









HABARI KUBWA ZA MAGAZETI YA MICHEZO TANZANIA LEO JUNI 29.










HABARI KUBWA ZA MAGAZETI YA MICHEZO TANZANIA LEO JUNI 29.


Klabu ya Leicester City imekamilisha usajili wake wamchezaji wa kwanza msimu huu ambaye ni beki James Justin kutoka Luton Town. .
.
James amesaini mkataba wa miaka mitano.

#

DealDone Beki William Lucian “Galas” amejiunga na Polisi Tanzania kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea Lipuli Fc


Golikipa wa timu ya Taifa ya Kenya Farouk Shikalo tayari amemwaga wino Jangwani.





⚽ *🇲🇦MAR vs CIV🇨🇮*
*MAR🇲🇦*
1 Bono (Goalkeeper)
17 Nabil Dirar (Defender)
5 Medhi Benatia (Defender)
6 Romain Saïss (Defender)
2 Achraf Hakimi (Defender)
8 Karim El Ahmadi (Midfielder)
7 Hakim Ziyech (Midfielder)
14 Mbark Boussoufa (Midfielder)
10 Younès Belhanda (Midfielder)
16 Nordin Amrabat (Midfielder)
19 Youssef En-Nesyri (Forward)
*CIV🇨🇮*
16 Sylvain Gbohouo (Goalkeeper)
17 Serge Aurier (Defender)
6 Ismaël Traoré (Defender)
5 Wilfried Kanon (Defender)
2 Wonlo Coulibaly (Defender)
20 Serey Dié (Midfielder)
8 Franck Kessié (Midfielder)
19 Nicolas Pépé (Midfielder)
10 Jean-Michaël Seri (Midfielder)
15 Max Gradel (Midfielder)
14 Jonathan Kodjia (Forward)

⏰

*



⚽ *🇹🇳TUN vs MLI🇲🇱*
*TUN🇹🇳*
16 Mouez Hassen (Goalkeeper)
2 Wajdi Kechrida (Defender)
3 Dylan Bronn (Defender)
4 Yassine Meriah (Defender)
5 Oussama Haddadi (Defender)
17 Ellyes Skhiri (Midfielder)
20 Ghailene Chaalali (Midfielder)
9 Anice Badri (Midfielder)
10 Wahbi Khazri (Midfielder)
23 Naïm Sliti (Midfielder)
11 Taha Yassine Khenissi (Forward)
*MLI🇲🇱*
16 Djigui Diarra (Goalkeeper)
2 Hamari Traore (Defender)
13 Molla Wagué (Defender)
15 Mamadou Fofana (Defender)
3 Youssouf Koné (Defender)
4 Amadou Haidara (Midfielder)
8 Diadie Samassekou (Midfielder)
11 Lassana Coulibaly (Midfielder)
23 Abdoulay Diaby (Midfielder)
19 Moussa Djenepo (Midfielder)
9 Moussa Marega (Forward)

*



AFGHANISTAN: POLISI 8 WAFARIKI KWENYE SHAMBULIO LA BOMU
–
Askari polisi nane wamethibitika kufariki na wengine 66 wamejeruhiwa kufuatia shambulio la kujitoa muhanga katika lango la kukagua usalama
–
Shambulio hilo limetokea katika Wilaya ya Kajran katikati mwa Afghanistan kwenye mkoa wa Daikundi na kundi la Taliban limedai kuhusika na mlipuko huo