
HALFTIME Extra-Time || 30 June Air Defence Stadium, CAIROSenegal πΈπ³ 1οΈβ£-0οΈβ£ πΉπ³ Tunisia
[Dylan Bronn (OG)] #TotalAFCON2019 #AFCONUpdates #SENTUN
FULL-TIME || 30 June Air Defence Stadium, CAIRO Senegal πΈπ³ 0οΈβ£-0οΈβ£ πΉπ³ Tunisia :



FULL-TIME || 30 June Air Defence Stadium, CAIRO
Senegal πΈπ³ 0οΈβ£-0οΈβ£ πΉπ³ Tunisia
:
β Sasa Dakika 30 za ziada zinaanza… extra-time.
β Timu zote mbili zimekosa Penati moja Moja ndani ya Dakika 90…Ferjan Sassi πΉπ³ na Henri Saivet πΈπ³.
#TotalAFCON2019 #AFCONUpdates #SENTUN
Mabingwa wa nchi Simba kesho Jumatatu wanaondoka nchini kwenda Afrika Kusini kuweka kambi ya maandalizi ya msimu mpya


Mabingwa wa nchi Simba kesho Jumatatu wanaondoka nchini kwenda Afrika Kusini kuweka kambi ya maandalizi ya msimu mpya
Uongozi wa Simba umethibitisha kuwa timu itaondoka saa nne asubuhi
Half Time. . Senegal 0-0 Tunisia #AFCON2019 #Senegal #Tunisia


Half Time. .
Senegal 0-0 Tunisia #AFCON2019 #Senegal #Tunisia
VIKOSI..β½ *πΈπ³SENEGAL vs TUNISIAπΉπ³*#AFCON

β½ *πΈπ³SEN vs TUNπΉπ³*
*SENπΈπ³*
23 Alfred Gomis (Goalkeeper)
21 Lamine Gassama (Defender)
12 Youssouf Sabaly (Defender)
3 Kalidou Koulibaly (Defender)
8 Cheikhou KouyatΓ© (Midfielder)
5 Idrissa Gueye (Midfielder)
14 Henri Saivet (Midfielder)
17 Badou Ndiaye (Midfielder)
15 KrΓ©pin Diatta (Forward)
10 Sadio ManΓ© (Forward)
9 M’Baye Niang (Forward)
*TUNπΉπ³*
16 Mouez Hassen (Goalkeeper)
19 Ayman Ben Mohamed (Defender)
5 Oussama Haddadi (Defender)
4 Yassine Meriah (Defender)
3 Dylan Bronn (Defender)
14 Mohamed DrΓ€ger (Defender)
13 Ferjani Sassi (Midfielder)
17 Ellyes Skhiri (Midfielder)
7 Youssef Msakni (Forward)
11 Taha Yassine Khenissi (Forward)
10 Wahbi Khazri (Forward)


Mapokezi ya Timu ya Taifa ya Madagascar π²π¬ wariporejea nyumbani kwao kufuatia kuondoshwa katika Michuano ya AFCON.

–


Mapokezi ya Timu ya Taifa ya Madagascar π²π¬ wariporejea nyumbani kwao kufuatia kuondoshwa katika Michuano ya AFCON.
.
– Ikiwa Ni Mara yao ya Kwanza kushiriki, Madagascar π²π¬ wamefikia mpaka hatua ya Robo fainali ya Michuano hiyo mikubwa Barani Afrika..
#TotalAFCON2019 #AFCONUpdates
Baada ya kumalizika kwa Semina kwa Wachezaji wa Klabu ya @simbasctanzania wamepata chakula Cha Mchana.. #Updates

B



Baada ya kumalizika kwa Semina kwa Wachezaji wa Klabu ya @simbasctanzania wamepata chakula Cha Mchana..
#Updates
Dau la Manchester Utd kwenda Leicester City ili kumsajili beki wake Harry Maguire limepokelewa, Maguire anatarajia kusaini mkataba na mashetani wekundu


Rasmi | Dau la Manchester Utd kwenda Leicester City ili kumsajili beki wake Harry Maguire limepokelewa, Maguire anatarajia kusaini mkataba na mashetani wekundu kwa dau la Β£80m muda wowote kuanzia sasa.
Aussems. Arejea msimbazi Akiwa na mzuka tere

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amerejea nchini kukiongoza kikosi chake na maandalizi ya msimu mpya
Aussems aliwasili jana na moja kwa moja kuelekea Hoteli ya Sea Scape ambako Simba iliweka kambi ya muda
Leo kutakuwa na semina kwa wachezaji na viongozi wa benchi la ufundi
Simba itaondoka kesho Jumatatu kuelekea Afrika Kusini ambako itakuwa huko kwa takribani wiki tatu
Wachezaji wa klabu ya simba wapewa semina..kabla ya kuelekea south africa

S





Semina ya ndani ya wachezaji na benchi la ufundi kuhusu historia ya Simba, kanuni, maadili, desturi, nidhamu na malengo ya timu kwa msimu wa 2019/2020 tayari imeshaanza. #NguvuMoja