Timu ya Wanawake (Simba Queens) leo itakabidhiwa bendera ya Taifa tayari kuelekea nchini Ujerumani

Timu ya Wanawake (Simba Queens) leo itakabidhiwa bendera ya Taifa tayari kuelekea nchini Ujerumani ambako watafanya ziara ya kisoka ya wiki mbili. Hafla ya kukabidhiwa bendera itafanyika katika ofisi za Wizara ya Michezo zilizopo Uwanja wa Taifa. #NguvuMoja

Barcelona inakaribia kumsaini mshambuliaji wa Kimataifa wa Ufaransa, Antoine Griezmann kutoka Atletico Madrid muda wowote kuanzia Sasa. .

✍🏻 Barcelona inakaribia kumsaini mshambuliaji wa Kimataifa wa Ufaransa, Antoine Griezmann kutoka Atletico Madrid muda wowote kuanzia Sasa.
.
✍🏻 Kwa mujibu wa Ripoti kutoka Barcelona, zinasema kuwa Mabingwa hao wa Laliga hii Leo Ijumaa watawasilisha Release clause ambayo €120m (Β£107m/$134m) kwenda Atletico Madrid tayari kumsajili Griezmann ambaye tayari Alithibitisha kutoendelea kuitumikia Klabu hiyo..
#transfersUpdates #TransferNewsUpdates

MAREKANI: MWANAMUZIKI R. KELLY AKAMATWA TENA KWA TUHUMA ZA KUFANYA UNYANYASAJI WA KINGONO

MAREKANI: MWANAMUZIKI R. KELLY AKAMATWA TENA KWA TUHUMA ZA KUFANYA UNYANYASAJI WA KINGONO

Amekamatwa na Idara ya Polisi ya New York kwa tuhuma za kuwasafirisha wanawake kwa ajili ya kuwatumikisha kingono. Ametiwa nguvuni wakati akiwa katika Jimbo la Chicago

Mwanamuziki huyo wa miondoko ya R&B anatuhumiwa kwa makosa 13 yanayohusisha ukatili wa kingono dhidi ya Watoto

Hii ni mara ya 3 kwa R. Kelly kukamatwa, alikamatwa mara ya kwanza mwezi Februari kwa tuhuma za kuhusika na makosa 10 ya ngono

Mwezi Mei alikamatwa tena na kushtakiwa kwa tuhuma za kuhusika na makosa 11 ya unyanyasaji wa kingono ambapo kati ya makosa hayo yalikuwemo yanayohusisha kifungo cha hadi miaka 30 jela

Klabu ya Manchester United imewaambia Inter Milan watoe dau la Β£75m ili kumsaini mshambuliaji wake Romelu Lukaku

Klabu ya Manchester United imewaambia Inter Milan watoe dau la Β£75m ili kumsaini mshambuliaji wake Romelu Lukaku.
.
.
Endapo hawatafika dau hilo basi wasahau kuhusu nyota huyo kutua Italy (The Sun)

Klabu ya West Ham ya Uingereza imeungana na vilabu vya Everton pamoja na Wolves kuwania saini ya mshambuliaji wa zamani wa Chelsea Diego Costa

Klabu ya West Ham ya Uingereza imeungana na vilabu vya Everton pamoja na Wolves kuwania saini ya mshambuliaji wa zamani wa Chelsea Diego Costa ambaye ameonyesha nia ya kurejea EPL (Mirror) .

Game zote mbili kupigwa Jumapili hii ya Julai 14, 2019

✍🏻 Imejulikana!! Nusu fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika”AFCON” kwa Mwaka huu 2019 Baada ya Mechi za Robo fainali kupigwa Juzi na nyingine Kufikia tamati jana
:
✍🏻 Game zote mbili kupigwa Jumapili hii ya Julai 14, 2019 Kama Ifuatavyo..
19:00 EAT
Senegal πŸ‡ΈπŸ‡³ vs. πŸ‡ΉπŸ‡³ Tunisia
22:00 EAT
Algeria πŸ‡©πŸ‡Ώ vs. πŸ‡³πŸ‡¬ Nigeria
#AFCON2019 #AFCONUpdates #TotalAFCON2019

Design a site like this with WordPress.com
Get started