.MSHIKESHIKE…Nusu Fainali za AFCON2019 SENEGAL 🆚 TUNISIA. NIGERIA 🆚 ALGERIA.

#KomaaNaJamviSaiziYako Upige mkwanja kwenye Nusu Fainali za AFCON2019 SENEGAL 🆚 TUNISIA. NIGERIA 🆚 ALGERIA. Ubashiri wako upoje.

Bonyeza *149*89# kama huna bando au tembelea http://www.bikosports.co.tz kirahisi utandike jamvi lako.@bikotanzania .
.
Bashiri kwa Mitandao yote| BET KWA JERO tu| Bashiri bila Kujisajili | 🔞si Chini ya miaka 18.
#FastPlayFastPay
#JasiriHaachiAsili

@sokaplace_ prediction on today’s Afcon Games 2019 Semi final.

19:00 Pm Senegal 1-1 Tunisia.. 30 June Stadium. Tip Senegal win or draw.
22:00 pm Algeria 2-1 Nigeria. Cairo international stadium.. Tip Algeria win or loose.

By @deus_van_dedic_

Wachezaji wa nigeria wamepewa ahadi ya kupokea US$50,000 kwa kila Goli ambalo litafungwa na wao katika Mchezo wa Nusu fainali ya AFCON

– Taarifa kutoka kambi ya Timu ya Taifa ya Nigeria 🇳🇬 jijini Cairo, Ni kwamba Wachezaji wa @ng_supereagles wamepewa ahadi ya kupokea US$50,000 kwa kila Goli ambalo litafungwa na wao katika Mchezo wa Nusu fainali ya AFCONdhidi ya Algeria 🇩🇿.
.
– Nigeria 🇳🇬 hii Leo itashuka dimbani kucheza game hiyo ya Nusu fainali ya Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika “AFCON” dhidi ya Algeria 🇩🇿. Na kwa kila Goli watakalofunga basi watapokea Tshs 115m sawa na Dola 50,000.
#AFCONUpdates #TotalAFCON2019

Klabu ya YANGA SC imeendelea kujifua katika viwanja vya Highlands Park mkoani Morogoro kujiandaa na msimu Mpya wa Ligi..

Klabu ya YANGA SC imeendelea kujifua katika viwanja vya Highlands Park mkoani Morogoro kujiandaa na msimu Mpya wa Ligi.. mazoezi hayo yanasimamiwa na Noel Mwandila na Hafidh Saleh..
#TPLUpdates

MATOKEO YA SOKA JANA NA RATIBA YA HII LEO JUMAPILI.

MATOKEO YA SOKA JANA NA RATIBA YA HII LEO JUMAPILI.
:
– Africa – Kagame Cup:: group A.
FT Atlabara FC 1 – 6 TP Mazembe
FT Rayon Sport 0 – 1 Kinondoni MC
.
International – Club Friendlies.
FT Rayo Vallecano 2 – 2 Leganes
FT Young Boys 0 – 2 Kriens
FT Toulouse 1 – 0 AC Ajaccio
FT Brentford 0 – 0 Dynamo Kyiv
FT Werder Bremen 1 – 1 SV Darmstadt
FT Manchester United 2 – 0 Perth Glory
FT FC Liefering 2 – 5 Brighton
FT KFC Uerdingen 1 – 2 Sporting Charleroi
FT Lincoln City 1 – 3 Sheffield Wednesday
AP MSV Duisburg * 1 – 1 Stoke City
FT Augsburg 1 – 0 Greuther Fürth
FT St. Patrick’s Athletic 0 – 4 Chelsea
FT Bayer Leverkusen 0 – 1 Fortuna Sittard
FT Hertha BSC 1 – 0 Sturm Graz
FT Hoffenheim 3 – 0 Eintracht
FT Wolfsburg 2 – 2 VVV-Venlo
FT AFC Fylde 0 – 4 Preston North End
FT Bedford 1 – 2 Luton Town
FT Borussia Mönchengladbach 1 – 0 TSV 1860 München
FT Celtic 0 – 0 Rennes
FT Crawley Town 2 – 3 Swansea City
FT Hamburger SV 0 – 1 Huddersfield Town
AP Karlsruher SC 1 – 1 Hertha BSC
FT Lyon 1 – 2 Servette
FT Angers 3 – 1 Les Herbiers
FT Dijon 2 – 1 Auxerre
FT Royal Antwerp 0 – 0 Valenciennes
FT Bayer Leverkusen 3 – 4 Eupen
FT Nice 1 – 3 Thun
FT Offenburger FV 1 – 6 Freiburg
FT SV Gonsenheim 0 – 8 Mainz 05
FT Napoli 1 – 2 Benevento
FT Standard Liege 0 – 2 Strasbourg
FT Augsburg 1 – 0 Borussia Mönchengladbach
FT Boluspor 0 – 2 Fenerbahce
FT Lausanne 2 – 1 Monaco
FT Lille 1 – 1 Reims
FT Saint-Etienne 1 – 1 Clermont Foot
FT Salzburg 4 – 0 Vorwaerts
FT St.Truiden 4 – 2 Gent
FT Cercle Brugge 1 – 1 Lens
FT Lagun Onak 0 – 5 Real Sociedad
FT Lokeren 2 – 2 Zulte Waregem
FT Oostende 0 – 4 Royal Excel Mouscron
FT St. Gallen 2 – 2 Sporting CP
FT Villarreal 3 – 0 West Bromwich Albion
FT Basel 2 – 3 VfB Stuttgart
FT Sevilla 2 – 1 Reading
FT Academica 0 – 8 Benfica
.
– International – Uhren Cup.
FT Young Boys 2 – 0 Crystal Palace
:
RATIBA YA HII LEO.
Africa – Kagame Cup:: group D.
14:30 Gor Mahia
KMKM FC
16:30 Ports
Maniema Union
:
– Euro U-19 – Group A.
15:45 Armenia U19
Spain U19
18:00 Italy U19
Portugal U19
.
– Africa Cup of Nations – Semi-finals.
19:00 Senegal 🇸🇳
Tunisia 🇹🇳
22:00 Algeria 🇩🇿
Nigeria 🇳🇬
#Updates #fixtures
@Sokawaytz_

Algeria yatoa ndege za Jeshi kusafirisha mashabiki kuelekea misri

✍️ Jeshi la Anga Nchini Algeria 🇩🇿, limetoa ofa ya Jumla ya Ndege za Jeshi Sita kusafirisha Mashabiki buree kwenda Nchini Misri kushangilia Timu yao ya taifa ambayo imefuzu Kucheza Nusu fainali ya Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika “AFCON 2019”.
:
✍️ Mbwa Mwitu hao wa Jangwani, Kesho Jumapili watashuka dimbani jijini Cairo Kucheza Mechi hiyo ya Nusu fainali dhidi ya The Super Eagles Nigeria 🇳🇬… Licha tu ya Ndege za Jeshi, Pia Shirika la Ndege Nchini humo “Air Algerie” limejitolea kusafirisha baadhi ya Mashabiki kwenda Misri kutoa Sapoti kwa timu ya taifa..
:
✍️ Jumla ya Mashabiki 6000 mpaka 7000 wanatarajia kuwasili Nchini Misri Ambapo Mechi ya Timu yao ya taifa itapigwa ndani ya Uwanja wa Kimataifa wa Cairo “Cairo International Stadium”.. Algeria 🇩🇿 Mara ya mwisho Ni mwaka 1990 kuwa Mabingwa wa Afrika na tangu Mwaka huo hawajawahi kufika fainali, kuitwanga Nigeria 🇳🇬 watavunja hiyo Rekodi ya muda mrefu na itakuwa kwa Mara ya tatu Pekee wanafika fainali, lakini wakipigwa itakuwa Ni kwa Mara ya Tano katika Historia yao wanapoteza Mechi yao ya Nusu fainali..
#AFCONUpdates #AFCON2019 #TotalAFCON2019
@Sokawaytz_

– Baada ya wachezaji wapya wa klabu ya Simba kuwasili kambini jijini Dar wamekabidhiwa vifaa

– Baada ya wachezaji wapya wa klabu ya Simba kuwasili kambini jijini Dar wamekabidhiwa vifaa huku pia wakipewa namba za jezi ambazo watazitumia msimu ujao. Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga Ibrahim Ajibu amepewa jezi namba 10 iliyokuwa inavaliwa na Adam Salamba.
:
– Mshambuliaji Deo Kanda amepewa jezi namba 7 ambayo ilikuwa inavaliwa na Emmanuel Okwi, Kiungo Shiboub Shiraf amepewa jezi namba 8 ambayo ilikuwa inavaliwa na kiungo Fundi Haruna Niyonzima, Gadiel Michael amepewa jezi namba 2 huku beki wa Brazil Tairone amepewa jezi namba 3 iliyokuwa inavaliwa na James Kotei.
:
– Mshambuliaji wa Brazil, Wilker Henrique da Silva amepewa jezi namba 11 huku Beki Greson Fraga Veira amepewa jezi namba 4, Kiungo wa Kenya Francis Kahata amepewa jezi namba 25 iliyoachwa na Shiza Kichuya huku Winga Miraji Athuman amepewa jezi namba 21 iliyokuwa inavaliwa na Zana Coulibaly.
:
– Wengine ni Beno Kakolanya amepewa jezi namba 30, Beki Kennedy Juma amepewe jezi namba 26 huku Rashid Juma akibadili jezi kutoka namba 34 na sasa atavaa jezi namba 16.
#TPLUpdates

Emmanuel okwi…awaaga wachezaji wenzake wa msimbazi

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Uganda Emmanuel Okwi ametimkia Falme za Kiarabu ambapo amesajiliwa na Fujairah Fc inayoshiriki ligi kuu nchini humo

Licha ya kuondoka Simba, Okwi amewataka wachezaji wa timu hiyo walinde mafanikio yaliyopatikana msimu uliopita na pengine wavuke zaidi

Katika misimu miwili aliyocheza Simba, Okwi aliisaidia Simba kutwaa mataji mawili ya ligi kuu pamoja na kufika robo fainali michuano ya ligi ya mabingwa msimu uliopita

Mshambuliaji huyo amewaaga wachezaji wenzake kupitia ukurasa wao wa mtandao wa WhatsApp

Okwi amesema amejiunga na timu hiyo ya Arabuni kutokana na maslahi makubwa waliyompa

Gadiel Michael leo amewapa. Gari la kifahari na simba sc

Beki mpya wa Simba ujumbe wale waliokuwa wakihoji uamuzi wake wa kuikacha Yanga na kujiunga na mabingwa wa nchi, Simba

Gadiel ametinga Hotel ya Sea Scape akiwa na gari mpya kabisa aina ya Crown ambayo ameinunua baada ya kupata mkwanja wa maana kutokana na usajili wake wa kujiunga na Simba

Inaelezwa usajili wa Gadiel umeigharimu Simba Tsh Milioni 70 wakati Yanga walimpa beki huyo wa timu ya Taifa ofa ya Tsh Milioni 50

Gadiel ameungana na wachezaji wengine wa Simba ambao tayari wamewasili kuweka kambi ya muda Hotel ya Sea Scape kabla ya safari ya Afrika Kusini

Design a site like this with WordPress.com
Get started