

OFFICIAL | Mataifa ya DR Congo na Guinea yamefuzu hatua ya 16 bora ya Fainali za Mataifa ya Afrika Kama “best loser”… Bado mataifa mawili kutimia kuwa “best loser” Wanne wanaoungana na mataifa mengine 12 kukamilisha mataifa 16 yatakayocheza hatua ya Mtoano..
:
✍🏻 Huu ndio Msimamo wa timu ambazo zimeshika nafasi ya tatu kutoka Kundi La kwanza “A” Mpaka La mwisho “F”.
No:.. Group… Team.
1… B… Guinea W1 D1 L1, GF4 GA3; 4pts.✅
2… A… DR Congo W1 D0 L2, GF4 GA4; 3pts.✅
3… D… Afrika Kusini W1 D0 L2, GF1 GA2; 4pts.
4… C… Kenya W1 D0 L2 GF3, GA7; 3pts.
5… F… Benin W0 D2 L0, GF2 GA2; 2pts.
6… E… Angola W0 D2 L0, GF1 GA1; 2pts.
:
✍🏻 Tuelewane, Benin na Angola Kila mmoja kucheza game mbili, hao wengine wamemaliza games zao tatu Kila mmoja. GF katika Msimamo inamaama kwamba Magoli ya kufunga na GA inamaana kwamba Magoli ya kufungwa… Hizo herufi nyingine ni Win, Draw na Lose… Mwishoni ni points (Pts).
.
✍🏻 Kanuni ambazo hutumika kumpata best loser katika Michuano hii. Kwanza ni points, pili ni Tofauti ya Magoli ya kufunga (Goals Difference), tatu ni Magoli ya kufungwa baina yao wanaowanimia na Nne ni Sare chache..
#TotalAFCON2019 #AFCONUpdates
@Sokawaytz_























