

LIGI KUU BARA KUANZA AGOSTI 23. SIMBA NA YANGA KUKUTANA JANUARI 04
–
Bodi ya Ligi nchini imetangaza ratiba ya Ligi kuu soka Tanzania Bara msimu wa 2019/20 ambapo Agosti 23 pazia litafunguliwa rasmi kwa mchezo mmoja kati ya Simba SC na JKT Tanzania
–
Mchezo wa Ngao ya Jamii unatarajiwa kuchezwa Agosti 17, 2019 kati ya Bingwa wa Ligi Kuu, Simba SC na Azam FC, Bingwa wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federetion CUP
–
Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi, Boniphace Wambura leo amesema “Msimu huu tumezingatia ratiba zote za kimataifa na hatutarajii mabadiliko ya ratiba kwa sababu zizisokuwa za msingi”
–
Katika ratiba hiyo Yanga SC itaanza kurusha karata yake ya kwanza dhidi ya Ruvu Shooting Agost 28, Azam FC na KMC zinatarajiwa kucheza Agosti 29
–
Aidha, Simba na Yanga zitakutana kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu, January 04, 2020 ambao Simba ndio atakuwa mwenyeji














alissonbecker ameibuka golikipa bora wa #CopaAmerica2019

