

MATOKEO YA MECHI ZA JANA AFCON


MATOKEO YA SOKA JANA JUMAPILI NA RATIBA YA HII LEO:


MATOKEO YA SOKA JANA JUMAPILI NA RATIBA YA HII LEO:
:
– CONCACAF – Gold Cup:: play-off.
FT Jamaica 1 – 0 Panama
FT USA 1 – 0 Curacao
.
– Africa Cup of Nations – Group A.
FT Uganda 0 – 2 Egypt
FT Zimbabwe 0 – 4 DR Congo
.
– Africa Cup of Nations – Group B.
FT Burundi 0 – 2 Guinea
FT Madagascar 2 – 0 Nigeria
.
– International – Club Friendlies.
FT FC Krasnodar 3 – 0 FC Rostov
FT Heracles 1 – 1 FC Nordsjaelland
FT Lausanne 0 – 0 Sion
FT Rubin Kazan 0 – 1 Nizhny Novgorod
FT Livingston 1 – 1 SKF Sered
FT KFC Uerdingen 1 – 1 Royal Antwerp
FT Zilina 0 – 0 Lokomotiv Moscow
FT Pyunik 0 – 3 Ural
FT Spartak Moscow 3 – 1 CSKA Moscow
FT Gaz Metan Medias 0 – 0 Kilmarnock
FT RVC Hoboken 0 – 6 KFCO Beerschot-Wilrijk
Euro U-21 – Final June 30
FT Spain U21 2 – 1 Germany U21
:
RATIBA YA HII LEO JUMATATU.
– Africa Cup of Nations – Group C.
22:00 Kenya
Senegal
22:00 Tanzania
Algeria
.
– Africa Cup of Nations – Group D.
19:00 Namibia
Ivory Coast
19:00 South Africa
Morocco
.
– International – Club Friendlies.
13:00 Standard Liege
SoenderjyskE
20:30 SVV Scheveningen
ADO Den Haag
21:30 Shelbourne
Hearts
#Updates #fixtures
@Sokawaytz
Gareth Bale yawezekana akasilia na Real Madrid baada ya klabu hiyo kushindwa kumpata mnunuzi
–


Gareth Bale yawezekana akasilia na Real Madrid baada ya klabu hiyo kushindwa kumpata mnunuzi anayemtaka winga huyo mwenye umri wa miaka 29..
.
– Nahodha huyo wa @fawales na Mchezaji ghali namba Sita wa muda wote Duniani, kawekwa Soka na Klabu yake lakini kwa mujibu wa @mirrorfootball, hakuna timu iliyowasilisha ombi La kuhitaji huduma yake..
#TransferNewsUpdates
#AFCON…Mbio za kuwania viti Maalumu, yaani Best loser katika fainali za Mataifa ya Afrika 2019
–

Mbio za kuwania viti Maalumu, yaani Best loser katika fainali za Mataifa ya Afrika 2019.. Huu ndio Msimamo unavyosimama kwa timu ambazo zinashika nafasi ya tatu baada ya game za jana Kundi A kufikia tamati… Ikumbukwe ni Timu Nne tu zinatakiwa..
1. 🇬🇳 Guinea (4pts)
2. 🇨🇩 DR Congo (3pts)
3. 🇿🇦 South Africa (3pts)
4. 🇰🇪 Kenya (3pts)
5. 🇧🇯 Benin (2pts)
6. 🇦🇴 Angola (2pts)
.
– Ni DR Congo na Guinea pekee ndio wamecheza mechi zoote tatu katika Makundi yao… Huku Timu zilizoaga Rasmi Mashindano haya ni tatu..
1. Madagascar 1pts
2. Burundi 0pts
3. Tanzania 0pts
#AFCONUpdates
@Sokawaytz
MAGAZETI YA MICHEZO TANZANIA HII LEO JULAI MOSI..

H









HABARI KUBWA KUTOKA MAGAZETI YA MICHEZO TANZANIA HII LEO JULAI MOSI..
#tanzanianewspapertoday🇹🇿 #tanzanianewspapers #tznewspapers #newspapers
Full time Uganda 0-2 Egypt


Full time ..Zimbabwe 0-4 DR Congo


UTARATIBU WA KULIPA MAHARI UMEPITWA NA WAKATI?:

UTARATIBU WA KULIPA MAHARI UMEPITWA NA WAKATI?: Kumekuwa na kawaida ya kulipa mahari wakati wa kuoa. Mahari hiyo hulipwa na mwanaume kwa mujibu wa tamaduni za kabila analotoka mwanamke.
–
Mahari hutofautiana kutoka kabila moja hadi jingine, hivyo kuna wengine hutoa mifugo, nguo, vyakula, fedha n.k
–
Kwenye Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki lililopo ndani ya JamiiForums kuna mjadala unaendelea kuhusu utoaji wa mahari
–
Wapo wanaoona utaratibu huu ni mzuri na uendelee kwani ulianzishwa na mababu zetu na ndio utamaduni wetu. Pia, wapo wanaaona utaratibu huu humdhalilisha mwanamke na kukandamiza wanaume kwa kuwalipisha pesa.
–
Je, wewe unauonaje utaratibu huu?
Arsenal italazimika kuilipa Crystal Palace pauni milioni 100 kumnasa mshambuliaji wa Ivory Coast, Wilfred Zaha mwenye umri wa miaka 26. .

– Arsenal italazimika kuilipa Crystal Palace pauni milioni 100 kumnasa mshambuliaji wa Ivory Coast, Wilfred Zaha mwenye umri wa miaka 26.
.
– Lakini mwenyekiti wa The Eagles, Steve Parish anahofu kuwa kumuuza Zaha kunaweza kuhatarisha mipango yake ya kuwapata wamiliki wapya wa Klabu… Anahofia kutetereka kwa Klabu kushuka kiwango, kwa Zaha huwa ni Msaada mkubwa kwao katika Premier league..
#EPLTransfersUpdates