CAF, imemtangaza Refferee, Brian Nsubuga Miiro kuwa mwamuzi wa Kati akisaidia na Mwamuzi msaidizi namba Moja, Ronald Katenya

✍🏻 CAF, imemtangaza Refferee, Brian Nsubuga Miiro kuwa mwamuzi wa Kati akisaidia na Mwamuzi msaidizi namba Moja, Ronald Katenya, Mwamuzi Msaidizi namba mbili ni Lee Okello. CAF Pia imemtangaza Alex Muhabi kuwa mwamuzi wa Akiba na Kamishina wa Mchezo CAF Imemtangaza Gaspard Kayijuka kutoka nchini Rwanda.
:
✍🏻 Hii ni mechi ya kisasi kwa Tanzania kwani inaingia ikiwa na kumbukumbu ya kupoteza Kwa kipigo cha Magoli 3-2 katika mechi ya mwisho walipokutana katika Michuano ya Kombe La Mataifa ya Afrika hatua ya Makundi nchini Misri mwezi Uliopita..
#CHAN
@Sokawaytz_

WAZIRI MWAKYEMBE: KAMA TFF IMEMFUKUZA AMUNIKE KWA KUIGA MISRI, NAO WAJIUZULU

WAZIRI MWAKYEMBE: KAMA TFF IMEMFUKUZA AMUNIKE KWA KUIGA MISRI, NAO WAJIUZULU

Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo ametoa maoni yake baada ya Shirikisho la Soka Nchini(TFF) kusitisha mkataba na aliyekuwa Kocha wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike kutokana na kufanya vibaya katika michuano ya AFCON

Waziri Harrison Mwakyembe amesema β€œSisi hatuna tatizo na maamuzi ya TFF iwapo tu maamuzi hayo yatatupeleka ngazi nyingine kabisa kisoka hapa nchini. Na hayo yatathibitika kwa wao kutuonesha mpango mkakati wao wa kutupeleka mbele.”

Aidha, ameongeza kuwa β€œKama ni kuiga tu kwa mfano kutoka kwa Wamisri kwamba baada ya wao kushindwa wamemuondoa Kocha, basi ni makosa makubwa sana. Kama unaiga basi iga kikamilifu. Wamisri wamemfukuza Kocha na Rais wa shirikisho na timu yake wakajiuzulu, huo ndio uwajibikaji. Na wao wajiuzulu.”

Amebainisha kuwa kwa kipindi kifupi ambacho Amunike amekaa Tanzania tumepata mafanikio makubwa si kwa Stars tu hata kwa timu nyingine, lakini kushindwa AFCON TTF wamedhani ni Kocha ndio ana shida sasa mpango mkakati ni upi

Amemalizia kwa kusema “Mimi ubabaishaji katika soka siwezi kukubaliana tena, kama nilivyosema juzi kwamba bora tuishie kucheza karata tu kama tunaona ndiyo sawa kuliko kuingia kwenye soka la ubabaishaji. Tunaingia kwenye ligi mpangilio hovyohovyo na wanaoharibu hakuna anayewajibika.”

NAHODHA WA TIMU YA ARSENAL AGOMA KUSAFIRI NA TIMU –

NAHODHA WA TIMU YA ARSENAL AGOMA KUSAFIRI NA TIMU

Laurent Koscielny amegoma kusafiri na timu yake ya Arsenal kwenda nchini Marekani kwenye maandalizi ya msimu mpya wa Soka wa mwaka 2019/20 akidaiwa analazimisha kuuzwa

Inadaiwa kuwa beki huyo mwenye miaka 33 ambaye amebakiza mwaka mmoja katika mkataba wake na klabu ya Arsenal tayari ana ofa kubwa tatu kutoka vilabu vya Bordeaux, Lyon na Rennes

Klabu ya Arsenal imesema β€œTumefadhaishwa sana na kitendo cha Laurent, ambacho ni kinyume na maelekezo yetu yaliyokuwa wazi. Tunatarajia kusuluhisha suala hili na hatutasema chochote cha zaidi kwa sasa.”

Wakati huo huo, inaelezwa kuwa Koscielny amekuwa akiomba kuvunjwa kwa mkataba baina yake na klabu hiyo yenye makazi yake Kaskazini mwa London kwa wiki kadhaa sasa

MATOKEO YA SOKA JANA JUMATANO NA RATIBA YA HII LEO.

MATOKEO YA SOKA JANA JUMATANO NA RATIBA YA HII LEO.
:
– Africa Cup of Nations – Quarter-finals
FT Senegal 1 – 0 Benin
FT Nigeria 2 – 1 South Africa
.
– Champions League – Qualification.
FT Partizani 0 – 0 Qarabag FK
FT BATE Borisov 1 – 1 Piast Gliwice
FT Ferencvaros 2 – 1 Ludogorets Razgrad
FT Dundalk FC 0 – 0 Riga FC
FT Linfield 0 – 2 Rosenborg
FT Valur 0 – 3 Maribor
.
– International – Uhren Cup.
FT Young Boys 5 – 1 Eintracht Frankfurt
.
– Africa – Kagame Cup:: group D.
FT Ports 0 – 2 Gor Mahia
FT KMKM FC 0 – 2 Maniema Union
.
– International – Club Friendlies.
FT Greuther FΓΌrth 1 – 1 Huddersfield Town
FT SV Darmstadt 98 1 – 2 Feyenoord
FT Greuther FΓΌrth 0 – 1 Huddersfield Town
FT Fiorentina 21 – 0 Val di Fassa Team
FT Bad Durrheim 0 – 16 1. FC KΓΆln
FT Partizan Beograd 2 – 1 Bordeaux
FT Borussia MΓΆn’gladbach 8 – 0 1. FC Moenchengladbach
FT Lens 2 – 1 St.Truiden
FT Eisbachtaler Sportfreunde 0 – 9 Mainz 05
FT FC Rapperswil-Jona 2 – 1 Sporting CP
FT OH Leuven 2 – 2 Eupen
FT Sion 1 – 1 Grenoble
FT Waasland-Beveren 3 – 1 Lommel
FT Reading 10 – 0 Gibraltar United
FT York City 0 – 5 Leeds United
FT Gateshead 1 – 3 Middlesbrough
FT Bohemian FC 1 – 1 Chelsea
FT Benfica 1 – 2 Anderlecht
FT Metropolis FC 0 – 2 Derby County
:
RATIBA YA HII LEO ALHAMISI.
– Africa Cup of Nations – Quarter-finals.
19:00 Ivory Coast
Algeria
22:00 Madagascar
Tunisia
.
– Europa League – Qualification.
20:30 Pyunik
Shkupi
21:00 Ordabasy Shymkent
Torpedo Kutaisi
21:45 Ventspils
Teuta Durres 22:00 Alashkert FC
Makedonija GjP
22:30 AEK Larnaca
CS Petrocub
22:30 Laci
Hapoel Beer Sheva
22:30 Narva Trans
Buducnost Podgorica
23:00 Flora Tallinn
Radnicki Nis
23:00 KuPS
FK Vitebsk
23:00 Sabail
CS Universitatea Craiova
23:30 Balzan FC
Domzale
23:30 FK Riteriai
Klaksvik
23:30 Ruzomberok
Levski Sofia
.
– Africa – Kagame Cup:: group C.
14:30 Proline
Green Eagles
16:30 APR FC
Heegan FC
.
– International – Club Friendlies
16:30 Tondela
Anadia
20:00 Yeni Malatyaspor
Rapid Bucuresti
22:00 Torino
Bormiese
22:30 Altach
West Ham United
23:00 USK Anif
Istanbul Basaksehir
#fixtures #Updates
@Sokawaytz_

Nigeria na Senegal zatinga Nusu Fainali ya AFCON

Nigeria na Senegal zimefanikiwa kupenya na kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano ya kandanda ya mataifa ya Afrika AFCON inayoendelea kutimua vumbi nchini Misri.
Katika michezo miwili ya robo fainali iliyochezwa jana Jumatano Nigeria iliiadhibu Afrika ya Kusini bao 2 kwa 1 huku goli la ushindi likiwekwa wavuni kutoka mpira wa kona uliochongwa vizuri na William Ekong, dakika moja kabla ya mchezo kumalizika.

Samuel Chukwueze aliipatia Nigeria bao la kuongoza katika dakika 45 za kwanza za pambano lililopigwa katika uwanja wa kimataifa wa michezo wa mjini Cairo.

Kocha wa Nigeria Gernot Rohr alisema baada ya mchezo kwamba ilikuwa bahati walifanikiwa kupata bao la pili lililofanikisha ushindi na akaongeza kuwa amejawa furaha kutokana na mafanikio ya timu yake kwenye mchezo wa robo fainali.

Teknolojia ya VAR yaanza kufanya kazi

Katika mchezo huo, Afrika Kusini ilisawazisha mnamo dakika ya 71 kwa goli maridhawa lililowekwa wavuni na mshambuliaji wake Bongani Zungu.

Design a site like this with WordPress.com
Get started