

#DealDone Aliyekuwa Golikipa wa Mtibwa Sugar Benedict Tinocco amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Kagera Sugar ya Bukoba.
.
.
All the best @tinocco_27_29


#DealDone Aliyekuwa Golikipa wa Mtibwa Sugar Benedict Tinocco amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Kagera Sugar ya Bukoba.
.
.
All the best @tinocco_27_29


Msafara wa wachezaji wa timu ya Wanawake Simba Queens umeondoka leo kuelekea Ujerumani kwa ziara ya wiki mbili
Msafara wa timu hiyo umeondoka na watu 16, wachezaji wakiwa 13 na viongozi watatu, ambapo mkuu wa msafara ni mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi, Asha Baraka.
Wakiwa Ujerumani, wachezaji wa Simba Queens watapata nafasi ya kushiriki semina mbalimbali za kijamii ambazo zinalengo la kuwapa mbinu mbadala za kazi ambazo wanaweza kufanya nje ya maisha ya soka.
Pamoja na hilo pia watacheza michezo minne ya kirafiki ambapo michezo mitatu itachezwa mjini Hamburg na mwingine mmoja kwenye mji mkuu wa nchi hiyo, Berlin.




Kikosi cha Klabu ya @simbasctanzania kimefika kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere tayari kwa safari ya kwenda Afrika Kusini…


Kiungo fundi wa mpira Ibrahim Ajib amesema amerejea Simba kufanya kazi ambapo amewaahidi mashabiki wa timu hiyo wakae mkao wa kula
Ajib alikuwa akihusishwa kutimkia TP Mazembe kabla taarifa za usajili wake kutua Simba kuvuja
Akizungumza jana kwenye Semina kwa wachezaji wa klabu ya Simba, Ajib alisema hakujiunga na TP Mazembe kwa kuwa Simba ilimpatia ofa nono zaidi
“Nawaahidi mashabiki wa Simba nitawapa furaha. Kuhusu TP Mazembe kule sikwenda kwa kuwa ofa yao ilikuwa ndogo kuliko ya Simba,” alisema Ajib
“Niliondoka Simba kwa amani bila ya kugombana na mtu na ndio maana nimerejea nikiwa na furaha”
“Nitashirikiana na wachezaji wenzangu ili kuhakikisha tunatimiza malengo ya klabu yetu msimu huu”
Ajib ni miongoni mwa wachezaji wa Simba ambao leo wanakwea ‘pipa’ kwenda kambini Afrika Kusini

MATOKEO YA JANA JUMAPILI NA RATIBA YA HII LEO.
:
– Africa Cup of Nations – Semi-finals.
AET Senegal 1 – 0 Tunisia
FT Algeria 2 – 1 Nigeria
.
– International – Club Friendlies.
FT Reutlingen 1 – 5 FC Köln
FT Hartlepool United 0 – 4 Middlesbrough
FT Santa Clara 3 – 1 Academico Viseu
FT Fortuna Düsseldorf 4 – 1 Ipswich Town
FT FC Emmen 1 – 1 Almere City FC
FT Altach 1 – 1 Southampton
AP SV Meppen 0 – 0 FC Utrecht *
FT Derby County 2 – 1 Bristol City
FT DSC Arminia Bielefeld 2 – 2 Norwich City
FT Bradford City 1 – 3 Liverpool
FT Genk 3 – 0 NK Lokomotiva
FT Rangers 4 – 0 Marseille
FT Bologna 5 – 0 Rappresentativa Sciliar
FT Fiorentina 6 – 1 Real Vicenza
FT Verona 12 – 0 US Primiero
FT Sion 0 – 0 Everton
FT Wattenscheid 2 – 2 Schalke 04
FT Torino 15 – 0 Merano
FT FC Utrecht 1 – 0 Fortuna Düsseldorf
FT Lugano 1 – 2 Inter
FT Clusone 1 – 5 Atalanta
FT Ajax 2 – 1 Istanbul Basaksehir
FT Sparta Rotterdam 1 – 2 Maccabi Tel Aviv
FT Rapid Wien 2 – 1 1. FC Nürnberg
FT Vitoria de Guimaraes 5 – 2 Famalicao
.
Euro U-19 – Group A.
FT Armenia U19 1 – 4 Spain U19
FT Italy U19 0 – 3 Portugal U19
.
– Africa – Kagame Cup:: group D.
FT Gor Mahia 1 – 0 KMKM FC
FT Ports 1 – 2 Maniema Union
:
RATIBA YA HII LEO JUMATATU.
– International – Friendlies.
17:30 North Korea
Tajikistan
23:00 Tonga
Vanuatu
.
– International – Club Friendlies.
20:00 Club Brugge
Union St.-Gilloise
20:00 SD Leioa
Eibar
21:00 Maritimo
Portimonense
.
– Euro U-19 – Group B.
17:45 Norway U19
Ireland U19
20:00 Czech Republic U19
France U19
#Updates #fixtures
@Sokawaytz_


Klabu ya Arsenal inatarajia kumtoa kwa mkopo kinda wake Eddie Nketiah kabla ya kuanza kwa msimu huu, tayari klabu ya Bristol City imeonyesha nia ya kumhitaji kinda huyo. (Mirror)


Ally Sonso ambaye ni beki mpya wa Yanga Sc amewasili kambini Morogoro tayari kwa maandalizi ya msimu mpya.

Klabu ya Tottenham Hotspurs imewasiliana na beki wa kulia raia wa Brazil Dani Alves ili kuona uwezekano wa kumsajili bure baada ya mkataba wake na PSG kumalizika. .
.
Hata hivyo beki huyo anawaniwa pia na vigogo vya Uingereza Manchester City (The Sun)


Mshambuliaji mpya wa klabu ya Yanga, Sadney Urikhob anatarajia kuwasili leo nchini Tanzania tayari kwa maandalizi ya msimu mpya.


Mshambuliaji mpya wa klabu ya Yanga, Sadney Urikhob anatarajia kuwasili leo nchini Tanzania tayari kwa maandalizi ya msimu mpya.