Golikipa wa Manchester Utd David De Gea anatarajia kukubali kusaini mkataba mpya na klabu hiyo utakaomfanya alipwe kiasi cha Β£350,000 kwa wiki

Golikipa wa Manchester Utd David De Gea anatarajia kukubali kusaini mkataba mpya na klabu hiyo utakaomfanya alipwe kiasi cha Β£350,000 kwa wiki. .
.
Endapo ataongeza mkataba huo De Gea atakuwa golikipa anayelipwa pesa ndefu duniani.

MAPUTO, MSUMBIJI: IS IMEKIRI KUHUSIKA KWENYE SHAMBULIO LILILOUA WATU 7

MAPUTO, MSUMBIJI: IS IMEKIRI KUHUSIKA KWENYE SHAMBULIO LILILOUA WATU 7

Kikundi cha kigaidi cha Dola ya Kiislam (Islamic State-IS) kimekiri kuhusika kwenye shambulio lililotokea kwenye kijiji cha Lidjungo huko Nangade, siku ya Jumatano na sababisha vifo vya watu saba wakiwemo watoto wawili, askari mmoja

Hii ni mara ya pili kwa kikundi hicho kukiri kujihusisha na mashambulio ya kigaidi Nchini humo, ambapo mara ya kwanza ilikuwa ni shambulio lililotokea Juni 3, 2019 kwenye kijiji cha Metubi

Klabu ya Arsenal inatarajia kukaa na Fc Barcelona kujadili uhamisho wa Malcom Viera endapo wataikosa saini ya Wilfred Zaha kutoka Crystal Palace. .

Klabu ya Arsenal ya Uingereza inatarajia kukaa na Fc Barcelona siku chache zijazo ili kujadili uhamisho wa Malcom Viera endapo wataikosa saini ya Wilfred Zaha kutoka Crystal Palace. .
.
Hata hivyo Arsenal watakabiliwa na upinzani mkubwa kutoka kwa matajiri PSG ambao nao wanataka kumrudisha mbrazil huyo League 1(Mirror)

Paulo Dybala jana aliibuka mchezaji bora wa mechi “Man Of The Match” katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa michuano ya Copa America dhidi ya Chile.

Paulo Dybala jana aliibuka mchezaji bora wa mechi “Man Of The Match” katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa michuano ya Copa America dhidi ya Chile. .
.
Argentina walishinda 2-1 mabao yakifungwa na Dybala na Aguero wakati la Chile likifungwa na Arturo Vidal kwa mkwaju wa penati.

Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta amekemea vitendo vya baadhi ya watu wanaotoa kauli za uchochezi

Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta amekemea vitendo vya baadhi ya watu wanaotoa kauli za uchochezi unaolenga kudhohofisha uhusiano wa kirafiki, kidugu na kijirani uliopo kati ya Kenya na Tanzania.

#uhurukenyatta #johnpombemagufuli #kenya #tanzania πŸ“Έikulu

Misri wamekuwa wenyeji wa Fainali za AFCON Mara nyingi zaidi kuliko taifa lolote lile katika historia ya Mashindano (5).

Misri wamekuwa wenyeji wa Fainali za AFCON Mara nyingi zaidi kuliko taifa lolote lile katika historia ya Mashindano (5). Na wameondoshwa hatua ya Mtoano wakiwa Kama wenyeji Mara mbili tu.. :
1974 πŸ‡¨πŸ‡© vs Zaire.
2019 πŸ‡ΏπŸ‡¦ vs South Africa.
#AFCONUpdates

MATOKEO YA SOKA JANA JUMAMOSI NA RATIBA YA HII LEO.

MATOKEO YA SOKA JANA JUMAMOSI NA RATIBA YA HII LEO.
:
– Copa America – 3rd place W.
FT Argentina 2 – 1 Chile
.
– World Cup Women – 3rd place W.
FT England 1 – 2 Sweden
.
– Africa Cup of Nations – Round of 16.
FT Nigeria 3 – 2 Cameroon
FT Egypt 0 – 1 South Africa
.
– CECAFA Kagame Cup – Group C
FT Hegaan FC 0-2 Green Eagles FC
Proline FC 0-1 APR FC
.
– RATIBA YA HII LEO JUMAPILI.
– Copa America – FINAL
23:00 Brazil πŸ‡§πŸ‡·
Peru πŸ‡΅πŸ‡ͺ
.
– World Cup Women – FINAL
18:00 USA πŸ‡ΊπŸ‡Έ
Netherlands πŸ‡³πŸ‡±
.
– CONCACAF Gold Cup – FINAL
04:30 Mexico πŸ‡²πŸ‡½
USA πŸ‡ΊπŸ‡Έ
.
– Africa Cup of Nations – Round of 16.
19:00 Madagascar
DR Congo
22:00 Algeria
Guinea
.
– CECAFA Kagame Cup
14:00 Bandari FC
KCCA
14:00 KMC FC
Atlabara FC
16:30 Azam FC
Mukura Sports
16:30 Rayon Sports
TP Mazembe
.
– International – Friendlies.
17:30 India
Tajikistan
.
– International – Club Friendlies.
13:00 FC Ufa
FC Wacker Innsbruck
13:00 Sigma Olomouc
Royal Excel Mouscron
13:00 Stoke City U23
Marseille
13:05 Werder Bremen
Wattens
14:00 Kortrijk
NAC Breda
14:10 Werder Bremen
Karlsruher SC
16:00 Eintracht Braunschweig
Hertha BSC
16:00 FC Ingolstadt 04
FC St. Pauli
16:00 Kariobangi Sharks
Everton
17:00 SG Dynamo Dresden
Atromitos
17:00 Hannover 96
FC Rostov
17:00 Rangers
Oxford United
18:00 Nice
PSV Eindhoven
18:30 Lokeren
Monaco
19:00 Krylya Sovetov Samara
FC Krasnodar
19:00 Schalke 04
Oberhausen
#fixtures #Updates
@Sokawaytz_

Design a site like this with WordPress.com
Get started