

MATOKEO YA MECHI ZA LEO KAGAME CUP


Full Time: Azam FC 1-0 Mukura Idd Seleman ⚽
.
Rayon Sport 1-0 Tp Mazembe
Ulimwengu ⚽
.
#KagameCup
Matokeo ya Mashindano ya Taifa Copa U17 2019 hatua ya 16 bora. #youthseason2019



Matokeo ya Mashindano ya Taifa Copa U17 2019 hatua ya 16 bora.
#youthseason2019
VIKOSI⚽ *🇲🇬MADAGASCA vs DR CONGO🇨🇩*#AFCON

⚽ *🇲🇬MAD vs COD🇨🇩*
*MAD🇲🇬*
23 Adrien Melvin
21 Thomas Fontaine
5 Pascal Razakanantenaina
22 Jerome Mombris
20 Romain Métanire
13 Anicet Abel
15 Ibrahim Amada
18 Rayan Raveloson
9 Imà Andriatisma
2 Carolus Andriamatsinoro
12 Lalaïna Nomenjanahary
*COD🇨🇩*
1 Ley Matampi
5 Marcel Tisserand
22 Chancel Mbemba
3 Ngonda Muzinga
2 Issama Mpeko
12 Wilfred Moke
7 Youssuf Mulumbu
20 Jacques Maghoma
6 Chadrac Akolo
17 Cédric Bakambu
19 Britt Assombalonga

*

RAIS MAGUFULI AMZAWADIA TAUSI RAIS KENYATTA


RAIS MAGUFULI AMZAWADIA TAUSI RAIS KENYATTA
–
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli, amemzawadia Rais wa Kenya ndege wanne aina ya tausi kama kumbukumbu ya uhusiano, urafiki na ujirani mwema baina ya nchi hizo mbili
–
“Nimeguswa, sijawahi kugawa tausi kwenye nchi yoyote kwa sababu wana historia ya nchi yetu. Kwa heshima kubwa na mahusiano yaliyopo kati ya Tanzania na Kenya” alisema Rais Magufuli
–
Aliongeza “Najua watu wataandika lakini hili limenigusa kutoka moyoni, nitatoa tausi wanne watapelekwa Kenya kwa Kenyatta” –
Rais Magufuli amesema baada ya miaka kadhaa ndege hao watazaliana na kurejeshwa tena Tanzania
–
Rais Kenyatta alifika Wilayani Chato, Julai 5, 2019 kwaajili ya Ziara binafsi
Klabu ya Kagera Sugar Imekamilisha Usajili wa Kiungo wa Kimataifa wa Burundi, Moussa Hadji kutoka Klabu ya Les Lierres


OFFICIAL | Klabu ya Kagera Sugar Imekamilisha Usajili wa Kiungo wa Kimataifa wa Burundi, Moussa Hadji kutoka Klabu ya Les Lierres inayoshiriki ligi kuu nchini Burundi 🇧🇮 kwa Mkataba wa Miaka Miwili.
#TPLTransferUpdates
Rais wa Shirikisho La Soka Duniani “FIFA”, Gianni Infantino Amethibitisha mpango mkakati wake wa kuongeza idadi ya timu shiriki katika Fainali za Kombe La Dunia kwa Wanawake mwaka 2023
–


Rais wa Shirikisho La Soka Duniani “FIFA”, Gianni Infantino Amethibitisha mpango mkakati wake wa kuongeza idadi ya timu shiriki katika Fainali za Kombe La Dunia kwa Wanawake mwaka 2023 kutoka idadi ya Mataifa ya Sasa 24 mpaka kufikia 32… Kwa Maana hiyo zawadi ya Bingwa wa Dunia nayo itaongezeka Mara mbili zaidi na ilivyo Sasa, kutoka $30m mpaka $60m… Ikumbukwe Bingwa wa Dunia kwa Wanaume mwaka 2022 huko Qatar atapokea kitita cha $440m.
.
– Infantino Pia amepanga kuleta kombe La Dunia kwa Vilabu kwa Wanawake “FIFA Women’s Club World Cup”… Hii kwa huko kwa wenzetu itakuwa rahisi kufanya vizuri, lakini Barani Afrika hatuna Mashindano yoyote yanahusisha Ligi ya Wanawake Kama ilivyo Ulaya wao wana UEFA Women Champions league.. Nchi nyingi za Kiafrika hivi karibuni ndio zimeanza kuzindua ligi ya Ndani ya Wakina Dada… Tuamini Miaka ijayo tutakuwa na Mashindano ya vilabu kwa Wanawake Barani Afrika..Kama ilivyo kwa Wanaume kuna #CAFCL na #CAFCC.
#FIFAWC #FIFAWWC #FIFACWC
@Sokawaytz_
#BREAKING Shirikisho la Soka Nchini Uganda “FUFA” limevunja Mkataba na Kocha Mkuu wa Uganda Cranes, Sebastien Desabre Kwa makubaliano maalumu. :


#BREAKING
Shirikisho la Soka Nchini Uganda “FUFA” limevunja Mkataba na Kocha Mkuu wa Uganda Cranes, Sebastien Desabre Kwa makubaliano maalumu.
:
– Katika Taarifa ya Shirikisho hilo wamesema kuwa “FUFA inatambua mchango wa Kocha Desabre kwa kuboresha timu kimichezo na kitaaluma katika Kikosi Cha Uganda Cranes ikiwa ni pamoja na kufuzu kwa AFCON 2019 huko Misri na pia kufika hatua ya 16 Bora kisha kuondoshwa hatua hiyo.
:
– Sebastien Desabre Raia wa Ufaransa, anatajwa kuwa Ni chaguo Namba moja kwa Mabosi wa Klabu ya Al Ahly. Kutimuliwa huku itakuwa nafasi kwake kujiunga na Mabingwa hao wa Kihistoria Barani Afrika..
@sokawaytz_
BREAKING NEWS….TFF. YAANZA KUTAFUTA KOCHA MPYA BAADA YA KUACHANA NA AMUNIKE


BREAKING NEWS
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeanza mchakato wa kumpata kocha wa muda atakayeiongoza Taifa Stars katika mechi za kufuzu CHAN dhidi ya Kenya.
TFF imefikia hatua hiyo baada ya kukubaliana kuachana na Kocha Mnigeria, Emmanuel Amunike kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kufanya víbaya kwenye AFCON.
Reposted from @giftmacha_official
Klabu ya Polisi Tanzania imekamilisha usajili wa Hassan Nassor Maulid kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Ndanda FC.


#DealDone Klabu ya Polisi Tanzania imekamilisha usajili wa Hassan Nassor Maulid kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Ndanda FC.