubaliwa na UEFA kwasababu Mchezaji huyo alikuwa Chelsea Kwa mkopo msimu uliomalizika hivyo wana mpaka Tarehe Moja mwezi Ujao kabla ya mkopo wake kufikia tamati kukamilisha Uhamisho wake..🔜🔵⚪
#EPLTransfersUpdates
#chelseafc

Design a site like this with WordPress.com
Get started