

OFFICIAL | Fundi wa soka, Samir Nasri amejiunga na Klabu ya RSC Anderlecht ya Ligi Kuu Nchini Ubelgiji π§πͺ kwa uhamisho huru baada ya kuondoka West Ham ya Uingereza.
Anarudiana tena na jamaa yake waliecheza wote Man City, ambaye Sasa Ni kocha Mchezaji wa RSCA, Vincent Kompany… Samir na Kompany walishinda mataji manne wakiwa wote @mancity
π 2 Premier League
π 1 League Cup
π 1 FA Community Shield
#TransferNewsUpdates















