
#

CECAFAKagameCup
– Mpaka muda huu, Jijini Kigali nchini Rwanda, zimewasili timu Saba (7) tayari kwa mshike mshike wa Michuano ya CECAFA Kagame Cup 2019. Timu zilizowasili ni Green Eagles, Proline FC, KMC FC, Atlabara, Azam FC, KCCA na AS Ports… Timu zote hizo zimetua kwa usafiri wa ndege, isipokuwa Mabingwa wa Uganda, Klabu ya KCCA FC ambayo imewasili kwa usafiri wa Gari (Bus).
:
– Kwa Taarifa ni kwamba Klabu ya DC Motema Pembe ya Kinshasa, DR Congo imeondoshwa katika Michuano hii ya CECAFA Kagame Cup 2019, tayari CECAFA imetuma mualiko kwa Klabu nyingine ya nchini humo ya AS Maniema Union kutoka mjini Kindu Kama mbadala wa Klabu hiyo iliyoondolewa..
#CECAFAKagameCup
@Sokawaytz_

















