

– Klabu ya Simba imeingia mkataba wa mwaka mmoja na Kampuni ya A One kupitia kinywaji cha MO Extra wenye thamani ya shilingi milioni mia mbili hamsini (Sh250 mil).
.
– Kampuni hiyo ipo chini ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group) imeingia mkataba huo ikiwa na kuendeleza ushirikiano Klabu ya Simba ili wafikie malengo wanayokusudia..
#Updates






















