MATOKEO YA SOKA JANA NA RATIBA YA HII LEO IJUMAA.

MATOKEO YA SOKA JANA NA RATIBA YA HII LEO IJUMAA.
:
– Africa Cup of Nations – Quarter-finals.
AET Ivory Coast 1 – 1 Algeria *
FT Madagascar 0 – 3 Tunisia
.
– Africa – Kagame Cup:: group C.
FT Proline 1 – 2 Green Eagles
FT APR FC 4 – 0 Heegan FC
.
– International – Club Friendlies.
FT Tranmere Rovers 0 – 6 Liverpool
FT Torino 18 – 1 Bormiese
FT Tondela 2 – 1 Anadia
FT Yeni Malatyaspor 0 – 2 Rapid Bucuresti
FT Altach 2 – 3 West Ham United
FT USK Anif 1 – 4 Istanbul Basaksehir
FT Genk 4 – 1 Maccabi Tel Aviv
FT SV Sonsbeck 0 – 3 Fortuna Dรผsseldorf
FT Accrington Stanley 2 – 1 Marseille
FT Guiseley 1 – 2 Leeds United
AP CD Cova da Piedade * 1 – 1 Birmingham City
:
RATIBA YA HII LEO.
– International – Club Friendlies
17:00 Pogon Szczecin
Vitesse
17:00 RKC Waalwijk
KV Mechelen
18:00 Amiens
Boulogne
18:00 Viktoria Koeln 1904
Heracles
18:30 FC Schweinberg
Borussia Dortmund
19:00 RasenBallsport Leipzig
FC Zuerich
19:00 Ried
1. FC Union Berlin 19:00 Schalke 04
Bottrop
19:30 Delbruecker SC
SC Paderborn 07
19:30 FC Stade Lausanne-Ouchy
Nantes
19:30 Salzburg
Feyenoord
20:00 Austria Wien
Queens Park Rangers
20:00 Chemnitzer FC
Alanyaspor
20:00 Club Brugge
NK Lokomotiva
20:00 Lincoln Red Imps FC
Hull City
20:00 Montpellier
AS Beziers 20:00 Nimes
Rodez
20:00 PSV Eindhoven
Aris Thessalonik
20:30 RCS
ADO Den Haag
21:30 St. Johnstone
Inverness CT
22:00 Real Betis
Sheffield United
22:00 Vitoria de Setubal
CD Cova da Piedade
.
– International – Uhren Cup
21:00 Luzern
Eintracht Frankfurt
.
– Africa – Kagame Cup:: group B
16:30 Azam FC
Bandari
19:00 KCCA FC
Mukura Victory
#fixtures #Updates
@Sokawaytz_

FULL-TIME | Al-Salam Stadium, CAIRO. Madagascar ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฌ 0-3 ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ Tunisia

F

FULL-TIME | Al-Salam Stadium, CAIRO.

Madagascar ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฌ 0-3 ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ Tunisia
[Ferjani Sassi, Youssef Msakni, Naim Sliti]
:
โœ“ Kwa Matokeo hayo ya Ushindi wa kishindo kwa Tunisia wanafuzu kucheza nusu fainali ya AFCON 2019 kwa Mara ya Kwanza tangu 2004 walipotwaa Ubingwa. MADAGASCAR ambao wanashiriki kwa Mara ya Kwanza katika Michuano hii safari yao imeisha hapa… Wamepata uzoefu wa kutosha utaowasaidia kurejea kwa kishindo Mara nyingine… Baada ya Ushindi huu Tunisia itacheza na Senegal ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ katika nusu fainali ya Kwanza Jumapili hii Julai 14..
#TotalAFCON2019 #AFCONUpdates #MADTUN

Klabu ya Afc Leopard ya Kenya imethibitisha kuachana na mshambuliaji wa Simba Sc Marcel Kaheza baada ya kumaliza mkataba wake wa mkopo. .

Klabu ya Afc Leopard ya Kenya imethibitisha kuachana na mshambuliaji wa Simba Sc Marcel Kaheza baada ya kumaliza mkataba wake wa mkopo.
.
.
Kaheza alisajiliwa na Simba Sc akitokea Majimaji Fc ya Songea.

Aliyekuwa winga wa Klabu ya Azam FC, Ramadhan Singano “Messi” amekamilisha Usajili wake wa kujiunga na Mabingwa wa DR Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ, Klabu ya TP Mazembe

OFFICIAL | Aliyekuwa winga wa Klabu ya Azam FC, Ramadhan Singano “Messi” amekamilisha Usajili wake wa kujiunga na Mabingwa wa DR Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ, Klabu ya TP Mazembe Kama Mchezaji huru Baada ya kuachana na Azam FC ya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.
.
– Singano anakuwa Ni Mchezaji wa Pili Mtanzania Dirisha hili kasajiliwa na Miamba hao wa Lubumbashi ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Baada ya Eliud Ambokile kutua klabuni hapo akitokea Mbeya City FC ya Mbeya ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.
#TransferNewsUpdates

Kikao cha Kamati ya dharura cha Kamati ya utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ambacho kimekutana leo, kimemtangaza Kocha Mkuu wa Klabu ya Azam FC, Ndayiragije Etienne

OFFICIAL | Kikao cha Kamati ya dharura cha Kamati ya utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ambacho kimekutana leo, kimemtangaza Kocha Mkuu wa Klabu ya Azam FC, Ndayiragije Etienne kuwa Kaimu Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars.

Etienne,amependekeza benchi lake la ufundi kusaidiwa na kocha wa Coastal Union Juma Mgunda pamoja na kocha Msaidizi wa Polisi Tanzania Suleiman Matola,ambapo uteuzi huo umezingatia programu maalumu ya kuendeleza makocha wazawa..
#TransferNewsUpdates

HALFTIME | New Suez Stadium, SUEZ #AFCON2019 Quarter-Finals Ivory Coast ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ 0-1 ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ Algeria

HALFTIME | New Suez Stadium, SUEZ
#AFCON2019 Quarter-Finals

Ivory Coast ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ 0-1 ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ Algeria
[Sofiane Feghouli]

#TotalAFCON2019 #AFCONUpdates #CIVALG

Klabu ya Lipuli leo imefanikiwa kumuongezea mshambuliaji wake Paul Nonga mkataba wa mwaka

O

FFICIAL | Klabu ya Lipuli leo imefanikiwa kumuongezea mshambuliaji wake Paul Nonga mkataba wa mwaka mmoja…Mshambuliaji huyo msimu uliopita aliifungia Lipuli FC Magoli Saba (7) kwenye michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara.
#TPLTransferUpdates

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, umekamilisha taratibu za kumsajili kiungo mshambuliaji, Richard Djodi,

#DoneDeal UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, umekamilisha taratibu za kumsajili kiungo mshambuliaji, Richard Djodi, kwa mkataba wa mwaka mmoja kwa usajili huru akitokea kwa vigogo wa Ghana, Ashanti Gold.

Huo ni usajili wa mwisho kwa Azam FC kwa ajili ya msimu ujao, ikiwa hadi sasa imesajili wachezaji wapya watano, watatu wakiwa wa kigeni na wawili wazawa.

Djodi raia wa Ivory Coast, anayemudu kucheza nafasi zote za ushambuliaji, alifanikiwa kufunga jumla ya mabao 17 na pasi 13 za mwisho, katika mechi 35 alizoichezea Ashanti Gold huku katika mechi 12 za mwisho akipiga manne.

Wachezaji wengine waliosajiliwa na Kocha Mkuu mpya wa Azam FC, Etienne Ndayiragije, ni Idd Seleman ‘Nado’, Selemani Ndikumana, Emmanuel Mvuyekure na Abalkasim Khamis.
#TPLUpdates #TPLTransferUpdates

Kiungo wa zamani wa Vilabu vya Azam FC na Simba SC vyote vya Tanzania na KCCA ya Uganda, Brian Majwega Amesaini Mkataba wa Miaka Miwili kuitumikia Klabu ya URA FC

– Jamaa bado anaupiga!! Kiungo wa zamani wa Vilabu vya Azam FC na Simba SC vyote vya Tanzania na KCCA ya Uganda, Brian Majwega Amesaini Mkataba wa Miaka Miwili kuitumikia Klabu ya URA FC ya nyumbani kwao Uganda ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ.. ๐Ÿ˜€๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
#TransferNewsUpdates

Design a site like this with WordPress.com
Get started