MATOKEO YA SOKA JANA NA RATIBA YA HII LEO JUMAMOSI.

MATOKEO YA SOKA JANA NA RATIBA YA HII LEO JUMAMOSI.
:
– International – Club Friendlies.
FT Schalke 20 – 1 Bottrop
FT RCS 1 – 10 ADO Den Haag
FT FC Schweinberg 0 – 10 Borussia Dortmund
FT Pogon Szczecin 2 – 1 Vitesse
FT RKC Waalwijk 3 – 1 KV Mechelen
FT Amiens 2 – 1 Boulogne
FT Viktoria Koeln 1904 0 – 3 Heracles
FT RasenBallsport Leipzig 1 – 4 FC Zuerich
FT Ried 0 – 3 1. FC Union Berlin
FT Delbruecker SC 0 – 7 SC Paderborn 07
FT FC Stade Lausanne-Ouchy 1 – 0 Nantes
FT Salzburg 3 – 1 Feyenoord
FT Austria Wien 3 – 1 Queens Park Rangers
FT Club Brugge 1 – 1 NK Lokomotiva
FT Lincoln Red Imps FC 1 – 2 Hull City
FT Nimes 3 – 2 Rodez
FT Montpellier 2 – 2 AS Beziers
FT PSV Eindhoven 3 – 0 Aris Thessaloniki
FT St. Johnstone 1 – 3 Inverness CT
FT Real Betis 0 – 1 Sheffield United
.
– International – Uhren Cup.
FT Luzern 1 – 3 Eintracht Frankfurt
.
Africa – Kagame Cup:: group B.
FT Azam FC 0 – 0 Bandari
FT KCCA FC 2 – 1 Mukura Victory
:
RATIBA YA HII LEO.
– Africa – Kagame Cup:: group A.
16:30 Atlabara FC
TP Mazembe
19:00 Rayon Sport
Kinondoni MC
.
– International – Club Friendlies.
10:00 Rayo Vallecano
Leganes
11:30 Young Boys
Kriens
12:00 Toulouse
AC Ajaccio
12:00 Varzim
Moreirense
12:30 Rio Ave
Boavista
13:00 Brentford
Dynamo Kyiv
13:30 Werder Bremen
SV Darmstadt 98
14:00 Manchester United
Perth Glory
15:00 FC Liefering
Brighton & Hove Albion
15:00 Karlsruher SC
Hertha BSC
15:00 Lincoln City
Sheffield Wednesday
15:30 MSV Duisburg
Stoke City
16:00 Augsburg
Greuther Fürth
16:00 BW Linz
FC Union Berlin
16:00 Bayer Leverkusen
Fortuna Sittard
16:00 St. Patrick’s Athletic
Chelsea
16:30 Hoffenheim
Eintracht Braunschweig
16:30 Wolfsburg
VVV-Venlo
17:00 Bedford
Luton Town
17:00 Celtic
Rennes
17:00 Crawley Town
Swansea City
17:00 Hamburger SV
Huddersfield Town
18:00 Bayer Leverkusen
Eupen
18:00 Dijon
Auxerre
18:00 Nice
Thun
18:00 SV Gonsenheim
Mainz 05
18:00 Wolfsberger AC
Bordeaux
18:30 Napoli
Benevento
18:30 Standard Liege
Strasbourg
19:00 Boluspor
Fenerbahce
19:00 Lausanne
Monaco
19:00 Lille
Reims
19:00 Saint-Etienne
Clermont Foot
19:00 St.Truiden
Gent
19:30 Cercle Brugge
Lens
20:00 Lagun Onak
Real Sociedad
20:00 Lokeren
Zulte Waregem
#fixtures #Updates
@Sokawaytz_

BoT YAIPIGA FAINI BENKI YA DTB YA TSH. BILIONI 1

BoT YAIPIGA FAINI BENKI YA DTB YA TSH. BILIONI 1

Benki Kuu ya Tanzania (Bank of Tanzania – BoT) imeipiga faini benki ya Diamond Trust Tanzania Limited (DTB) kwa kushindwa kwake kuwa na Kituo cha Data (Data Center) nchini

BoT imesema kuwa ilisambaza barua mnamo Machi 24, 2014 na Februari 29, 2016 ikizitaka benki na Taasisi zote za kifedha zinazofanya kazi Tanzania kuanzisha ama ‘Primary Data Center’ au ‘Secondary Data Center’ ili kuhakikisha huduma na data zinapatikana muda wote

Aidha, BoT imeanisha kuwa imebaini kwamba DTB haijafuata maelekezo hayo licha ya kuthibitisha kwa BoT kuwa tayari imeanzisha ‘Secondary Data Center’

BoT imeongeza kuwa tofauti na faini hiyo ya Bilioni 1, iwapo DTB haitaanzisha kituo hicho basi itakuwa ikipigwa faini ya asilimia kumi ya faini ya sasa (Asilimia 10 ya Tsh. Bilioni 1) kila mwezi

Kampuni ya kuuza malori na mitambo ya ujenzi ya @gftrucks ambayo ni wadhamini wa Mbao FC, leo imezima tetesi zilizokuwa zimezagaa kuwa wameachana na wakali hao wa jiji la Mwanza kwa kusema ‘bado wapo wapo sana’. .

Kampuni ya kuuza malori na mitambo ya ujenzi ya @gftrucks ambayo ni wadhamini wa Mbao FC, leo imezima tetesi zilizokuwa zimezagaa kuwa wameachana na wakali hao wa jiji la Mwanza kwa kusema ‘bado wapo wapo sana’.
.
Mkurugenzi wa kampuni hiyo, @karmali_i amesema amewaita wanahabari kwa lengo la kudumisha mahusiano mazuri yaliyopo kati ya kampuni hiyo na vyombo vya habari huku pia akitumia fursa hiyo kuwaeleza kuwa mkataba wao na Mbao ulikuwa wa miaka mitatu na sasa umesalia mwaka mmoja hivyo wataendelea kuwa pamoja.

GF wamekaa na Mbao kupanga mikakati mipya ya msimu ujao ambao wanaamini utakuwa wa mafanikio makubwa kwani wameshakutana na changamoto nyingi zilizowafanya wajifunze mambo mengi na jinsi ya kukabiliana nayo.

Kwa upande wake mwenyekiti wa Mbao, Solly Njashi ameishukuru GF kwa kuendelea kuwa nao kwani si makampuni mengi yapo tayari kudhamini timu za soka kwa sasa kutokana na changamoto zilizopo kwenye mpira.

– Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Kenya 🇰🇪, Sébastien Migné ametaja kikosi cha awali cha timu hiyo ya Taifa ya Kenya kwa ajili ya Mechi ya kuwania Kufuzu kwa CHAN 2020

– Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Kenya 🇰🇪, Sébastien Migné ametaja kikosi cha awali cha timu hiyo ya Taifa ya Kenya kwa ajili ya Mechi ya kuwania Kufuzu kwa CHAN 2020 Nchini Cameroon, Harambee Stars itacheza dhidi ya Tanzania 🇹🇿.
.
– Kocha Migné amechukua wachezaji saba ambao walikuwa sehemu ya kikosi kilichocheza AFCON na wengine Ni wapya. Timu hiyo itaripoti kambini mnamo Julai 19, kabla ya mechi wa kwanza kupigwa Julai 28, 2019 jijini Dar ES Salaam huku Mkondo wa pili utapigwa Kasarani mnamo Agosti 04, 2019.
.
– Mshindi wa jumla wa Mechi zote mbili anakutana na Sudan game ambayo itakuwa Ni Mechi ya mwisho ya kuwania Kufuzu kwa CHAN Mashindano yaliyopangwa kuanza January 2020..
#CHAN #CHAN2020Cameroon🇨🇲 #CHANQ #ZamuyetuCHAN2020🇹🇿.
@Sokawaytz_

Inter Milan Imethibitisha Kukamilisha Uhamisho wa Kiungo”Fundi” mwenye umri wa Miaka 22, Nicolo Barella kutoka kwa Wapinzani wao wa Serie A, Cagliari

OFFICIAL 🔥

Inter Milan Imethibitisha Kukamilisha Uhamisho wa Kiungo”Fundi” mwenye umri wa Miaka 22, Nicolo Barella kutoka kwa Wapinzani wao wa Serie A, Cagliari. Nyota huyo kasajiliwa kwa dau la €45m na Kusaini Mkataba wa Miaka Mitano..⚫️🔵🇮🇹.
#TransferNewsUpdates

– Wawakilishi wa Tanzania 🇹🇿 katika Mashindano ya CECAFA Kagame Cup, Azam FC imefanikiwa kufuzu Robo fainali ya

– Wawakilishi wa Tanzania 🇹🇿 katika Mashindano ya CECAFA Kagame Cup, Azam FC imefanikiwa kufuzu Robo fainali ya Kombe hilo huko Kigali 🇷🇼 ambako Michuano inafanyika. Katika Kundi la B, Mabingwa hao watetezi wanafuzu pamoja na Mabingwa wa Uganda 🇺🇬, KCCA UG wakiwa Kama vinara wa Kundi.
..
– Azam katika game yao ya mwisho hii leo, imetoka Suluhu na Bandari FC ya Kenya 🇰🇪 na KCCA UG imewatwanga wenyeji, Mukura VS 🇷🇼.
#CECAFAKagameCup #KagameCup2019

WANAWAKE 11 WAKAMATWA WAKIREKODI VIDEO ZA NGONOO

KENYA: WANAWAKE 11 WAKAMATWA WAKIREKODI VIDEO ZA NGONKENYA:

Wanawake hao wamekamatwa katika nyumba moja iliyopo maeneo ya Nyali, Mombasa na wanatarajiwa kufikishwa Mahakamani leo Julai 12, 2019

Kamanda wa Polisi wa Mombasa, Johnson Ipara amesema ‘midoli ya kufanyia ngono’ imepatikana katika nyumba hiyo walimokuwa wanarekodi video

Design a site like this with WordPress.com
Get started