MATOKEO YA SOKA JANA JUMATATU NA RATIBA YA HII LEO..

MATOKEO YA SOKA JANA JUMATATU NA RATIBA YA HII LEO..

Africa Cup of Nations – Round of 16.
FT Mali 0 – 1 Ivory Coast
AET Ghana 1 – 1 Tunisia *
.
– CECAFA Kagame Cup:: Group C.
FT Proline 2 – 0 Heegan FC
FT Green Eagles 0 – 1 APR FC
.
– CECAFA Kagame Cup:: Group D.
FT KMKM FC 0 – 2 Ports
FT Gor Mahia 2 – 1 Maniema Union
.
– International – Friendlies.
FT Syria 5 – 2 North Korea
.
– International – Club Friendlies.
FT Osijek 2 – 0 FC Koebenhavn
FT Sportfreunde Siegen 0 – 6 Fortuna Düsseldorf
FT Wolfsberger AC 0 – 2 Shakhtar Donetsk
FT Nantes 1 – 0 Stade Nyonnais
FT Serooskerke 0 – 5 ADO Den Haag
FT Cork City 0 – 2 Preston North End
FT Hearts 1 – 1 Inverness CT
FT Hamilton Academical 2 – 0 Stirling Albion
:
RATIBA YA SOKA HII LEO JUMANNE.
– Champions League – Qualification
14:00 FC Astana vs CFR Cluj
15:00 Ararat Armenia vs AIK
17:00 HJK vs HB Torshavn
17:00 Nomme JK Kalju vs KF Shkendija
18:45 FK Sarajevo vs Celtic
19:00 F91 Dudelange vs Valletta
19:00 Suduva vs FK Crvena Zvezda
19:00 TNS vs Feronikeli
.
– Europa League – Qualification.
16:55 St Joseph’s vs Rangers
17:00 Gzira United vs Hajduk Split
18:30 PFC CSKA-Sofia vs OFK Titograd
.
– CECAFA Kagame Cup:: group A
18:00 Kinondoni MC vs TP Mazembe
20:30 Atlabara FC vs Rayon Sport
.
– CECAFA Kagame Cup:: group B
14:00 Bandari vs Mukura Victory
16:00 KCCA FC vs Azam FC
.
– International – Club Friendlies.
12:30 SC Braga vs Varzim
16:00 CSKA Moscow vs Rubin Kazan
16:30 Wolfsburg vs Caen
17:00 Lech Poznan vs Vitesse
18:00 Lille vs Dunkerque
19:00 Augsburg vs Gundelfingen
19:00 Basel vs Lausanne
19:30 St. Gallen vs VfL Bochum 1848
20:00 Andrezieux vs Saint-Etienne
20:00 PEC Zwolle vs PAOK Thessaloniki FC
20:00 SC Toulon vs Barnsley
20:00 Toulouse vs AS Beziers
20:00 Hull City vs Leyton Orient
21:30 Stenhousemuir vs St. Mirren
21:45 AFC Fylde vs Wigan Athletic
21:45 AFC Wimbledon vs Bristol City
21:45 Carlisle United vs Hibernian
21:45 Greenock Morton vs St. Johnstone
21:45 Livingston vs Alloa Athletic.
#fixtures #Updates
@Sokawaytz_

VIKOSI⚽ *🇬🇭GHANA vs TUNISIA🇹🇳*

⚽ *🇬🇭GHA vs TUN🇹🇳*

*GHA🇬🇭*
1 Richard Ofori (Goalkeeper)
22 Andy Yiadom (Defender)
17 Baba Rahman (Defender)
21 John Boye (Defender)
15 Kasim Adams (Defender)
11 Mubarak Wakaso (Midfielder)
10 André Ayew (Midfielder)
19 Samuel Owusu (Midfielder)
5 Thomas Partey (Midfielder)
6 Afriyie Acquah (Midfielder)
9 Jordan Ayew (Forward)

*TUN🇹🇳*
16 Mouez Hassen (Goalkeeper)
2 Wajdi Kechrida (Defender)
4 Yassine Meriah (Defender)
3 Dylan Bronn (Defender)
5 Oussama Haddadi (Defender)
13 Ferjani Sassi (Midfielder)
17 Ellyes Skhiri (Midfielder)
9 Anice Badri (Midfielder)
20 Ghailene Chaalali (Midfielder)
7 Youssef Msakni (Forward)
11 Taha Yassine Khenissi (Forward)

⏰*

FAMILIA YA ALLAN KILUVYA, ANAYEDAIWA KUTEKWA YAJITOKEZA KUOMBA MSAADA

FAMILIA YA ALLAN KILUVYA, ANAYEDAIWA KUTEKWA YAJITOKEZA KUOMBA MSAADA

Ndugu hao wamejitokeza leo Julai 8, kuomba msaada kwa Rais Magufuli, Serikali na watanzania kwa ajili ya kufanikisha kumpata Allan ambaye ni Msaidizi wa Bernard Membe baada ya kumtafuta bila mafanikio

Mjomba wa Allan, Samwel Ng’andu amesema kutokana na jitihada walizozifanya imefika sasa wameanza kukata tamaa ya wapi watampata ndugu yao

Ameeleza kuwa ”Alikuwa kwenye matembezi ya jioni na dada zake, wakati anawarudisha nyumbani, alipowafikisha na kutaka kutoka, ile anageuza gari, ghafla ilitokea gari likamzuia kwa nyuma kiasi ambacho alishindwa kugeuza”

“Dada yake aliyekuwa amemfungulia geti alimuambia apishe lile gari lingine, na alipopisha kuelekea geti gari lile likasogea pia na kwa sababu alikuwa amekunywa kidogo obviousily alikasirika, alishuka na kisha dereva wa lile gari jingine alishuka”

Ameendelea kuwa ”Ghafla akawa amezungukwa na watu sita, na ndipo walipomvamia Allan na akaanza kuomba msaada kwa dada yake Magreth. Magreth alipoonesha dalili ya kupiga kelele, mmoja alitoa bastola na kumuwekea kiunoni”

Baada ya Magreth kuanza kupiga kelele, na ndipo ndugu wengine walipoamka na kukusanyana kwenda kutoa taarifa kwenye kituo cha polisi cha Kawe majira ya saa 8 usiku

Kwa mujibu wa wanafamilia, gari lililomteka Allan ni Land Cruiser lenye namba za usajili T 810 BQS rangi ya kijivu na gurudumu lake la akiba limefunikwa na rangi ya chungwa (pichani)

Klabu ya Leicester City Imethibitisha kukamilisha uhamisho wa moja kwa Mona wa Kiungo Fundi, Youri Tielemans kutoka AS Monaco

DONE DEAL: Klabu ya Leicester City Imethibitisha kukamilisha uhamisho wa moja kwa Mona wa Kiungo Fundi, Youri Tielemans kutoka AS Monaco kwa dau la uhamisho wa Klabu £40m, Nyota huyo alikuwepo kwa mkopo hapo King Power Sasa Amesaini Mkataba wa Miaka Minne.
#TransferNewsUpdates

Aliyekuwa kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Uganda Cranes, Sebastien Desabre Raia wa Ufaransa atangazwa kuwa kocha mpya Mkuu wa Klabu ya Pyramids FC inayoshiriki Ligi Kuu Nchini Misri

OFFICIAL | Aliyekuwa kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Uganda Cranes, Sebastien Desabre Raia wa Ufaransa ametangazwa kuwa kocha mpya Mkuu wa Klabu ya Pyramids FC inayoshiriki Ligi Kuu Nchini Misri 🇪🇬.
:
– Desabre anarejea Misri kwa Mara ya Pili Baada ya kuwepo Mara ya kwanza akiifunza Klabu ya Ismaily SC katika mechi 18 za Ligi mwaka 2017 ambayo akiingoza kushinda Michezo 13, Sare Mara Nne na kupoteza game moja dhidi ya Al Ahly waliokuwa Mabingwa, huku Upande wake wakimaliza Ligi nafasi ya Pili.. Aliondoka katika Klabu hiyo ya Misri na kuchukua Mikoba ya kuinoa Uganda Cranes na kuifanikisha Kufuzu AFCON 2019 wakiishia raundi ya 16 Bora wakiondoshwa na Senegal 🇸🇳.. muda mfupi Baada ya kuondoshwa katika Mashindano, Shirikisho la Soka Nchini Uganda lilitoa Taarifa ya kuachana na kocha huyo.
:
– Mfaransa huyo anakuja kuchukua Mikoba ya kocha Ramon Diaz Raia wa Paraguay Ambaye aliachana na Klabu mwezi Uliopita na hivyo Desabre anakuja kuchukua Mikoba ya kocha huyo Aliyekuwa akilipwa Pesa nyingi zaidi ya Makocha wote katika mfumi wote wa Mpira wa Miguu Nchini Misri… Tayari kuna Makocha Watatu katika muda mfupi tu kutimuliwa ndani ya Klabu hiyo, ukimtoa wa Nne Diaz, wengine n Alberto Valentim, Ricardo La Volpe na Hossam Hassan, hivyo Desabre anakuja kuwa kocha wa tano kwa Kipindi Cha muda mfupi tu..
#TransferNewsUpdates #transfersUpdates
@Sokawaytz_

TFF YASITISHA MKATABA NA KOCHA WA STARS, AMUNIKE –

TFF YASITISHA MKATABA NA KOCHA WA STARS, AMUNIKE

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) na Kocha wa Timu ya Taifa “Taifa Stars”, Emmanuel Amunike wamesema wamefikia makubaliano ya pamoja kusitisha mkataba baina yao

TFF imesema itatangaza Kocha wa muda atakaekiongoza Kikosi cha Timu ya Taifa kwa mechi za CHAN

Aidha, Makocha wa muda watatangazwa baada ya Kamati ya Dharura ya Kamati ya Utendaji (Emergency Committee) itakapokutana Julai 11, 2019. Mchakato wa kutafuta Kocha mpya umeanza mara moja

Design a site like this with WordPress.com
Get started