

EVERTON YAMNASA DELPH:
– Klabu ya Everton Imethibitisha Kukamilisha Usajili wa kiungo, Fabian Delph kutoka kwa Mabingwa wa Uingereza, Manchester City…
.
– Mchezaji huyo, ambaye anajiunga na dau lisilojulikana, ameunganishwa moja kwa moja na Kocha, Marco Silva katika kikosi chake cha timu ya kwanza kwenye kambi yao ya Maandalizi huko Verbier nchini Uswisi.
.
– Delph, mwenye umri wa miaka 29, alikuwa sehemu ya Kikosi Cha Man City kilichoweza kushinda Ubingwa wa Uingereza Katika misimu Miwili iliopita..
#EPLUpdates #EPLTransfersUpdates
@Sokawaytz_










