Algeria 🇩🇿 inacheza fainali yao ya tatu Pekee Katika Historia yao ya kushiriki Michuano hii ya Mataifa ya Afrika

Algeria 🇩🇿 Mwaka huu 2019 inacheza fainali yao ya tatu Pekee Katika Historia yao ya kushiriki Michuano hii ya Mataifa ya Afrika.. Mara yao ya Kwanza walipokea kipigo Cha Magoli 3-0 dhidi ya Nigeria 🇳🇬 Mwaka 1980, Mara ya Pili walishinda Ubingwa na ndio Ubingwa wao wa Pekee mwaka 1990 wakishinda 1-0 pia dhidi ya Nigeria… 2019 wana kibarua mbele ya Senegal 🇸🇳.
#AFCONUpdates #TotalAFCON2019
@Sokawaytz_

KOCHA wa makipa ya Yanga,..aanza na kindoki

KOCHA wa makipa ndani ya Yanga, Peter Manyika amesema kuwa ameanza kazi na mlinda mlango Klaus Kindoki ambaye msimu uliopita mashabiki hawakumkubali kutokana na kufanya makosa mengi ya kiufundi.

Moja ya mechi ambayo Kindoki alifanya makosa ya kiufundi ni kwenye mchezo wake wa kwanza dhidi ya Stand United ambapo aliruhusu kufungwa mabao 3 na Alex Kitenge licha ya Yanga kushinda kwa mabao 4-3.

Akizungumza na Saleh Jembe, Manyika amesema kuwa ameangalia namna bora itakayomfanya awe katika ubora wake msimu ujao.

“Nimeanza na kuangalia namna bora ya kumrejesha kwenye ubora wake mlinda mlango Kindoki, msimu uliopita alifanya makosa mengi ya kiufundi hicho ndicho tunachokifanyia kazi, nina imani kwa programu ambayo wataifanya mambo yatakuwa safi,” amesema.

Manyika amechukua nafasi ya Juma Pondamali ambaye amesema kuwa kwa sasa anataka kufanya kazi nyingine mbali na mpira.

FULL-TIME: Senegal 🇸🇳 1-0 🇹🇳 Tunisia :

FULL-TIME: Senegal 🇸🇳 1-0 🇹🇳 Tunisia
:
– Goli la kujifunga la Dylan Bronn mnamo Dakika 30 za ziada linaipa Ushindi Senegal 🇸🇳 na moja kwa moja wanafuzu Kucheza fainali ya Michuano hii ya Kombe la Mataifa ya Afrika “AFCON”.
.
– Kwa Mara ya Pili Pekee Katika Historia yao, Senegal wanacheza fainali ya AFCON Baada ya kupoteza Mara ya Kwanza Mwaka 2002 kutoka kwa Cameroon.. Felicitations @leslionsdelateranga 🙌👏👏
#AFCONUpdates #TotalAFCON2019

TAZAMA MECHI LIVE..ALGERIA VS NIGERIA….#AFCON NUSU FAINAL..

Tazama mechi live …algeria vs nigeria …nusu final.ya afcon….bonyeza link.hapo chini ili umwze kutazama

Simba yamtaka juuko murshid…kutejea kikosini

Uongozi wa Simba umesema beki wake wa Kimataifa ya Uganda Juuko Murshid bado ana mkataba wa mwaka mmoja na mabingwa hao wa Tanzania Bara na wamemtaka arejee kambini tayari kwa maandalizi ya msimu mpya

Hivi karibuni Juuko alinukuliwa na chombo kimoja cha habari nchini Uganda akisema kuwa hana mpango wa kurejea Simba huku akidai kuwa hajalipwa mishahara ya miezi mitatu hivyo kuutaka uongozi wa Simba umuache

Hata hivyo Magori amesema Juuko alitoroka kambini na kurejea kwao Uganda wakati timu ikiwa na makujukumu ya kutetea ubingwa msimu uliopita

Magori amekiri kuwa ni kweli Juuko anadai mishahara ya miezi miwili lakini hawakumlipa si kwa kuwa hawana fedha, bali wamefanya hivyo wakimtaka arejee kambini kwanza

Aidha uongozi wa Simba ulimwandikia barua Juuko wakimtaka ajieleze kwa nini alitoroka kambini

Hata hivyo mchezaji huyo hakujibu

Vijana machachari wa simba kukutana tena kwa mara.nyingime

Leo wachezaji wote wa Simba walikutana Sea Scape Hotel Mbezi Beach jijini Dar es salaam ambako kulikuwa na Semina maalum kabla ya kuanza maandalizi ya msimu mpya

Ilikuwa siku ya kwanza kwa kiungo fundi Ibrahim Ajib kujumuika na wachezaji wa Simba baada ya kuondoka klabuni hapo misimu miwili iliyopita

Pichani juu Ajib yuko pamoja na ‘swahiba’ zake Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ na Said Khamis Ndemla

Hapo unaweza kusema sasa timu imekamilika!

VIKOSI NUSU FAINAL⚽ *🇩🇿ALGERIA vs NIGERIA🇳🇬*..#AFCO

⚽ *🇩🇿ALG vs NGA🇳🇬*

*ALG🇩🇿*
23 Raïs M’Bolhi (Goalkeeper)
2 Aïssa Mandi (Defender)
21 Ramy Bensebaini (Defender)
18 Mehdi Zeffane (Defender)
8 Youcef Belaïli (Midfielder)
22 Ismaël Bennacer (Midfielder)
10 Sofiane Feghouli (Midfielder)
17 Adlène Guédioura (Midfielder)
9 Baghdad Bounedjah (Forward)
7 Riyad Mahrez (Forward)
4 Djamel Benlamri (-)

*NGA🇳🇬*
16 Daniel Akpeyi (Goalkeeper)
5 William Troost-Ekong (Defender)
20 Chidozie Awaziem (Defender)
3 Jamilu Collins (Defender)
22 Kenneth Omeruo (Defender)
13 Samuel Chukwueze (Midfielder)
8 Oghenekaro Etebo (Midfielder)
18 Alex Iwobi (Midfielder)
7 Ahmed Musa (Midfielder)
4 Wilfred Ndidi (Midfielder)
9 Odion Ighalo (Forward)

*

Design a site like this with WordPress.com
Get started